Vijana wengi Watanzania asili ya Kiarabu na Wahindi wana Hela sana Dar, lakini hawatrendi na matukio kama wale wa Kitanzania na Afrika

Hii ngozi mmoja akipata ni fimbo kwa wengine. Ni akili za kimaskini tu, utasikia niliteseka hadharani, wacha nitumie hadharani.

Kuna kitu watu hawajui, hizi mambo za maonyesho zinavutia macho ya husda.

#Keep it on the DL.
 
Ngozi nyeusi umasikini uko kwenye damu kuutoa siyo kazi ndogo!....its a very long process
 
Hata USA au ulaya wenye ulimbukeni na pesa ni blacks huwezi kuta race zingine Zina mambo ya shows offs.
Unakuta black anamiliki gari 30 za kutembelea for what? Private jets for what? Then kizazi chake kinakuwa choka mbaya
HIi hata kwa viongozi wetu. Si ajabu mtu ana miliki nyumba 70 tena kwa fedha za umma🤣🤣
 

1. Wanadamu wengi Wanafanana.
Itakuwa hauishi au kushinda mitaa ya hao unaowazungumzia.
Ila wanazo tabia zote za Watanzania

Tofauti ni kuwa wao hawapo Huru, nchi hii bado kuna Watanzania weusi wengi huamini hao waarabu na wahindi sio Kwao. Utawezaje kujirusha kwenye nchi ambayo majority wanawaona ninyi sio kwenu.

2. Kubadilisha wanawake hata Waarabu au Wahindi wanafanya hayo.
Ushahidi ni uwepo WA machotara wengi maeneo wanayoishi hao waarabu na wahindi.
Au unataka majina ya watu mashuhuri ambao ni matokeo ya uzinifu?

3. Nenda kwenye Casino, Kule m
mjini au Osterbay, Masaki na Mikocheni utaona mambo wanaofanya hao ndugu zetu Waarabu na Wahindi.

Kingine,
Pesa za Kurithi hazinaga Mbwembwe.
Mtu karithi Mali anawezaje kujivunia yeye ni Legendary au Mwamba au Hustler?

Wahindi na Waarabu wengi wao pesa Zao ni za Kurithi, wanategemea familia zao. Hivyo wapo chini ya udhibiti Mkali.

Wabongo wengi waliotoboa unaowaona kwenye mitandao ya kijamii au popote wengi wao ni ma-legendary, Miamba, Hustlers kutokea chini KABISA.
Watu waliokataliwa, watu waliotelekezwa na wazazi na jamii, watu walionyimwa Fursa lakini wakapambana wakatoboa unataka wasiwe Proudly kwa mapambano Yao?

Mtu kama Diamond, au hao kina chief godlov, kina Masanja, kina Mpoki, kina Dotto Magari.
Hao ni watu waliodharauliwa, waliokataliwa, Leo wametoboa unataka wakae Kimya?
 
 
Rejelea vituko vya Idd Amin utaelewa kwanini, hao wahindi nenda kwenye nchi uone walivyo, japo kidogo waarabu wanalazimishwa kutokula Bata kisa dini, ila wakipata fursa hujiachia.
 
hakuna cha hela tangu utotoni wala nini
sema iyo jamaa iko dhaifu kwenye kutembeza rungu, waafrika wengi kwenye rungu wako vzr na hawana vibamia

izo jamii zinapenda biashara na magari huko wanavimba balaa

sisi ukishika hela na rungu iko vyema ni kutembeza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…