Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngozi nyeusi umasikini uko kwenye damu kuutoa siyo kazi ndogo!....its a very long processHili jambo linanifikirisha sana.
Sababu hasa ni nini.
Kijana wa Kitz akipata hata Getto tu basi humo Mademu watajaaa.
Atabadirisha mademu kila sikh, hapo geto lina Tv, Kitanda cha chuma na Godoro la Nchi 10. Na zile taa za rangi rangi.
Ukilinganisha na Vijana wa Kitz asili ya Waeabu na Wahindi ni watulivu sana. Wanamiliki Biashara na Makampuni ya Kwenda. Lakini huwezi kuwasikia.
Hawasikiki kwenye kashfa za Ulevi, uzinzi wala za hovyo hovyo.
Kijana wa Kibongo au Mwingine asili ya Afrika akitoa hata Wimbo mmoja tu uka Hit aisee mtamjua tu hata asubuhi anakula nini na analala wapi. Kutwa kupost hadi Boxer zake.
Je hii ni laana?
Mhindi na Mwarabu akipata pesa na biashara anatulia kuboresha familia yake na uchumi zaidi. Lakini sisi Watz ni kuongeza michepuko kila siku kukimbizana na Kesi za Fumanizi mitaani.
Tuna wajibu wa kubadilika na kujifunza kwa wenzetu waliofanikiwa
Lakini wanaotrendi sio maskini tena. Ni wale waliojipataNgozi nyeusi umasikini uko kwenye damu kuutoa siyo kazi ndogo!....its a very long process
HeheheeKuna kitu watu hawajui, hizi mambo za maonyesho zinavutia macho ya husda.
Heheheee🤣Kila mtu anafanya kinachompa furaha, hebu achana na sisi bro.
Btw supu ya kuku wa kienyeji ya leo ilikua ngumu ngumu, hoteli ya nyota 4 ila sijui walitoa wapi wale kuku.
HIi hata kwa viongozi wetu. Si ajabu mtu ana miliki nyumba 70 tena kwa fedha za umma🤣🤣Hata USA au ulaya wenye ulimbukeni na pesa ni blacks huwezi kuta race zingine Zina mambo ya shows offs.
Unakuta black anamiliki gari 30 za kutembelea for what? Private jets for what? Then kizazi chake kinakuwa choka mbaya
Bora anaemiliki nyumba ana akiliHIi hata kwa viongozi wetu. Si ajabu mtu ana miliki nyumba 70 tena kwa fedha za umma🤣🤣
Gari 10 mtu kazipanga nyumbani.Bora anaemiliki nyumba ana akili
Ati mfumo!..🤣Rangi nyeusi ukichunguza vizuri, kuna mifumo ilikosewa hasa kichwani!!
Anyway usikute kula ugali ndiyo chanzo cha yote😂😂
Nina wasi wasi sana na Ugali japo naupenda sanaRangi nyeusi ukichunguza vizuri, kuna mifumo ilikosewa hasa kichwani!!
Anyway usikute kula ugali ndiyo chanzo cha yote😂😂
Hili jambo linanifikirisha sana.
Sababu hasa ni nini.
Kijana wa Kitz akipata hata Getto tu basi humo Mademu watajaaa.
Atabadirisha mademu kila sikh, hapo geto lina Tv, Kitanda cha chuma na Godoro la Nchi 10. Na zile taa za rangi rangi.
Ukilinganisha na Vijana wa Kitz asili ya Waeabu na Wahindi ni watulivu sana. Wanamiliki Biashara na Makampuni ya Kwenda. Lakini huwezi kuwasikia.
Hawasikiki kwenye kashfa za Ulevi, uzinzi wala za hovyo hovyo.
Kijana wa Kibongo au Mwingine asili ya Afrika akitoa hata Wimbo mmoja tu uka Hit aisee mtamjua tu hata asubuhi anakula nini na analala wapi. Kutwa kupost hadi Boxer zake.
Je hii ni laana?
Mhindi na Mwarabu akipata pesa na biashara anatulia kuboresha familia yake na uchumi zaidi. Lakini sisi Watz ni kuongeza michepuko kila siku kukimbizana na Kesi za Fumanizi mitaani.
Tuna wajibu wa kubadilika na kujifunza kwa wenzetu waliofanikiwa
Mbali na yote mleta uzi unawafahamu watu wanajiita nightriders?. Hao jamaa wana fujo sema fujo zao zipo sehemu watu wengi hawafiki. Kwenye magari, piki piki na show za uwindaji. Kutokana na uoga sasa kupost wao ni ngumu sana.
Zurura machimbo ya usiku utakutana nao tu kiongozi.
Okay Okay nimekuelewa TycoonKingine,
Pesa za Kurithi hazinaga Mbwembwe.
Mtu karithi Mali anawezaje kujivunia yeye ni Legendary au Mwamba au Hustler?
Wahindi na Waarabu wengi wao pesa Zao ni za Kurithi, wanategemea familia zao. Hivyo wapo chini ya udhibiti Mkali.