Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
007 si kitengo cha hovyo kijana 😂😂dah mwanetu siku hizi una vimba😂🤣
Yaani una lalamikia kuku wa nyota 4, akati mi nakula Dona🤣007 si kitengo cha hovyo kijana 😂😂
Kiongozi umeandika bila nukta wala alama ya mkato, nimeona alama ya kuuliza tu.Ni kweli kabisa ukizoea hela tangu utoto wala hazikupi shida zikiwa nyingi kwako pia
Nakumbuka Baba yetu tulipokuwa wadogo akiwa anataka kusafiri ataniita na kusema haya zipange hizi hela
Unakuwa umezizoea wala ile hali ya kuiba unakuwa huna kabisa wala hujui hiyo tabia
Sasa na sisi tumekuwa tumefuata zile tabia za wazazi walizotufundisha
Watoto wangu wana account zao za Bank niliwafungulia wakiwa wadogo sana
Vijana kama baba yako hakukuweka pazuri basi wewe waweke wanao pazuri au wewe mwenyewe jipambanie
Kwenye ngozi hii ina tatizo kubwa sana
Angalia mpaka majuu weusi ndio wamejaa jela kwa sababu hawajafundishwa
Leo mtu anakimbia majukumu ya mwanae aliezaa nje kisa hawezi kumuhudumia
Wengine wakataa ndoa
Yote haya ni kukosa nidhamu ya maisha
Kwa baba zenu mmekaa miaka zaidi ya 20 mnajaza Vyoo tu leo eti unaogoapa kuoa
Mwenye nidhamu ya hela utakuta hata mtoto wake wa miaka 10 ameisha muandalia nyumba yake na kumwambia mke hii ni nyumba ya flani
Kweli haya mawazo mtu aliemkimbia mtoto ataweza?
Pambana kijana huwezi kuwakuta hao wamejaa jela au wamekaa vijiweni siku nzima
Nisamehe kwa hilo, ntajitahidi na kuzingatia hilo.Kiongozi umeandika bila nukta wala alama ya mkato, nimeona alama ya kuuliza tu.
Pole kijana, maisha tumetofautiana sana mkuu.Yaani una lalamikia kuku wa nyota 4, akati mi nakula Dona🤣
Mara moko moko nipe nafasi niwe hata naokota mifupa, maana uswahilini ni hela hiyoPole kijana, maisha tumetofautiana sana mkuu.
Huyu mleta uzi Anatuonea wivu vijana wenye ukwasi.
Wapo vijana kwa kazi hiyo, ila usihar nitakupachika mahali.Mara moko moko nipe nafasi niwe hata naokota mifupa, maana uswahilini ni hela hiyo
Hela yenyewe ya podaHili jambo linanifikirisha sana.
Sababu hasa ni nini.
Kijana wa Kitz akipata hata Getto tu basi humo Mademu watajaaa.
Atabadirisha mademu kila sikh, hapo geto lina Tv, Kitanda cha chuma na Godoro la Nchi 10. Na zile taa za rangi rangi.
Ukilinganisha na Vijana wa Kitz asili ya Waeabu na Wahindi ni watulivu sana. Wanamiliki Biashara na Makampuni ya Kwenda. Lakini huwezi kuwasikia.
Hawasikiki kwenye kashfa za Ulevi, uzinzi wala za hovyo hovyo.
Kijana wa Kibongo au Mwingine asili ya Afrika akitoa hata Wimbo mmoja tu uka Hit aisee mtamjua tu hata asubuhi anakula nini na analala wapi. Kutwa kupost hadi Boxer zake.
Je hii ni laana?
Mhindi na Mwarabu akipata pesa na biashara anatulia kuboresha familia yake na uchumi zaidi. Lakini sisi Watz ni kuongeza michepuko kila siku kukimbizana na Kesi za Fumanizi mitaani.
Tuna wajibu wa kubadilika na kujifunza kwa wenzetu waliofanikiwa
au sie sema uta nipa mchongo, sio uni pachike eboo😂Wapo vijana kwa kazi hiyo, ila usihar nitakupachika mahali.
Poda madawa au ile ya kupaka?H
Hela yenyewe ya poda
Hahaha basi poa mwanangu mi nitakuweka mahali.au sie sema uta nipa mchongo, sio uni pachike eboo😂
Kuna kitu ujaelewa wenye hizo asili wengi wao wameweka nje ya nchi za watu na mwisho wa siku unufaika waliopo hapa tanzania.Hili jambo linanifikirisha sana.
Sababu hasa ni nini.
Kijana wa Kitz akipata hata Getto tu basi humo Mademu watajaaa.
Atabadirisha mademu kila sikh, hapo geto lina Tv, Kitanda cha chuma na Godoro la Nchi 10. Na zile taa za rangi rangi.
Ukilinganisha na Vijana wa Kitz asili ya Waeabu na Wahindi ni watulivu sana. Wanamiliki Biashara na Makampuni ya Kwenda. Lakini huwezi kuwasikia.
Hawasikiki kwenye kashfa za Ulevi, uzinzi wala za hovyo hovyo.
Kijana wa Kibongo au Mwingine asili ya Afrika akitoa hata Wimbo mmoja tu uka Hit aisee mtamjua tu hata asubuhi anakula nini na analala wapi. Kutwa kupost hadi Boxer zake.
Je hii ni laana?
Mhindi na Mwarabu akipata pesa na biashara anatulia kuboresha familia yake na uchumi zaidi. Lakini sisi Watz ni kuongeza michepuko kila siku kukimbizana na Kesi za Fumanizi mitaani.
Tuna wajibu wa kubadilika na kujifunza kwa wenzetu waliofanikiwa
ahh kambini usi tokee, nita kupasuaHahaha basi poa mwanangu mi nitakuweka mahali.
Hebu wakurudishie hela yako mkuu. Wanataka kukung'oa meno hawa, hawajali kabisa.Kila mtu anafanya kinachompa furaha, hebu achana na sisi bro.
Btw supu ya kuku wa kienyeji ya leo ilikua ngumu ngumu, hoteli ya nyota 4 ila sijui walitoa wapi wale kuku.
Idd amini hafai hata kwa kulumangiaKuna kitu ujaelewa wenye hizo asili wengi wao wameweka nje ya nchi za watu na mwisho wa siku unufaika waliopo hapa tanzania.
idi amin aliona mbali sana ila kwa vile kipindi kile alikuwa ditekta.
Hehehe......is a symbol of imbecile🤣🤣Kote duniani, ngozi nyeusi ni shida
Rejea kwa yule mpiganaji wa ndondi majuuHehehe......is a symbol of imbecile🤣🤣