Vijana wengi Watanzania asili ya Kiarabu na Wahindi wana Hela sana Dar, lakini hawatrendi na matukio kama wale wa Kitanzania na Afrika

Vijana wengi Watanzania asili ya Kiarabu na Wahindi wana Hela sana Dar, lakini hawatrendi na matukio kama wale wa Kitanzania na Afrika

Ni kweli kabisa ukizoea hela tangu utoto wala hazikupi shida zikiwa nyingi kwako pia
Nakumbuka Baba yetu tulipokuwa wadogo akiwa anataka kusafiri ataniita na kusema haya zipange hizi hela
Unakuwa umezizoea wala ile hali ya kuiba unakuwa huna kabisa wala hujui hiyo tabia

Sasa na sisi tumekuwa tumefuata zile tabia za wazazi walizotufundisha
Watoto wangu wana account zao za Bank niliwafungulia wakiwa wadogo sana
Vijana kama baba yako hakukuweka pazuri basi wewe waweke wanao pazuri au wewe mwenyewe jipambanie
Kwenye ngozi hii ina tatizo kubwa sana
Angalia mpaka majuu weusi ndio wamejaa jela kwa sababu hawajafundishwa
Leo mtu anakimbia majukumu ya mwanae aliezaa nje kisa hawezi kumuhudumia
Wengine wakataa ndoa
Yote haya ni kukosa nidhamu ya maisha
Kwa baba zenu mmekaa miaka zaidi ya 20 mnajaza Vyoo tu leo eti unaogoapa kuoa

Mwenye nidhamu ya hela utakuta hata mtoto wake wa miaka 10 ameisha muandalia nyumba yake na kumwambia mke hii ni nyumba ya flani
Kweli haya mawazo mtu aliemkimbia mtoto ataweza?

Pambana kijana huwezi kuwakuta hao wamejaa jela au wamekaa vijiweni siku nzima
Kiongozi umeandika bila nukta wala alama ya mkato, nimeona alama ya kuuliza tu.
 
H
Hili jambo linanifikirisha sana.

Sababu hasa ni nini.
Kijana wa Kitz akipata hata Getto tu basi humo Mademu watajaaa.

Atabadirisha mademu kila sikh, hapo geto lina Tv, Kitanda cha chuma na Godoro la Nchi 10. Na zile taa za rangi rangi.

Ukilinganisha na Vijana wa Kitz asili ya Waeabu na Wahindi ni watulivu sana. Wanamiliki Biashara na Makampuni ya Kwenda. Lakini huwezi kuwasikia.

Hawasikiki kwenye kashfa za Ulevi, uzinzi wala za hovyo hovyo.

Kijana wa Kibongo au Mwingine asili ya Afrika akitoa hata Wimbo mmoja tu uka Hit aisee mtamjua tu hata asubuhi anakula nini na analala wapi. Kutwa kupost hadi Boxer zake.

Je hii ni laana?

Mhindi na Mwarabu akipata pesa na biashara anatulia kuboresha familia yake na uchumi zaidi. Lakini sisi Watz ni kuongeza michepuko kila siku kukimbizana na Kesi za Fumanizi mitaani.

Tuna wajibu wa kubadilika na kujifunza kwa wenzetu waliofanikiwa
Hela yenyewe ya poda
 
Kuna kitu ujaelewa wenye hizo asili wengi wao wameweka nje ya nchi za watu na mwisho wa siku unufaika waliopo hapa tanzania.
idi amin aliona mbali sana ila kwa vile kipindi kile alikuwa ditekta.
 
Kuna kitu ujaelewa wenye hizo asili wengi wao wameweka nje ya nchi za watu na mwisho wa siku unufaika waliopo hapa tanzania.
idi amin aliona mbali sana ila kwa vile kipindi kile alikuwa ditekta.
Idd amini hafai hata kwa kulumangia
 
Hakuna watu limbukeni kama hao vijana wa kiarabu na kihindi, binafsi nimetokea kuwadharau sana.
 
Watoto wa hayati Reginald Mengi, watoto wa mzee nani yule wa Precision, watoto wa mzee Kusaga unawasikia wapi? Wamezaliwa kwenye fedha, hao Wachagga baba zao wamefariki na wanaendelea ku run kampuni zilizo achwa na baba zao BUT unawasikia wapi? Sio Wahindi wala Waarabu wale but wapo kimya kama hawapo mjini vile
 
Back
Top Bottom