Vijana Wenzangu, Connection za Maisha zipo Bar na Kwenye Viwanja!

CONNECTION NI KUFANYA KAZI NA UZALISHAJI MALI BAS. BAR MTU ANAENDA KUTULIZA AKILI BAADA YA KUFANYA KAZI AU BAADA YA KAZI. BAR NI KIJIWE CHA UMBEA WATU WANAKUTANA KUSTAREHESHA BARAZA.

FANYENI KAZI NYIE
 
😂😂😂
Kule bar kuna maroho yanayomeza pesa.. Nilikuwa mwendaji mzuri sana wa bar connections nyingi sana pesa ilikuwa inakuja bila taarifa kutumia laki 5 kwa wiki kipindi hicho haikuwa shida.. Ila sijui zile pesa zilikuwa zinaenda wapi
Unaanza kunitisha Sasa Mkuu
 
Halafu vijana muelewe connection zinakuja jinsi unavyoishi. Sasa kama ngazi ya familia tu ni kero unadhani huku nje tutakuamini? Jitahidi kuanzia kwenye familia yako una nidhamu na unachapa kazi... mtaani kwako pia uwe na mahusiano mazuri na watu.

Kama huwa unaenda kanisani au msikitini hakikisha huko pia unaishi kwa namna ya kuaminika. Utashangaa unaletewa msosi mezani kabisa. Pambana sana kuwa na nidhamu na kufanya kazi kwa bidii hata kama ni kuosha vyombo nyumbani. Huko Bar kuna hatari nyingi mno.
 
Co Connection za Bar nyingi ni vapour mkuu! Ungesema unafahamiana na watu tu basi! Lakini kupeana michongo ya maana ya biashara na hela ni kidogo sana ila maneno ni matamu sana!
 
CONNECTION NI KUFANYA KAZI NA UZALISHAJI MALI BAS. BAR MTU ANAENDA KUTULIZA AKILI BAADA YA KUFANYA KAZI AU BAADA YA KAZI. BAR NI KIJIWE CHA UMBEA WATU WANAKUTANA KUSTAREHESHA BARAZA.

FANYENI KAZI NYIE

Fanya kazi sanaz uwezavyo .... Usitegemee kua na Mahusiano ya watu wazito wazito ambao unaishia kuwaona kwenye TV, kama huchangamani kwenye sehem wanazopenda kuwepo.


Na nikupitia kuchangamana na watu, ndipo na Raman unacholewa .
 
Nakubaliana nawe mkuu, nilikutana na mtu mmoja mkubwa sana kwenye hii nchi sehemu ya urabu, connection aliyonipatia mpaka leo namshukuru.
 
Bar Kuna madili ya ovyo .. Connection zipo LinkedIn ila madogo hawataki wao kulamba lips TikTok na Instagram then ndo wanajifanya watoto wa town.

Kusema la haki nimekutana na watu wengi wa maana Facebook kushinda mitandao yote..
Facebook ina watu wa kila namna, binafsi imenikutanisha na watu wengi sana na imeninufaisha sio mara moja
 
Sio lazima kuwanunulia. Unaweza join pale counter au mezani ukachangia mada. Mm kuna koneksheni niliipata bar kwa jamaa mmoja kisa tuu nilimfurahisha nilipokuwa naibushania aseno against chelsea walipokuwa wanacheza.

Kumbe jamaa nae ni aseno damu. Akaniomba kila wkend niwe naenda pale kucheki epl. Then kuna dili moja akanipa na ikawa ni historia nyingine. Ila sikwenda pale purposely kutafuta koneksheni ni kama ilikuja enyewe
 
Nimekutana na mtu bar akaninulia [emoji481] beer nikajua nimekutana na mtu wa maana kilichonitokea Mungu anajua[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hii ndo trick nzuri
Go out to enjoy n mix in discussions
Sio kutuma vinywaji kwa wanaume wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…