Vijana Wenzangu, Connection za Maisha zipo Bar na Kwenye Viwanja!

Vijana Wenzangu, Connection za Maisha zipo Bar na Kwenye Viwanja!

Usikae tu home na vijiwe viisvyo maana.

Hata kama sio Mlevi,... Toka nenda Kiwanja ambacho unajua wastaarabu wanakaa.

Huko ukutane na RC, DC, RAS, DAS, DED na Ma CEO mbalimbali... Hawa watu typically ni Walevi, ni wanywaji Pombe haswaa , nahuko Niko wanakutana kupeana michongo.

Sio lazima unywe ... Wewe nenda hakikisha una Hela mfukoni.

Alafu ukifika Agiza Juisi hata ya Azam.

Chungulia chungulia mazingira, Muagizieee Mzee Fulani yule aliyekaa pale , au wazee Fulani walokaa pale , au Jamaa fulan wanaokunywa vitu mdogdogo wakionekana wanajadili!!.

Muagize tu Muhudumu, Kamuongezee yule Mzee pale , akikuuliza, mwambie Yule kijana palee!!

Hapo utajenga Uhusiano na watu bila kujua na ndo Connection iyo !!.

Nimewaibia Siri !!.
Kaka, unacheza kamari na hela ya mkopo?
 
Waeleze hao.Siyo kukaa kwenye jua kali wanabugia kahawa na kashata zilizolala wiki mbili.
 
😅😂 ndio maana vijana wengi sikuhiz mnafirwa... Kumbe mna akili mbovu hivi...
 
Duuh kwakweli bado sijakutana na mtu aliyefanikiwa kwenye pombe zaidi ya kupata hasara tu.
 
[emoji28][emoji23] ndio maana vijana wengi sikuhiz mnafirwa... Kumbe mna akili mbovu hivi...
Ulishawahi fanyiwa au ndio unaowafanyia

Kuna Mzee alikuwa analewesha vijana anawalawiti ulizia kilichompata na kama Kuna mtu alishikwa ndio utajua mambo vizuri
 
Mkuu Mshana , Ukiwa mwenye uzoefu umenena , siwez kupinga .

Mimi sio Mlevi, na haitokaa Mimi kunywa pombe, , kidogo Ulevi wangu ni mbususu

Walakini nimekua na Tabia ya kutoka nakwenda viwanja kupunga upepo nakushangaaa watanzania.

Sio Bar za uchochoron ambazo ni Kuna madanga ya Buku ten ,na wanahitaji pombe tu.

Ni sehem ambazo ni za starehe hivi, muziki laivu bendi, Kuna nyama choma ya Kila aina n.k.

Hawa watu wenye konekishen, hawapendi Bar za uswazi na Wana mambo ya ovyo Giza linapoingia , ila Sasa unatulia unasoma mchezo .
Mambo ya hovyo kama yapi?
 
Sio lazima kuwanunulia. Unaweza join pale counter au mezani ukachangia mada. Mm kuna koneksheni niliipata bar kwa jamaa mmoja kisa tuu nilimfurahisha nilipokuwa naibushania aseno against chelsea walipokuwa wanacheza.

Kumbe jamaa nae ni aseno damu. Akaniomba kila wkend niwe naenda pale kucheki epl. Then kuna dili moja akanipa na ikawa ni historia nyingine. Ila sikwenda pale purposely kutafuta koneksheni ni kama ilikuja enyewe
Duuh hii ndiyo jf[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sio lazima kuwanunulia. Unaweza join pale counter au mezani ukachangia mada. Mm kuna koneksheni niliipata bar kwa jamaa mmoja kisa tuu nilimfurahisha nilipokuwa naibushania aseno against chelsea walipokuwa wanacheza.

Kumbe jamaa nae ni aseno damu. Akaniomba kila wkend niwe naenda pale kucheki epl. Then kuna dili moja akanipa na ikawa ni historia nyingine. Ila sikwenda pale purposely kutafuta koneksheni ni kama ilikuja enyewe
Dili gani utasikia kuuza viatu[emoji38][emoji38]
 
Vaa vizuri pendeza nenda sehemu expensive utakutana na expensive people na Hawa wana connection na wako informative...

Ukienda cheap places utakutana na cheap people na cheap people can not take you any where... Zaidi ya hasara za hapa na pale & vice versa is true...
 
Back
Top Bottom