Vijana wenzangu msipoteze muda wenu kusubiri hela za Google, Facebook na TikTok kwasababu ni hela za chai, mtachelewa kufanikiwa

Shusheni nondo mkuu.... inauma kukutana na vijana daily mtaani na mi-camera kibao bila faida yoyote
Hao wa Kujirecord binafsi nawaonaga kama vichaa ila natembea na msemo "Never under-estimate anyone's hustles"
Hapa duniani usidharau mtu kabisaa
 

Sio ela ni hela. Nyie mitanganyika Kiswahili kinawashinda kabisa
 
K

Wew nae kwa kukurupuka sasa which group am I talking about? Did I mention someone with database and networking skills? Or some one does CEOS?



Sometimes you better shut up you mouth , of courses You Dull
Dumb ass.
Topic ni earning money online we mbwa.
Na ulivyofala unadhani mpaka uwe na hizo skill ndio u earn pesa na vingereza vyako vya kuunga unga.
Watu wanapiga pesa bila hizo skills we umeclaim tu lazima sijui mtu afanye content creation, au awe na knowledge ya IT ulivyo lofa.
 
Mfano una App yako inapata watumiaji 300k tu kwa mwezi? ukiweka admob unakua na uhakika wa dola 100 kwa mwezi...Sasa sijakwambia ukiwa na user 1M tu Trust me unaweza kujenga kwa pesa za Admob
Kupata hizo namba si rahisi. App za bongo zinazopata hizo namba hazifiki 2%
 
Ewe mjing jielimishe kwanza kabla ya kupostosha. Mafanikio hayana kanuni na kwa taarifa yako Dunia ilipofikia pesa ziko mtandaoni zaidi ya mtaani, jielimishe na usiishi kwa kukariri.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mtandao Gani huo...?
 
Nipe darasa hii kama huto jali
Mkuu, tafuta skills unayoiweza na ambayo una passion nayo. Mfano tuseme unapenda kufanya Voice overs, then invest in that skill nunua vifaa, fanya mazoezi, tengeneza demos kisha kauze hiyo skill mtandaoni mkuu. Inaweza kuchukua muda ila trust me mwisho itakulipa. Inaweza kukuchukua hata miaka miwili mwanzoni utakuwa unapata ela ndogo ndogo labda dollar 50, 100, kwa mwezi ila ukishatengeneza network utaanza kupata zaidi ya dollar 1000 kwa mwezi
 
Ni kweli, juhudi binafsi zitakufikisha mbali. Lakini kuna hawa wala rushwa ambao wana kula kodi zetu kila kukicha. Ndo wenye biashara kubwa na majengo maeneo uliyo taja.
Wamejitengenezea minyororo ya thamani
 
Huwa nawashangaaga sana hawa watoto hovyo kabisa yaani serious wanakomaa na mitandao..

Ndo hawa wanakua walamba lipsi mwisho wa siku wana wafilimba
 
Hapa JF hatupati kitu hata upachike 10posts hupati hata 200/-, X unaweka 10posts hupati kitu mpaka ujisajili kimfumo, same huko IG nk.

Na hata ukija kupata kwa mwezi labda 100 USD ni pesa ndogo na sidhani kama wengi wanafikisha hiyo!.
 
Hapa JF hatupati kitu hata upachikw 10 posts hupati hata 200/-, X unaweka 10posts hupati kitu mpaka ujisajili kimfumo, same huko IG nk.

Na hata ukija kupata kwa mwezi labda 100 USD ni pesa ndogo na sidhani kama wengi wanafikisha hiyo!.
Nikweli mkuu
 
Mfano una App yako inapata watumiaji 300k tu kwa mwezi? ukiweka admob unakua na uhakika wa dola 100 kwa mwezi...Sasa sijakwambia ukiwa na user 1M tu Trust me unaweza kujenga kwa pesa za Admob
Vipi nikiwa na viewers feki ah robots
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…