Vijana wenzangu msipoteze muda wenu kusubiri hela za Google, Facebook na TikTok kwasababu ni hela za chai, mtachelewa kufanikiwa

Vijana wenzangu msipoteze muda wenu kusubiri hela za Google, Facebook na TikTok kwasababu ni hela za chai, mtachelewa kufanikiwa

Shusheni nondo mkuu.... inauma kukutana na vijana daily mtaani na mi-camera kibao bila faida yoyote
Hao wa Kujirecord binafsi nawaonaga kama vichaa ila natembea na msemo "Never under-estimate anyone's hustles"
Hapa duniani usidharau mtu kabisaa
 
On Point

Tanzanians Elimu bado sana wengi wana Copy tu hata network yenyewe hawajui inaletaj ela kwa tz niliona msani X ana lalamika eti she has 8milions following but no commercials deal for her ,it's so Sad

Again Tz hamna monitization ya network no tiktok fb or ig unakuta watu wanaombana gift ndio wapate ela? Really? Time wasting platforms

Anyways YouTube is good lkn it takes years to make it a business

Sasa tz mtu yuko busy ku push mambo ambayo hapat kitu for 5 years busy running in a rate race
.
Mashamba yapo ,bahari zipo milima ipo mtu yuko busy tiktok please send me a gift 🤣😂

Sio ela ni hela. Nyie mitanganyika Kiswahili kinawashinda kabisa
 
K

Wew nae kwa kukurupuka sasa which group am I talking about? Did I mention someone with database and networking skills? Or some one does CEOS?



Sometimes you better shut up you mouth , of courses You Dull
Dumb ass.
Topic ni earning money online we mbwa.
Na ulivyofala unadhani mpaka uwe na hizo skill ndio u earn pesa na vingereza vyako vya kuunga unga.
Watu wanapiga pesa bila hizo skills we umeclaim tu lazima sijui mtu afanye content creation, au awe na knowledge ya IT ulivyo lofa.
 
Mfano una App yako inapata watumiaji 300k tu kwa mwezi? ukiweka admob unakua na uhakika wa dola 100 kwa mwezi...Sasa sijakwambia ukiwa na user 1M tu Trust me unaweza kujenga kwa pesa za Admob
Kupata hizo namba si rahisi. App za bongo zinazopata hizo namba hazifiki 2%
 
Vijana wenzangu, maendeleo makubwa mnayoyaona hapa Tanzania ikiwemo biashara kubwa, majumba makubwa na magari ya kifahari hayajapatikana kwa hela za mitandaoni

Bali maendeleo haya yalipatikana kwa kufanya kazi kwa bidii kubwa ndipo mafanikio haya yakapatikana

Nyumba mnazoziona Salasala, Mbezi Beach, Masaki, Goba na kwingineko zimepatikana kwa juhudi kubwa ya kazi zinazoeleweka kama biashara kubwa, ajira kubwa Serikalini nakadhalika na sio kupitia hela za mitandaoni

Hivyo basi msipoteze muda wenu mitandaoni bali muamini kwenye kufanya kazi za kueleweka sio hivyo tu bali juhudi na nidhamu ya pesa inahitajika
Ewe mjing jielimishe kwanza kabla ya kupostosha. Mafanikio hayana kanuni na kwa taarifa yako Dunia ilipofikia pesa ziko mtandaoni zaidi ya mtaani, jielimishe na usiishi kwa kukariri.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Kuna nafasi nyingi serikalini hazina maslahi kama hayo. Mfano walimu, wakunga, na watu wa halmashauri za huko moani. Nenda rudi wako vile vile, ni nyumba ameijenga kwa mkopo akijitahidi ana IST. Basi. Lakini kwa watu ambao kweli wanakomaa mtandaoni anaweza make zaidi ya pesa yake ya mwaka mzima kwa miezi kadhaa wakati mwingine.
Mtandao Gani huo...?
 
Nipe darasa hii kama huto jali
Mkuu, tafuta skills unayoiweza na ambayo una passion nayo. Mfano tuseme unapenda kufanya Voice overs, then invest in that skill nunua vifaa, fanya mazoezi, tengeneza demos kisha kauze hiyo skill mtandaoni mkuu. Inaweza kuchukua muda ila trust me mwisho itakulipa. Inaweza kukuchukua hata miaka miwili mwanzoni utakuwa unapata ela ndogo ndogo labda dollar 50, 100, kwa mwezi ila ukishatengeneza network utaanza kupata zaidi ya dollar 1000 kwa mwezi
 
Ni kweli, juhudi binafsi zitakufikisha mbali. Lakini kuna hawa wala rushwa ambao wana kula kodi zetu kila kukicha. Ndo wenye biashara kubwa na majengo maeneo uliyo taja.
Wamejitengenezea minyororo ya thamani
 
Huwa nawashangaaga sana hawa watoto hovyo kabisa yaani serious wanakomaa na mitandao..

Ndo hawa wanakua walamba lipsi mwisho wa siku wana wafilimba
 
Hapa JF hatupati kitu hata upachike 10posts hupati hata 200/-, X unaweka 10posts hupati kitu mpaka ujisajili kimfumo, same huko IG nk.

Na hata ukija kupata kwa mwezi labda 100 USD ni pesa ndogo na sidhani kama wengi wanafikisha hiyo!.
 
Hapa JF hatupati kitu hata upachikw 10 posts hupati hata 200/-, X unaweka 10posts hupati kitu mpaka ujisajili kimfumo, same huko IG nk.

Na hata ukija kupata kwa mwezi labda 100 USD ni pesa ndogo na sidhani kama wengi wanafikisha hiyo!.
Nikweli mkuu
 
Mfano una App yako inapata watumiaji 300k tu kwa mwezi? ukiweka admob unakua na uhakika wa dola 100 kwa mwezi...Sasa sijakwambia ukiwa na user 1M tu Trust me unaweza kujenga kwa pesa za Admob
Vipi nikiwa na viewers feki ah robots
 
Back
Top Bottom