Vijana wenzangu msipoteze muda wenu kusubiri hela za Google, Facebook na TikTok kwasababu ni hela za chai, mtachelewa kufanikiwa

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Vijana wenzangu, maendeleo makubwa mnayoyaona hapa Tanzania ikiwemo biashara kubwa, majumba makubwa na magari ya kifahari hayajapatikana kwa hela za mitandaoni

Bali maendeleo haya yalipatikana kwa kufanya kazi kwa bidii kubwa ndipo mafanikio haya yakapatikana

Nyumba mnazoziona Salasala, Mbezi Beach, Masaki, Goba na kwingineko zimepatikana kwa juhudi kubwa ya kazi zinazoeleweka kama biashara kubwa, ajira kubwa Serikalini nakadhalika na sio kupitia hela za mitandaoni

Hivyo basi msipoteze muda wenu mitandaoni bali muamini kwenye kufanya kazi za kueleweka sio hivyo tu bali juhudi na nidhamu ya pesa inahitajika
 
Ni kweli, juhudi binafsi zitakufikisha mbali. Lakini kuna hawa wala rushwa ambao wana kula kodi zetu kila kukicha. Ndo wenye biashara kubwa na majengo maeneo uliyo taja.
Umeongea fact. Mishahara mingi ya wafanyakazi wa serikali hata milioni 100 kwa mwaka haifiki ila mtu wka mwaka anafanya maendeleo ya zaidi ya milion 500 na si mkopo wala wengine biashara hawana kabisa. Hizo nafasi alizotaja watu wanazikimbilia kwa sababu zina mianya ya rushwa.
 
Vijana wenzangu, maendeleo makubwa mnayoyaona hapa Tanzania ikiwemo biashara kubwa, majumba makubwa na magari ya kifahari hayajapatikana kwa hela za mitandaoni

Bali maendeleo haya yalipatikana kwa kufanya kazi kwa bidii kubwa ndipo mafanikio haya yakapatikana

Nyumba mnazoziona Salasala, Mbezi Beach, Masaki, Goba na kwingineko zimepatikana kwa juhudi kubwa ya kazi zinazoeleweka kama biashara kubwa, ajira kubwa Serikalini nakadhalika na sio kupitia hela za mitandaoni

Hivyo basi msipoteze muda wenu mitandaoni bali muamini kwenye kufanya kazi za kueleweka sio hivyo tu bali juhudi na nidhamu ya pesa inahitajika
Kuna nafasi nyingi serikalini hazina maslahi kama hayo. Mfano walimu, wakunga, na watu wa halmashauri za huko moani. Nenda rudi wako vile vile, ni nyumba ameijenga kwa mkopo akijitahidi ana IST. Basi. Lakini kwa watu ambao kweli wanakomaa mtandaoni anaweza make zaidi ya pesa yake ya mwaka mzima kwa miezi kadhaa wakati mwingine.
 
On Point

Tanzanians Elimu bado sana wengi wana Copy tu hata network yenyewe hawajui inaletaj ela kwa tz niliona msani X ana lalamika eti she has 8milions following but no commercials deal for her ,it's so Sad

Again Tz hamna monitization ya network no tiktok fb or ig unakuta watu wanaombana gift ndio wapate ela? Really? Time wasting platforms

Anyways YouTube is good lkn it takes years to make it a business

Sasa tz mtu yuko busy ku push mambo ambayo hapat kitu for 5 years busy running in a rate race
.
Mashamba yapo ,bahari zipo milima ipo mtu yuko busy tiktok please send me a gift 🤣😂
 
Si lazima kutengeneza pesa kama content creator kuna njia nyingi za kutengeneza pesa online mkuu. Kuna watu wanatengeneza pesa nje ya uwanja huo na kujulikana si rahisi kwa sababu hawatengenezi contents
 
Kabisa mkuu. Kuna watu ukiwaeleza pesa unayopata mtandaoni hawawezi kuamini kabisa. Lakini mtandaoni kuna pesa nyingi ya halali.

Wabongo ndo wameshtukia kipindi hiki cha elfu mbili na kitu ila watu wanalaza hela kimya kimya kitambo tu, Na sio kwa njia hizo pendwa za hawa new content creators. Mtoa mada arudi google afanye reasearch upya aone ma-pro wanafanyaje hizi kazi.
 
Kabisa mkuu, hapa sasa hivi nimetoka kuvuta 647k toka huko huko kwa kazi moja ya siku kama 5.
 
Wabongo ndo wameshtukia kipindi hiki cha elfu mbili na kitu ila watu wanalaza hela kimya kimya kitambo tu, Na sio kwa njia hizo pendwa za hawa new content creators. Mtoa mada arudi google afanye reasearch upya aone ma-pro wanafanyaje hizi kazi.
Tupe ilmu...
 
K
Si lazima kutengeneza pesa kama content creator kuna njia nyingi za kutengeneza pesa online mkuu. Kuna watu wanatengeneza pesa nje ya uwanja huo na kujulikana si rahisi kwa sababu hawatengenezi contents
Wew nae kwa kukurupuka sasa which group am I talking about? Did I mention someone with database and networking skills? Or some one does CEOS?

Sometimes you better shut up you mouth , of courses You Dull
 
Watajenga na wao kwa pesa za Tiktok tuwape muda njia za utafutaji zinabadilika kadiri muda na teknolojia inavobadilika.
Kuna watoto nawafahamu wanamfumo wao wa kusimamia mauzo ya uuzwaji wa mafuta katika vituo vya mafuta nawaona wakifika mbali.
Kwani washaanza kuuza mfumo wao na uko vyema.
 
Ni vyema mkaweka hapa hizo njia za kuingiza pesa kwa "juhudi".......
Mfano una App yako inapata watumiaji 300k tu kwa mwezi? ukiweka admob unakua na uhakika wa dola 100 kwa mwezi...Sasa sijakwambia ukiwa na user 1M tu Trust me unaweza kujenga kwa pesa za Admob
 
Shusheni nondo mkuu.... inauma kukutana na vijana daily mtaani na mi-camera kibao bila faida yoyote
 
Back
Top Bottom