Vijana wenzangu unapoamua kuoa mwanamke mchaga unapaswa kujua haya

Kaka zao waje wathibitishe hili.
Pale mji wa Moshi kaa na wazee above 55 yrs mkiwa mnakunywa kahawa ama mbege wadodose watakuambia hivi:
Machame ni pazuri pa kuolewa na si kuoa
Ukitaka mke mke kweli nenda Rombo (ni wavumilivu) ila uwe timamu.
Marangu, lazima usaidiwe. Kama mmezaa watoto 4 basi ujue 2 si wa kwako.
In conclusion: Ukitaka kuoa uchagani nenda palipo na wakatoliki wengi, kuna unafuu mkubwa.
NB: Sehemu zenye Uislamu shida ni kilichotangulia. Wachaga walislimu ili kichinjio cha Bomang'ombe kisihamishwe - apatikane mchinjaji.
 
Bibi mkubwa kamtanguliza Mzee!!
 
Ukweli kulingana na ubongo wako. Mimi nimesoma na nina exposure na bahati nzuri sana huwa natumia sayansi kufikia conclusions zangu na siyo hisia... Unataka kuniletea imani za kipindi watu wakiamini baridi ndiyo inasababisha pneumonia hapa?
Kwamba wewe umesoma kitu gani? Kwamba wewe una uchumi gani kunizidi mimi? tena mtu mwenyewe unatumia jina bandia humu ndani tena unajisifu umesoma kwa kufundishwa na Wakina kabudi na kitila ?
 
Hata Awe MSABATO, Hata awe Mlokole, Hata awe Swala 5, Ukweli ni kwamba ASILI Ya mtu ipo Palepalee.... Kuna Makabila Hata Nipewe Pesa Sintokubali kuOA Na kuishi Nao,, 1. Wachaga 2. Wahaya 3. Wanyakyusa.
Mnyakyusa chaguo bora zaidi ya hawa
 
Uowe asijue,note this,akijua vita unayo!!, ajabu ya wanawake,yeye akigongwa anaona ni sawa tu,wewe ukiwa na kabinti nje anaona hapana kabisa na kosa kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…