Vijana wenzangu unapoamua kuoa mwanamke mchaga unapaswa kujua haya

Hata Awe MSABATO, Hata awe Mlokole, Hata awe Swala 5, Ukweli ni kwamba ASILI Ya mtu ipo Palepalee.... Kuna Makabila Hata Nipewe Pesa Sintokubali kuOA Na kuishi Nao,, 1. Wachaga 2. Wahaya 3. Wanyakyusa.
Wahaya na Wanyakyusa kisa nini?
Je ushawahi lala na wa aina hiyo kuanzia 10-20 ili ulete conclusion?
Au unasikiliza maneno ya vijiweni?
 
Hata Awe MSABATO, Hata awe Mlokole, Hata awe Swala 5, Ukweli ni kwamba ASILI Ya mtu ipo Palepalee.... Kuna Makabila Hata Nipewe Pesa Sintokubali kuOA Na kuishi Nao,, 1. Wachaga 2. Wahaya 3. Wanyakyusa.
We Kashai sio mhaya kweli wewe hahahaa.. the same here, hayo makabila in that order siwezi kuoa.
 
Na mrangi nae ni kabila Bora la kuoa si ndy maana yake sawa mkuu endelea.
 
Mkuu huyo jamaa amegusa emotions zako, ukweli ni kwamba empirically hayo makabila tajwa yana shida, wahaya mfano wao kwa wao hata hawataki kuoana.. ila kuliko waoane na makabila mengine ni heri waoane wao kwa wao.
 
Yaani Niachane Na Mke Wangu Kisa Tukio La Kweka ?
Acha Maisha Yaende Mbele Tu Mengine Ni Mumo Kwa Mumo
Lake Mtu Halimtapishi
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia Jua
 
Tukiachana na ukabila. Aiseee mwanaume aheshimiwe. Maua tunapewa siku tukiwa chini ya ardhi ila machungu tuliyoyabeba No body care.
 
Samahani mkuu

Umenijibu kwa hasira ya kistaraabu hadi nimeshtuka mkuu!

Naomba unirekebishe.
Kabla sijakurekebisha naomba niamini wewe sio Mrangi.
Then kama ni ndy basi iwe kheri ila usioe mrangi mwenzio. ila kama wewe sio Mrangi nakushauri usioe Mrangi KABISAAA hao wanawake wao hawapendi Mali zako ila wanatabia ya umala.. hatari utagongewa mbaka useme hiki Nini. Kuna kipindi nilimwambia broh (mtoto wa mama yangu mkubwa) nataka kuoa akasema owa lakini naomba asiwe mrangi tu. Mimi nawajua na yeye anawajua zaidi maana amesoma chuo cha dini ambacho kina wa rangi wengi kwahiyo anawajua vizuri sana
 
Huwezi jua pengine walipambana wote kupata hizo Mali.
 
Wahaya na Wanyakyusa kisa nini?
Je ushawahi lala na wa aina hiyo kuanzia 10-20 ili ulete conclusion?
Au unasikiliza maneno ya vijiweni?
Wahaya ukitambulishwa mjomba nyumbani ujuwe ni mume mwenzako huyo.

Sex kwao ni kama Wazulu siyo jambo la kunyimana, sasa ukitaka chakochako ni bora kuepukanana nao.
 
Wanyantuzu ni tabaka la Wasukuma wa Itilima Bariadi Mkoa wa Simiyu.

Ndio kabila la Mtemi Andrew Chenge, jihadhari sana kuowa mwanamke kutoka kabila hilo, wana uchawi unaofanyakazi live hata uwe mjanja vipi hapo imekula kwako.
Wanapatikana maeneo gani sana sana?
 
Hata Awe MSABATO, Hata awe Mlokole, Hata awe Swala 5, Ukweli ni kwamba ASILI Ya mtu ipo Palepalee.... Kuna Makabila Hata Nipewe Pesa Sintokubali kuOA Na kuishi Nao,, 1. Wachaga 2. Wahaya 3. Wanyakyusa.
mkuu najalibu kukuelewa japo sina hakika na ulichosema. nmeoa mnyakyusa tupo fresh tu ila unaitaji kchwani uwe smart.kwa uzoefu wangu nyakyusa grl hana tamaa ya mali ila anapend sana mamlaka so ukiwa fala atakupanda kichwani..huwa namtania wf kuwa wew mnyakyusa af me mnyamwez so umekuja mahali sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…