Vijana wenzangu unapoamua kuoa mwanamke mchaga unapaswa kujua haya

Wagogo,warangi.wabena,wanyakyusa,wachaga mwishoe mtasema wamasai.kunawakati mijutu inakosa akili sijui…

Vijana tusipende kufuata mikumbo,halafu Gunner11 na huyo katuni mnashida gani?
 
Janga kubwa sana hili nchini Tanzania kama mwanao ameoa mchaga kunywa maji mengi tulia lakini wanawake wakichaga wanaongoza kwa kuwawekea sumu wamezao
 
Kaongea ukweli unaouma sana kiufupi yupo sahihi kwasababu wanawake wa kichaga ni mafia sana kwenye mali
 
Hakuna fala anayeweza kuoa makabila tajwa hapo. Mpaka uwe smart kwanza uwe umeenda shule , halafu uwe nazo mfukoni. Kinyume na hapo utaishia kwa wasukuma n.k
Kwenda shule ndio kukoje na Kuna uhusiano gani na ndoa?sasa mpaka uwe nazo ndio uwaoe hauoni kuwa hao ni malaya wanaojiuza?
 

 
Kaongea ukweli unaouma sana kiufupi yupo sahihi kwasababu wanawake wa kichaga ni mafia sana kwenye mali
Uzuri wa maisha ni kuwa una uhuru wa kuoana wanawake malaika kutoka kwenye makabila mengine ili upate mafanikio ya haraka au uepuke unachohofia. Kwa nini utoe mapovu? Umelazimishwa?
 
Uwezo wa Kuwapata Ninao Coz Wote hao Niliowataja Nimeshadate Nao Nawafahamu Vizuri tuu, Nilichokiandika ni FACT, Asili ya Mtu ipo Palepale.
Kumbe hata ku date nao tayari halafu unakuja tena huku kulia-lia? Ukisikia akili matope ndiyo hizi. Sasa ulipokuwa una date nao wangekuua ungemlaumu nani? Yaani wanawake wa hatari namna hiyo unakaa nao karibu? Idiot!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…