Mnachihanguu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 266
- 331
Ukweli inabidi uachwe uonekane na sio kuupindisha....nimewachapa wanawake wa kichaga kama 7 hivi na wote wanajisifia eti wachaga pesa mbeleUzuri wa maisha ni kuwa una uhuru wa kuoana wanawake malaika kutoka kwenye makabila mengine ili upate mafanikio ya haraka au uepuke unachohofia. Kwa nini utoe mapovu? Umelazimishwa?
Hapa unampinga mleta maada.Unajidanganga mama yangu ni mchaga
Hapa unamsapoti mleta maada kwamba hata bro wa mzee wako alilijua hilo.Yeye na mama walikua na anniversary 40's na ushee mama aliwai kutamkiwa na ba mkubwa eti Mali Zina ongezeka asije muua baba
Machozi ni kipimo dhaifu sana kuupima upendo wa mwanamke.Mama siku. Ya msiba wa mzee alikua analia sana sanaa ni mfano wa true love from scratch from the beginning to something
Ndiyo maana nakuambia wewe ni nanga tu. Hapo ulipigwa kidole cha topeUkweli inabidi uachwe uonekane na sio kuupindisha....nimewachapa wanawake wa kichaga kama 7 hivi na wote wanajisifia eti wachaga pesa mbele
Sawa ila huo ndio ukweli kuhusu wanawake wa kichaga...Ndiyo maana nakuambia wewe ni nanga tu. Hapo ulipigwa kidole cha tope
Kuna ka ukweli hapa. Kuna mambo ktk maisha haufundishwi darasani.Acha upotoshaji, dawa ya mwanamke ni mwanamke tu.
Ukiona mke haeleweki mpandishe cheo awe mke mkubwa, mchawi ni pesa tu.
Kisa na mkasa cha kwenda kukaa maporini halafu mema ya nchi ale nani?
Mnazidiwa akili hata na walimu wa madrasa wanaowa wake wengi wanawake kazi ni kushindana kumuhudumia Ustaadhi na wanapangiwa zamu leo analala huku, kesho kule keshokutwa kule.
Shida usomi umewazidi hamuulizi elimu ya maarifa ya kuishi na wanawake haifundishwi darasani wala mtandaoni.
Kwasababu yeye anaamini kwamba ktk mahusiano ya ndoa mchaga mwanamke ni kipengele kuliko mchaga mwanaume.Sasa kwann amselee mwanamke wakat wote ni wachaga
Ukweli kulingana na ubongo wako. Mimi nimesoma na nina exposure na bahati nzuri sana huwa natumia sayansi kufikia conclusions zangu na siyo hisia... Unataka kuniletea imani za kipindi watu wakiamini baridi ndiyo inasababisha pneumonia hapa?Sawa ila huo ndio ukweli kuhusu wanawake wa kichaga...
Kwasababu yeye anaamini kwamba ktk mahusiano ya ndoa mchaga mwanamke ni kipengele kuliko mchaga mwanaume.
πππSema wachaga nao kuwatetea muda mwingine ni kazi πππ
umeongea ukweli mtupu mkuu.. ninauzoefu kiasi mana nimeoa mnyakyusa wanapenda sana awe final say kwny maamz ya familia. inabidi uwe mtata mkuuWahaya na Wanyakyusa Wanapenda Kumpanda Mwanaume Juu, Wana Asili ya Utawala, Ukitaka Uendane nao inabidi uwe Mtata kidogo, Mkorofi kidogo, ila kama ni Mpole kama Nilivyo Mimi Hapana Sikushauri.... !!!
Mbona kuna familia ya kihaya haina hizo mambo kabisa? Hata mabinamu hawalani?Wahaya ukitambulishwa mjomba nyumbani ujuwe ni mume mwenzako huyo.
Sex kwao ni kama Wazulu siyo jambo la kunyimana, sasa ukitaka chakochako ni bora kuepukanana nao.
Daktari ni kwamba uchawi wa Wanyantuzu una nguvu sana kuliko sehemu nyingine?Gamboshi ndio kwao kwa kifupi labda uelewe ndio kina Ng'wanamalundi.
Makablia gani hayapandi wanaume na sio wahuni?Wahaya na Wanyakyusa Wanapenda Kumpanda Mwanaume Juu, Wana Asili ya Utawala, Ukitaka Uendane Nao inabidi uwe Mtata kidogo, Mkorofi kidogo, ila kama ni Mpole kama Nilivyo Mimi Hapana Sikushauri.... !!!
ChaaaaaaaaaaaaaInasikitisha sana ila mpaka wamfikia hatua ya kugawana mali means kuna sababu.
Sababu kuu ambazo zinasababisha migogoro ya kwenye ndoa kubwa kabisa ni INFIDELITY.
Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe ,ukweli mchungu ukiona ndoa imevunjika basi mwanamke amechangia zaidi ya 90%.
ππππNdivyo walivyo alafu wababe sana plus wana vitambi(misosi)......kyela ndio sehemu pekee nchi hii wanawake wanawapiga mpka kuwajeruhi waume zao
DuhJanga kubwa sana hili nchini Tanzania kama mwanao ameoa mchaga kunywa maji mengi tulia lakini wanawake wakichaga wanaongoza kwa kuwawekea sumu wamezao
Hapa kitaa wamejaa masingle maza tu age 50+ ila cha ajabu waume zao wameishia floor ya 4 tu (40+) ,inafikirisha sanaJanga kubwa sana hili nchini Tanzania kama mwanao ameoa mchaga kunywa maji mengi tulia lakini wanawake wakichaga wanaongoza kwa kuwawekea sumu wamezao