Vijana wenzetu Kaskazini wanateketea kwa ulevi, Serikali lione hili kuokoa hiki kizazi

Serikali yenyewe Ipo bize kukusanya Kodi zinazoishia mifukoni mwa wachache, hata hivyo Pombe Kwa vijana wa ukanda huo ipo kwenye DNA
 
Huko ulevi hawajaaza Leo tangu enzi za mkoloni.
Ndio maana hata Binti wa kichaga ukimtongoza usimwambie wew ni mlokole atakublock siku hiyohyo.
 
sasa serikali iingilie kati wakati mtu anakunywa kwa sherehe zake,, au huwa wanalazimishwa
Of course kazi ya serikali kuhakikisha wananchi wake wako salama. Kwanza kuhakikisha hiyo pombe ni salama, pili sio kila sehemu kuwe na vibanda, bar, pub sio sahihi, pia sio muda wote ni kunywa tu, kuwe na muda maalum wa kufungua bar,mtu akifungua mapema apigwe faini.
 
Habari za muda wana JF

Nipo Moshi huku kuna Msiba wa Ndugu yangu Mmoja.

Ujue Nikijaga Moshi mara nyingi ni December na huwa ni Muda wa Sherehe sikunotice hiki kitu.

Nimekuja sasa hivi nimegundua Moshi vijana wengi nadiriki kusema zaidi ya 70% ni walevi wa hizi Pombe maarufu kama Vichungu au visungura au Highlife.

Serikali Msipoingilia kati tutapoteza nguvu kazi huku kaskazini hali ni mbaya sana.

Serikali serikali Futeni hizi pombe haraka sana.
Sio huko tuu mkuu hata huku Dodoma!
 
ndo manake wachaga wanapenda muziki wa rege,,,,manake wakishalewa wanatembea kama wanacheza rege!!!
 
Saana, wajuaji saaana. Sifa nyingi ila maisha wanakimbilia Dar kutafuta kula.
Hoja apa ni unywaji wa Pombe kupindukia.Na nimeamua kuwasema Vijana wenzangu wa kaskazini ili kuwaokoa ila wewe umeleta Chuki za kikanda.
Bila shaka hata kwenu vijana wa hovyo wapo kuzidi wa kaskazini.
 
Sijakuquote wewe mkuu.
 
Acha wateketeee tu maana hua mnajuona special sana.
Pumpavu
Acha hasira muhaya, ukiona kijana wa kichagga yupo tu kijijini na hana kazi ya kufanya, huyo ni kama ameshakufa tayari, hata ikiwa haonji pombe yoyote, yaani mwezi wa pili, wa tatu, wa sita, hadi december, upo tu kijijini wakati wenzako wapo mijini na mashambani huko wanasaka hela wewe umekaa tu hapo useri? Hata kama hanywi pombe, huyo ni useless, nb, kuna wale vijana wa vijiji vya pwani vilivyoko karibu na barabara kuu, wale huwa tokea asubuhi hadi jioni wapo tu pembeni ya lami wakisubiri basi lisimame, mtu apande au ashuke wamdai kondakta hela!! Hao nao hawana tofauti na hao walevi wa huko rombo.
 
Habari za muda wana JF

Nipo Moshi huku kuna Msiba wa Ndugu yangu Mmoja.

Ujue Nikijaga Moshi mara nyingi ni December na huwa ni Muda wa Sherehe sikunotice hiki kitu.

Nimekuja sasa hivi nimegundua Moshi vijana wengi nadiriki kusema zaidi ya 70% ni walevi wa hizi Pombe maarufu kama Vichungu au visungura au Highlife.

Serikali Msipoingilia kati tutapoteza nguvu kazi huku kaskazini hali ni mbaya sana.

Serikali serikali Futeni hizi pombe haraka sana.
Huko ndiyo kuna wazee wenye umri mrefu bwashee!!
 
Back
Top Bottom