Luis 505
JF-Expert Member
- Jan 11, 2025
- 676
- 948
Mbona wewe ni mlezi wa kutumia JamiiForums?? Na wewe pia ni mpuuzi??Wamekuwa wapuuzi sana wa ulevi vijana wa huko.

Kufuta visungura siya kufuta ulevi. Kwani watu wa sehemu nyingine hakuna visungura?Habari za muda wana JF
Nipo Moshi huku kuna Msiba wa Ndugu yangu Mmoja.
Ujue Nikijaga Moshi mara nyingi ni December na huwa ni Muda wa Sherehe sikunotice hiki kitu.
Nimekuja sasa hivi nimegundua Moshi vijana wengi nadiriki kusema zaidi ya 70% ni walevi wa hizi Pombe maarufu kama Vichungu au visungura au Highlife.
Serikali Msipoingilia kati tutapoteza nguvu kazi huku kaskazini hali ni mbaya sana.
Serikali serikali Futeni hizi pombe haraka sana.
Mbona makasiriko Sana mkuu walikufanya nini hawa watu?Acha wateketeee tu maana hua mnajuona special sana.
Pumpavu
Mara mia ashuke,lkn kizazi kinusurike,kuna pombe za kila aina na hatari sana sikuhizi.Bro kwani hizo pombe zinauzwa Kaskazini peke yake?ulimbukeni wao ndio utawaua.Unataka serikali ifungie hizo pombe.sasa vipi kuhusu viwanda vinavyozalisha hizo pombe,ushawaza ni watu wangapi watapoteza ajira?
Vipi kodi zinazolipwa serikalini?Hujui kuwa bilionea Mulokozi atashuka kwenye chati😀😀
Kweli mkuu kuna dogo alikua anafanya kazi ya kunyoa Salon anasema Kule Kilimanjaro alipanga Nyumba akawa ana mahusiano na Mtioto wa Mwenye Nyumba na anasema Wazazi wake walikua wapo poa ata wakimkuta chumbani kwa Binti yao wanaongea yani ata awasemi lolote....na msipokuwa makini ,Huko Uchagani sasa kutakuwa na Wachaga Macho Tara,kwa kuwa vijana wanaotoka mikoa mingine kwenda kumtafuta kazi ...ndio wanapiga miti mabinti zenu....na wengine wanawaoa kabisa kwa baraka nyingi za wazazi ! Na vihampa wanapewa !
Hilo ni janga sio Moshi tu ni nchi nzima,baada ya miaka kumi hili taifa litakosa wanaume wakuzalisha, angalia wimbi la ushoga unadhani limeanza Jana it was planned issue ambayo ilipandwa zaidi ya miaka ishirini Leo matunda yameanza kuonekana sasa hivi vipombe vichugu ni mkakati wa mabeberu kuangamiza rasilimali watu,serikali yetu inakopa kujenga miundombinu ambayo itakuwa uselessness, kwahiyo ndugu ukisubiri serikali imlinde mwanao you are too late,viongozi wa serikali wako busy na mambo Yao na familia zaoHabari za muda wana JF
Nipo Moshi huku kuna Msiba wa Ndugu yangu Mmoja.
Ujue Nikijaga Moshi mara nyingi ni December na huwa ni Muda wa Sherehe sikunotice hiki kitu.
Nimekuja sasa hivi nimegundua Moshi vijana wengi nadiriki kusema zaidi ya 70% ni walevi wa hizi Pombe maarufu kama Vichungu au visungura au Highlife.
Serikali Msipoingilia kati tutapoteza nguvu kazi huku kaskazini hali ni mbaya sana.
Serikali serikali Futeni hizi pombe haraka sana.
Kabisa unakuta saa 2 Asubuhi mtu Yuko chakali amelewa Wala haelewi chochote kileHii Imezidi Mzee yani hali ni mbaya hii ni hatari sana kwa ustawi wa Taifa.
Hizi Pombe serikali izipige Ban zinaua vijana
sisi tunatafuta kodi Mkuuu ,haya mambo tumewaachia TBS waamue kama zinafaa kwa matumize au mamlaka ya chakula na dawaHabari za muda wana JF
Nipo Moshi huku kuna Msiba wa Ndugu yangu Mmoja.
Ujue Nikijaga Moshi mara nyingi ni December na huwa ni Muda wa Sherehe sikunotice hiki kitu.
Nimekuja sasa hivi nimegundua Moshi vijana wengi nadiriki kusema zaidi ya 70% ni walevi wa hizi Pombe maarufu kama Vichungu au visungura au Highlife.
Serikali Msipoingilia kati tutapoteza nguvu kazi huku kaskazini hali ni mbaya sana.
Serikali serikali Futeni hizi pombe haraka sana.
Pamoja kwamba wajomba zangu hawakubaliani na hili lakini ukweli ni kwamba hali ya kupata mali kishirikina ni sehemu ya uovu ulivyo sasa.Habari za muda wana JF
Nipo Moshi huku kuna Msiba wa Ndugu yangu Mmoja.
Ujue Nikijaga Moshi mara nyingi ni December na huwa ni Muda wa Sherehe sikunotice hiki kitu.
Nimekuja sasa hivi nimegundua Moshi vijana wengi nadiriki kusema zaidi ya 70% ni walevi wa hizi Pombe maarufu kama Vichungu au visungura au Highlife.
Serikali Msipoingilia kati tutapoteza nguvu kazi huku kaskazini hali ni mbaya sana.
Serikali serikali Futeni hizi pombe haraka sana.
Yeye hajasema umem quote ila anaongelea content yako vs content aliyoiwasilisha haviendani.Sijakuquote wewe mkuu.