Vijana wenzetu Kaskazini wanateketea kwa ulevi, Serikali lione hili kuokoa hiki kizazi

Vijana wenzetu Kaskazini wanateketea kwa ulevi, Serikali lione hili kuokoa hiki kizazi

Habari za muda wana JF

Nipo Moshi huku kuna Msiba wa Ndugu yangu Mmoja.

Ujue Nikijaga Moshi mara nyingi ni December na huwa ni Muda wa Sherehe sikunotice hiki kitu.

Nimekuja sasa hivi nimegundua Moshi vijana wengi nadiriki kusema zaidi ya 70% ni walevi wa hizi Pombe maarufu kama Vichungu au visungura au Highlife.

Serikali Msipoingilia kati tutapoteza nguvu kazi huku kaskazini hali ni mbaya sana.

Serikali serikali Futeni hizi pombe haraka sana.
Himo nayo unaweza amini mirungi inalimwa hapo. .. Maana inauzwa nje nje.
 
Hao vijana wanaoteketea bi wapi??
Hao ni wahuni tu kama walivo mashoga apo Daerslaama,
Mtoa mada acha wivu na Arusha .
 
Issue ya ulevi kwa vijana ni kila mahali sio Moshi pekee, nenda Dar es salaam ni Jiji lenye vijana wengi walevi tena wanalala nje, nenda Kariakoo barabara ya Uhuru ukuta wa shule ya msingi Uhuru na Benjamini Mkapa secondary school nenda kwenye madaraja yote nenda stendi zote hasa Magufuli utakutana na vijana wengi walevi.
 
Miaka michache tu hapo Nyuma, mikoa ya Kanda ya ziwa ilikuwa inasimamia sana mienendo ya vijana katika jamii. Ilikuwa ni ngumu kuwakuta vijana wapo " Senta" wakinywa pombe. Ungeadhibiwa vikali na kukemewa.

Lakini kwa Sasa wazee na vijana wote wanakunywa sana japo hawajatepeta kama huko "Chugga" na "Kilimanjaro"

Huku Mbeya ndiyo usiseme Sasa! Madogo bangi, pombe na shisha wanafakamia sana.
 
Niliwahi kuandika humu kuhusu hili mkuu siyo huko tu ni sehemu zote. Ilitokea siku moja hapa kazini tukaletewa pombe za kujipimia kwenye mitungi asee sikuamini kabisa vijana miaka17 na hata chini ya hapo ni walevi kupindukia mbaya zaidi pombe zilikuwa zabure sio konyagi wala k van zote buree Tani yako ukipenda unabeba chupa zisizo zidi 3 kubwa na 5 ndogo aisee sikuamini.

Kuna vijana wadogo wanakunywa sijawahi Ona.

Sasa ukifika mtaani hizo pombe za ovyo ovyo kama ulivyotaja zimejaa vibaya mno wanasema unanujuaje bia buku2 ili hali ukinuni roboti Visungura unalewa kwa buku2 hapo sasa ukilinganisha na uchumi wao wanakunywa mbaya mno.

Nikweli serkali iwanusuru vijana
Kazini kwenu mnaajiri watoto under 17 !?
 
...na msipokuwa makini ,Huko Uchagani sasa kutakuwa na Wachaga Macho Tara,kwa kuwa vijana wanaotoka mikoa mingine kwenda kumtafuta kazi ...ndio wanapiga miti mabinti zenu....na wengine wanawaoa kabisa kwa baraka nyingi za wazazi ! Na vihampa wanapewa !
Huu ndio uhalisia master, kuna sehemu kule wanawake wanakimbilia mpakani wakapigwe miti maana wanaume wao wanalewa kupindukiaa ni hatari sana na wala sio kitu cha kuchekesha
 
Habari za muda wana JF

Nipo Moshi huku kuna Msiba wa Ndugu yangu Mmoja.

Ujue Nikijaga Moshi mara nyingi ni December na huwa ni Muda wa Sherehe sikunotice hiki kitu.

Nimekuja sasa hivi nimegundua Moshi vijana wengi nadiriki kusema zaidi ya 70% ni walevi wa hizi Pombe maarufu kama Vichungu au visungura au Highlife.

Serikali Msipoingilia kati tutapoteza nguvu kazi huku kaskazini hali ni mbaya sana.

Serikali serikali Futeni hizi pombe haraka sana.
Huo ninuchaguzivl wao. Pia, ni watu wazima
 
1743815459220.png
 
Habari za muda wana JF

Nipo Moshi huku kuna Msiba wa Ndugu yangu Mmoja.

Ujue Nikijaga Moshi mara nyingi ni December na huwa ni Muda wa Sherehe sikunotice hiki kitu.

Nimekuja sasa hivi nimegundua Moshi vijana wengi nadiriki kusema zaidi ya 70% ni walevi wa hizi Pombe maarufu kama Vichungu au visungura au Highlife.

Serikali Msipoingilia kati tutapoteza nguvu kazi huku kaskazini hali ni mbaya sana.

Serikali serikali Futeni hizi pombe haraka sana.
Watunwaningiza Kodi million 90 kwa siku serikali ifunge...
 
Habari za muda wana JF

Nipo Moshi huku kuna Msiba wa Ndugu yangu Mmoja.

Ujue Nikijaga Moshi mara nyingi ni December na huwa ni Muda wa Sherehe sikunotice hiki kitu.

Nimekuja sasa hivi nimegundua Moshi vijana wengi nadiriki kusema zaidi ya 70% ni walevi wa hizi Pombe maarufu kama Vichungu au visungura au Highlife.

Serikali Msipoingilia kati tutapoteza nguvu kazi huku kaskazini hali ni mbaya sana.

Serikali serikali Futeni hizi pombe haraka sana.
Ulichoandika ni kweli kabisa, kuanzia Moshi mjini mpaka vijijini huko juu Kibosho, Marangu na Rombo ndio kabisaa

Hivi viwanda ndio vifungiwe, serikali isiangalie kodi tu

Kuna viwanda vingi Moshi vya hivi visungura, yaani saaahivi vipo vingi sana na sijui hata kama vimesajiliwa
 
Kizazi cha watoto walio changanyikiwa kwa sbb ya kukosa malezi ya baba
 
Back
Top Bottom