Vikao vya CCM Dodoma Vyaiteka Nchi. Habari zake Zatawala kila Kona Na Kuteka vyombo vyote Vya Habari, Maazimio Yake kutetemesha Nchi

Nasikia huko Marekani wameanzisha kanisa la shetani.

Na linapata wqumini wengi kweli kweli
 
Chama kubwa
 
Sema sometimes mnapenda Watu wawatukane Bure tu, sasa umetukuta tumekaa kwa Amani na utulivu, tunatafakari ada za January halafu unatuletea ushuzi hapa, kenge wewe
Serikali ya mama Samia inatoa Elimu bure na Elimu inayotolewa Ni Elimu bora
 
CCM ndio mahali pekee unapokuta vijana wameiva kiuongozi na wanabishana kwa hoja ,tofauti na wale wa upande wa pili yaani chadema wanatukana matusi utafikiri wamekatika mishipa yotee ya ufahamu vichwani mwao

Kumsifia rais sio kubishana kwa hoja. Huwa mnabishana wapi kwa hoja, maana hata midahalo huwa hamtaki. Ni kweli maana kwa sasa kusema ukweli dhidi ya serikali ni kutukana.
 
Kumsifia rais sio kubishana kwa hoja. Huwa mnabishana wapi kwa hoja, maana hata midahalo huwa hamtaki. Ni kweli maana kwa sasa kusema ukweli dhidi ya serikali ni kutukana.
Itisha huo mdahalo nije kuwasambaratisha kwa hoja
 
Serikali ya mama Samia inatoa Elimu bure na Elimu inayotolewa Ni Elimu bora

Nitajie mtoto wa kiongozi wa CCM ambaye mtoto wake anasoma kwenye hizo shule za elimu ya bure, ili tupime ubora wa hiyo elimu bure.
 
Hivi mpaka leo hujagunduaga tu kama wewe ni mtumwa pale lumumba?
 
Enderea kutumikishwa kama punda POLI IPO siku utatukumbuka machizi wengi walikua na mbwembwe kuliko wewe walipokosa uteuzi wamejiweka kando umebaki kikeyako kama stroke kasitafu itakua wewe .
Kwani wapi nilipozungumzia habari za uteuzi?
 
Kwani wapi nilipozungumzia habari za uteuzi?
Bidii Yako Nini kumbe unataka ?kama SI uteuzi umejipa kazi ya kuwatukana mitandaoni watu wasio na makosa na ukachagua kuyatetea majizi yalioitafina nchi hii miaka na miaka mpaka tunatamani mkoloni aludi japo tupumue
 
Kama unawajitaji wakoloni nenda uwafuate huko waliko utuache sisi tukiijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe
 
Hii kibuyu nyumbu kabisa niko Chang’ombe Dodoma hapa kama nisinge enda mjini nisingejua kama wakubwa wanakikao pale baada ya kukuta barabar imefungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…