Vikao vya CCM Dodoma Vyaiteka Nchi. Habari zake Zatawala kila Kona Na Kuteka vyombo vyote Vya Habari, Maazimio Yake kutetemesha Nchi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.

Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM

Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu

Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote

Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
 
Chama Cha Majizi
20220912_074144.jpg
20220830_080032.jpg
20220223_025729.jpg
20220222_123657.jpg
 
Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.
7
 
Attachments

  • IMG_20221017_200817.jpg
    IMG_20221017_200817.jpg
    103.1 KB · Views: 4
Chama cha Mataahira hakina think tanks
Hiki Ni chama ambacho vyama vyote huja hapa kujifunza namna ya kuongoza nchi,Ndio sababu ya kuona CCM ikiwa na vyama rafiki kila Kona ya Dunia, wakati wapinzani wa hapa nchini wameshindwa hata kuungana tu wao kwa wao
 
Weka na picha yako sio namba ya simu tu. Sema habari za CCM zateka wazee. Huko kwenye vyombo vya habari wanapeleka habari sio kwa kuwa walaji wanazitaka, bali nguvu ya dola na pesa ndio inasababisha wapeleke hizo habari. Lakini ukifanya tathmini wanaojua kuwa CCM inafanya mkutano hawafiki hata 3% ya watanzania.
 
Peleka na wewe habari zako uone Kama Kuna wakuhangaiika nazo huku mitaani, wananchi wanafuatilia habari za CCM kwa kuwa ndio chama kilichoonyesha kuwa na uchungu na maisha ya watanzania
 
Yaani kwanza ndio nasikia kwako hizo habari za CCM ziko kwenye vyombo vya habari. Na hakuna popote nimekuta watu wanajadili huo mkutano wa CCM. Labda wazee huko mitaani ndio wanajadili hizo habari za hicho chama cha majizi ya kura.
 
Itakuwa umejifungia kwenye hivyo vyumba vya hapo ufipa
 
Wanakuja kujifunza wizi wa kura, wizi wa mali ya umma, uzembe na ubadhirifu
Nani kakudanganya hivyo? CCM Ni mfano wa kuigwa katika suala la uongozi, siyo Kama hapo ufipa Mwenyekiti amishikilia kigoda kwa nguvu na Hataki mtu yeyote akiguse Wala kukisogelea kigoda chake, Ndio maana akawaambia wanaokitamani kiti chake kuwa sumu haionjwi
 
Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.

Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM

Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu

Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote

Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Uchumi unaanguka,mfumuko wa bei juu,wewe unaleta habari za vikao kuteka nchi?, hopeless sana,

Umeweka namba kama zuzu [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Ndio nasoma hapa. Acha basi umbra. Watu wanakuwa bis hata hawajui hii kitu. Mmeshamtoa pm ?angalau kupotezea maboya watu jinsi mlivyo inkompitenti
 
Issue zipi hizo ambazo hazijaguswa na kufanyiwa kazi na uongozi wa mama yetu shupavu mama Samia
Unaona matatizo waliyo nayo wananchi huduma za kutatanisha Rushwa kila Kona zinakufurahisha kuona Wapiga dili wanafanya mema.
Hii ni Kwa sababu ya kuchezea pesa za walipa Kodi kinyume na hapo Wala hizo vikao havingalifanyika!!!
 
Uchumi unaanguka,mfumuko wa bei juu,wewe unaleta habari za vikao kuteka nchi?, hopeless sana,

Umeweka namba kama zuzu [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Hakuna kilichokero hapa nchini kwa mwananchi ambacho hakishughilikiwa na serikali hii ya CCM, suala la mfumuko wa Bei umeona namna serikali hii ya CCM chini y uongozi shupavu wa mama Samia ambavyo ulikuwa ikitoa Ruzuku ya billion Mia moja kila mwezi katika mafuta,lakini pia mama Samia alitoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika mbolea na hivyo kupelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni ,mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa elfu 70 tu
 
Back
Top Bottom