Vikao vya CCM Ikulu vinakera

Ukiweza kusoma bila kutanguliza hisia utajua kuwa sisi wengine siyo wafia vyama...tunalima na kupongeza kotekote fairly
Kama kweli Wewe siyo mfia chama sasa imekuwaje umechomekea hili?

Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku hizi ni kipenzi cha makamanda].
 
This is a fact
Dah!

Unajua kuna mambo mengine mtu unadhani ni common sense tu....kwamba they are a no-brainer...lakini unakuta kuna mamtu hayaoni na hayaelewi.

I mean...suala kama hili la CCM kufanya mikutano yao ikulu ni jambo ambalo wala halihitaji mjadala kabisa. Ni suala ambalo mtu yeyote kwa kutumia busara tu za kawaida anapaswa alione kuwa si sahihi katika mazingira [ya vyama vingi] tuliyonayo!

Moja ya mambo ambayo nilikuwa japo na matumaini kidogo na huyu Ngosha lilikuwa ni hili la CCM kufanyia mikutano ikulu.

Nilidhani [maybe naively] kwamba kwa vile jamaa anajipambanua kuwa ni a no-nonsense guy basi labda atauondolea mbali huo utaratibu lakini wapi!

Hii nchi bana....
 
Hii serikali imeweka rekodi katika utendaji wake....

Shughuli za kijeshi kufanyika za kisiasa, refer tukio la hivi karibuni katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid!

Vikao vya chama kufanyia Ikulu, refer tukio la kumalizika kwa vikao vya CCM katika Ikulu yetu!.

Nimeamini maneno ya Zitto Kabwe kuwa tumeikabidhi nchi kwa washamba na malimbueni!
 
kwa hawa wabunge wetu wa ndiooo umajisumbua hasa ukizingatia wao ndio wengi bungeni
 
Wale ndio Mzee wa kijani hawana hiyo nguvu. Na hivi kuna SMG ndo hawatajaribu kabisa. Sahau ndugu yangu sisi tumemwachia Mungu atoe hukumu
 
Ikulu ndio kwenyewe kabisa. Habari za kikao azipatikani ovyo ovyo. Ohio wamegukuzwa watu. Ohio kinana kaandika barua ya kujihuzulu ohooo eti watu wote wanaofuata cha mavii wamefukuzwa. Kumbe wapi bwana... Taarifa sizo kabisa.
 
Kama upendi saga chupa ubwie mnafki mkubwa wewe.

Eti upendi nyama ya nguruwe ila mchuzi wake unakunywa, jinga kabisa.
 
Ufahamu umekurudia wewe LB 7
 
"Mwenyekiti wa CCM kamuomba Rais" kufanyia vikao vya CCM ikulu. Nahisi hivyo.
Sisi wananchi tunapongeza Rais kufanyia vikao ikulu kwani tumeshachoka kusimamishwa barabarani masaa matatu kisa msafara.

Waendelee tu kufanyia huko huko ikulu, chama kimeshika hatamu.
 
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…