Vikao vya CCM Ikulu vinakera

Vikao vya CCM Ikulu vinakera

Afanye tu kikubwa tuwe na Amani, Hamna kutekana, kuuana, kupigana risasi, kupotezana kama enzi za Magufuli.

Enzi za JK tulikuwa na Amani, hela ilikuwepo hatukuwahi kusikia vyuma vimekaza hata kama alifanya hayo usiyoyataka.

Mama pia achia hela kitaa wewe uendelee na mambo yako
Enzi za JK tulikuwa na amani? Steven Ulimboka, Kibanda, Jwani Mwaikusa, David Mwangosi, nk, sidhani kama watakubaliana nawe!

Halafu hela gani iliyokuwepo wakati wa JK?
 
Enzi za JK tulikuwa na amani? Steven Ulimboka, Kibanda, Jwani Mwaikusa, David Mwangosi, nk, sidhani kama watakubaliana nawe!

Halafu hela gani iliyokuwepo wakati wa JK?
Enzi za Jk tulikuwa tunaokota hela barabarani....

Kwani JK mwenyewe anasemaje?

Meanwhile yuko kwenye bembea..

IMG-20210606-WA0005.jpg
 
Enzi za JK tulikuwa na amani? Steven Ulimboka, Kibanda, Jwani Mwaikusa, David Mwangosi, nk, sidhani kama watakubaliana nawe!

Halafu hela gani iliyokuwepo wakati wa JK?
Ona hii mwangosi akipasuliwa utumbo
IMG_20210606_162104_088.JPG
 
Waking'ang'ania kuendelea kukutania Ikulu basi akina TADEA na wengine wote waruhusiwe kutumia Ikulu kwa mikutano yao ya kisiasa. Iwe Ikulu vurugu.
Yah wakishika dola watatumia, hakuna anayewakataza.
 
Oh, halafu nawasubiri wale mtaosema kwa nini hatukuhoji kipindi Magufuli anaendesha vikao vya CCM Ikulu….nawasubiri kwa hamu kubwa sana!
Nipo hapa, kwavile miafrika ndivyo tulivyo lazima nihoji, iweje marehemu joni ujamuweka au kwakuwa mgalatia mwenzio?
 
Mnachukia huyu mama kwa sabab sio kabila lenu...
Acha afanye anavyotaka yeye ndio mwenye nchi kwa sasa, kama mlivomtetea Jamaa enu Meko Mwendazake
Hakuna mtu anayemchukia , kama Maghufuli alipigwa supana huyu ni nani asipigwe anapoenda against , et mama , mama , we ni mama ako mzazi Mzee .......
 
Huu ujinga upo nchi za Afrika tu nchi zenye watu na viongozi wanao jitambua huwezi kuta ujinga huu
 
Enzi za JK tulikuwa na amani? Steven Ulimboka, Kibanda, Jwani Mwaikusa, David Mwangosi, nk, sidhani kama watakubaliana nawe!

Halafu hela gani iliyokuwepo wakati wa JK?
Hao uliowataja ni wachache, Magufuli aliua wengi sana zaidi ya hapo tena kwa muda mfupi

Hela ya mboga ilikuwepo enzi za JK, makundi mbalimbali yalinufaika, enzi za Magufuli wamenufaika wachache tu
 
Siku hizi nchi inaongozwa kutoka msoga.Jumong the hopeless president!
vm.jpg
 
Kwanini unadhani mama ndiye anayeweza kutekwa pekee na wala si mwingine?
Bila jazba Wala panic, hebu nieleze kwa nini chadema walienda kumshtaki kikwete ICC ikiwa kulikuwa na amani kipindi chake?
Pitia huu Uzi
 
Back
Top Bottom