Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi za JK tulikuwa na amani? Steven Ulimboka, Kibanda, Jwani Mwaikusa, David Mwangosi, nk, sidhani kama watakubaliana nawe!Afanye tu kikubwa tuwe na Amani, Hamna kutekana, kuuana, kupigana risasi, kupotezana kama enzi za Magufuli.
Enzi za JK tulikuwa na Amani, hela ilikuwepo hatukuwahi kusikia vyuma vimekaza hata kama alifanya hayo usiyoyataka.
Mama pia achia hela kitaa wewe uendelee na mambo yako
Mama yako aliwahi kutekwa au unafwata mkumbo tu kama nyumbu wa serengeti?Afanye tu kikubwa tuwe na Amani, Hamna kutekana, kuuana, kupigana risasi, kupotezana kama enzi za Magufuli.
Enzi za Jk tulikuwa tunaokota hela barabarani....Enzi za JK tulikuwa na amani? Steven Ulimboka, Kibanda, Jwani Mwaikusa, David Mwangosi, nk, sidhani kama watakubaliana nawe!
Halafu hela gani iliyokuwepo wakati wa JK?
Ona hii mwangosi akipasuliwa utumboEnzi za JK tulikuwa na amani? Steven Ulimboka, Kibanda, Jwani Mwaikusa, David Mwangosi, nk, sidhani kama watakubaliana nawe!
Halafu hela gani iliyokuwepo wakati wa JK?
Yah wakishika dola watatumia, hakuna anayewakataza.Waking'ang'ania kuendelea kukutania Ikulu basi akina TADEA na wengine wote waruhusiwe kutumia Ikulu kwa mikutano yao ya kisiasa. Iwe Ikulu vurugu.
Kwa akili kama hizi bado tuna safari ndefu sana.Mnachukia huyu mama kwa sabab sio kabila lenu...
Acha afanye anavyotaka yeye ndio mwenye nchi kwa sasa, kama mlivomtetea Jamaa enu Meko Mwendazake
Nipo hapa, kwavile miafrika ndivyo tulivyo lazima nihoji, iweje marehemu joni ujamuweka au kwakuwa mgalatia mwenzio?Oh, halafu nawasubiri wale mtaosema kwa nini hatukuhoji kipindi Magufuli anaendesha vikao vya CCM Ikulu….nawasubiri kwa hamu kubwa sana!
Hakuna mtu anayemchukia , kama Maghufuli alipigwa supana huyu ni nani asipigwe anapoenda against , et mama , mama , we ni mama ako mzazi Mzee .......Mnachukia huyu mama kwa sabab sio kabila lenu...
Acha afanye anavyotaka yeye ndio mwenye nchi kwa sasa, kama mlivomtetea Jamaa enu Meko Mwendazake
Kwanini unadhani mama ndiye anayeweza kutekwa pekee na wala si mwingine?Mama yako aliwahi kutekwa au unafwata mkumbo tu kama nyumbu wa serengeti?
Kwani naye aliendesha vikao vya CCM ikulu?Nipo hapa, kwavile miafrika ndivyo tulivyo lazima nihoji, iweje marehemu joni ujamuweka au kwakuwa mgalatia mwenzio?
Labda walitaka kumlawiti? tutajuaje?Kwanini unadhani mama ndiye anayeweza kutekwa pekee na wala si mwingine?
ROMA MKATOLIKI HAKUTEKWA MKUU?Mama yako aliwahi kutekwa au unafwata mkumbo tu kama nyumbu wa serengeti?
Hao uliowataja ni wachache, Magufuli aliua wengi sana zaidi ya hapo tena kwa muda mfupiEnzi za JK tulikuwa na amani? Steven Ulimboka, Kibanda, Jwani Mwaikusa, David Mwangosi, nk, sidhani kama watakubaliana nawe!
Halafu hela gani iliyokuwepo wakati wa JK?
Bila jazba Wala panic, hebu nieleze kwa nini chadema walienda kumshtaki kikwete ICC ikiwa kulikuwa na amani kipindi chake?Kwanini unadhani mama ndiye anayeweza kutekwa pekee na wala si mwingine?
Mama yako analo hilo jibu, kamuulize atakujibuLabda walitaka kumlawiti? tutajuaje?
Mama yako walimteka kwenye mazingira gani? Bafuni au jikoni?