Vikao vya watu wenye akili na vya wajinga utofauti wake

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Watu wenye akili utawatambua tu namna walivyo serious kwenye mambo ya msingi yanayohusu nchi.

Humu kugonga meza hovyo hovyo kama wendawazimu walio changanyikiwa huwezi kuta hawa watu wanafanya.

Makelele ya kijinga yasiyo na tija huwezi kuyasikia humu.

Vituko vya kijinga ni ngumu kujadiliwa,kupewa nafasi humu

Unaweza fikiri wote ni wanafunzi wapo kwenye chumba cha mtihani kumbe ni watu wazima wanajadili mambo ya msingi Haya sasa vikao vya watu wajinga huku.

Utani wa Simba na Yanga unaletwa katika mambo muhimu ya kitaifa

Vituko vya watu kuruka sarakasi, mara kulia, mara kutaka kupigana ngumi.

Kutambiana mambo ya uchawi, mizaha katika kujadili bajeti.

Kogonga gonga meza hovyo, makelele yasiyo na tija kama vile sokoni

Muda mwingine ni rahisi kung'amua wajinga na wenye akili
 
Nimecheka kifala, dah....! Utadhani mazuri.
🀣🀣🀣🀣
 
Naam, umechambua vema hakika. Hongera sana.
 
Muda mwingine ni rahisi kung'amua wajinga na wenye akiliπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…