Watu wenye akili utawatambua tu namna walivyo serious kwenye mambo ya msingi yanayohusu nchi.
Humu kugonga meza hovyo hovyo kama wendawazimu walio changanyikiwa huwezi kuta hawa watu wanafanya.
Makelele ya kijinga yasiyo na tija huwezi kuyasikia humu.
Vituko vya kijinga ni ngumu kujadiliwa,kupewa nafasi humu
Unaweza fikiri wote ni wanafunzi wapo kwenye chumba cha mtihani kumbe ni watu wazima wanajadili mambo ya msingi
View attachment 3193586View attachment 3193588View attachment 3193595View attachment 3193598View attachment 3193599 Haya sasa vikao vya watu wajinga huku.
Utani wa Simba na Yanga unaletwa katika mambo muhimu ya kitaifa
Vituko vya watu kuruka sarakasi, mara kulia, mara kutaka kupigana ngumi.
Kutambiana mambo ya uchawi, mizaha katika kujadili bajeti.
Kogonga gonga meza hovyo, makelele yasiyo na tija kama vile sokoni
View attachment 3193625View attachment 3193626View attachment 3193627View attachment 3193628View attachment 3193629View attachment 3193630View attachment 3193632
Muda mwingine ni rahisi kung'amua wajinga na wenye akili