Vikao vya watu wenye akili na vya wajinga utofauti wake

Eti mtu anasema Mbowe ni Alfa na Omega, hakika majuha ni wengi sana.
 
Sawa.china ni ndio mzee vipi maendeleo ya taifa.
 
kiongozi wa nchi anaandamana na Dotto Magari(huyu ni fundi wa matusi).
Ni nadra sana uone wanasayansi,innovators,wajasiriamali,waandishi wa vitabu au watu waliofanya makubwa katika mambo ya kuijenga jamii kwenye matamasha,mikutano au safari za nje za Mama.Hasahasa utawaona wachekeshaji,Doto Magari,wasanii wa nyimbo za mapenzi nk.Tumedumaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…