Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hela za vikoba .wisho wa Mwaka anavuna 2M wewe umeambulia Mbususu mwaka mzimaWanasemaga mdada akikuomba hela mda mfupi baada ya kumtongoza ni kwamba hakupendi, ila mm kuna baadhi ya wadada anakupiga mizinga halafu bado anakuonesha ishara za kutaka kuwa kwenye mahusiano na wewe..
Halafu ukiwawikimbia nahisi wanajuaga kabisa kwamba unawakwepa sababu wanaomba sana hela MubengaJr
Na hapo anajiona sababu ni mzuri kuna Msukuma.wake ananpa peda bila kujiuliza uliza.Niliwahi kumtongoza dada mmoja baada ya siku tatu nimetoka kazini nampigia, akaniambia yupo kwenye kikao. Nikauliza ni kikao cha nini akasema wana kikundi chao.
Nikajisemea moyoni huyu hatufiki mbali. Siku iliyofuata nikamtafuta ananiambia mdogo wake anaumwa.
Nikamwambia Mamiloo subiri nitakupigia. Nikakata simu baada ya saa mbili nikamcheki ananiambia amepata changamoto gesi imemuishia.
Malaika wa mungu akanishukia akaniambia nimblock na kumove on.
Hii ni sababu kubwa inapelekea huko mitaani kuna wadada unawaona na kujiuliza kwa nini huyu naye hajaolewa.
Mungu atusaidie.
"Kesho huyu kaja" ulikuwa unamjibu nani?
kama huna mchepuko huwezi kuelewa hio code"Kesho huyu kaja" ulikuwa unamjibu nani?
sio wote ndio ila tulioko field tunawaona wanavyojaa kwenye radar...Kila mtu na tabia zake wengine tupo kwenye vikundi lakin tunapambna yaan nilale na mtu kisa 20k [emoji849]
Muhindi anarudisha freebet
Mkuu unamkopesha unamla halafu unaendelea kumdaisio wote ndio ila tulioko field tunawaona wanavyojaa kwenye radar...
Tena 20k nyingi sana, wengine wanatoa free ili kujiwekea uhakika wa rejesho lijaloπ π
View attachment 3223301
Sehem zao za sir ndizo zinaumia wanawake tunatia aibusio wote ndio ila tulioko field tunawaona wanavyojaa kwenye radar...
Tena 20k nyingi sana, wengine wanatoa free ili kujiwekea uhakika wa rejesho lijaloπ π
View attachment 3223301
Kesho huyu kaja π€£π€£π€£
Mshukuru sana huyo malaika wa Mungu aliyekushukia! πππNiliwahi kumtongoza dada mmoja baada ya siku tatu nimetoka kazini nampigia, akaniambia yupo kwenye kikao. Nikauliza ni kikao cha nini akasema wana kikundi chao.
Nikajisemea moyoni huyu hatufiki mbali. Siku iliyofuata nikamtafuta ananiambia mdogo wake anaumwa.
Nikamwambia Mamiloo subiri nitakupigia. Nikakata simu baada ya saa mbili nikamcheki ananiambia amepata changamoto gesi imemuishia.
Malaika wa mungu akanishukia akaniambia nimblock na kumove on.
Hii ni sababu kubwa inapelekea huko mitaani kuna wadada unawaona na kujiuliza kwa nini huyu naye hajaolewa.
Mungu atusaidie.
Ukiwa makini utajua, japo ni wasiri kweli ila kuna vishiria vingi vya kuona wanachofanya.Wakuu, kama kama mkeo anacheza upatu, vikoba etc. Ana you asilimia kubwa sana za kuchepuka.
Kibaya zaidi hawa wake zetu wanacheza hii michezo kwa siri.
Unakuta mkeo ana mchezo wa buku kwa siku, elfu kumi kila ijumaa, ana mchezo wa elfu 10 kwa mwezi wapo 50, laki mbili kwa mwezi wapo kumi.
Ana kikoba kila week anapeleka elfu 30, mwisho wa mwezi anapeleka elfu 50, kiingilio cha kikoba 200,000, broo utagongewa tu, kibaya zaidi wanacheza kwa siri.
Hata pale anapokwama anaona nongwa kukueleza, anajikuta anashawishika huko nje. Haoni shida kuutoa mwili wake atatue shida zake (asiaibike)
Vikoba vinawapeleka puta wanawake wanahaha kutafuta pesa za marejesho, siyo waajiriwa, wafanya biashara, mama wa nyumbani.
mume.mwenzaπKesho huyu kaja π€£π€£π€£
Wanataka kuwa independent bwana wewe...wanaume wamekuwa wagumu kutoa hela zaoHuwa nashangaa unakuta mtu hana kazi wala biashara yoyote ile ila anacheza hiyo michezo, ndio mwanzo wa kufanya mambo ya hovyo ili hela ipatikane.