Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
mimi nauliza wananchi wa gaza wenyewe wanasemaje kwa wingi wao ---- kunipa response ya spokeperson wa wapiganaji --- ni sawa taarifa ya ccm kwamba demokrasia inaenda vizuri
ni jambo jema sana kukuona huku --- ritz ananiambia mimi ni myahudi mweusi wa njombe --- haya ndo mambo mnayoyapenda -- labelling
Yaan kifupi tunaua magaidi na watoto wao,miaka ijayo msisumbue tenaWameishauwa watoto zaidi ya 16,000 hamna jipyq.
Waongo kwa waongo wanasahihishana!!!Hapana hawajawakamata waliwatwanga tu chuma wakaua wawili wengine wakawaacha majeruhi walikuja kuchukuliwa
Yaan kifupi tunaua magaidi na watoto wao,miaka ijayo msisumbue tena
i saw this clip jana youtube na nikaisave --- vipi mkuu huyo jamaa nayeye anageuka muslim from yemen?
Wewe Punguani kweli yaani mabwana zenu Israel wauwa wototo na wanawake kisha mimi nifurahi nini?mimi ni mtanzania mkuu, na zaidi sijawahi fika njombe ---- ni wajinga kama nyinyi mnaweza kufurahia hamas kukama wanajeshi 100 huku kukiwa na vifo maelfu na maelfu vya raia --- mbaya zaidi wengi wakiwa wanawake na watoto
Mayahudi ndo wanachoweza kufanya hicho , kuua wanawake na watoto, hawawezi kupigana na wanaume wa shoka wa HamasWatalia sasa hivi na kusema kuwa anaua hadi watoto.
Wewe punguani unashangilia watoto wa Gaza kuuliwa hautaki mabwana zako Israel wauaji washambuliwe.we ni mlevi wa vita ---
Inasaidia nini hiyo wakati gaza pamekuwa kama pamepatwa tsunami??
Wewe upo Uyole utajua nini. Watu wa Tel Aviv ndiyo wanajua.
Ritz uko pande zipi huko Gaza?wewe upo wapi mkuu? watu wa gaza wao wenyewe wanasemaje kwani?