Vikosi vya Al-Qassam:Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na maafisa wa Jeshi la Israel

Vikosi vya Al-Qassam:Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na maafisa wa Jeshi la Israel

una video clip nikiwa nashangilia mkuu --- naomba uweke hapa ibaki kama kumbukumbu
Toa unafiki wewe una ushahidi mimi nashangilia vita.
Hautaki Israel waambiwe wauaji lini uliwahi kulaani mauaji ya Watoto yanayofanywa na mabwana zako
israel.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Wanaukumbi.

BREAKING: Al-Qassam Brigades:

Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun.
================
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:

Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na maafisa wa jeshi la Israel linalokaliwa kwa mabavu, na kuwaua na kuwajeruhi mashariki mwa mji wa Beit Hanoun.

View: https://x.com/suppressednws/status/1915751778710138893?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Waongeze idadi
 
Magaidi wa Hamas hawana uwezo wa kuteka askari wa Israe hata kidogo wewe endeleza tu uongo wako wa kijinga. Unashindwa kitu gani kutuwekea picha za askari waliowateka? Wadanganye tu Wajinga na wapumbavu kama wewe!!! Mtu mzima unasema uongo hata uongo huogopi?
Kamanda kaenda nenda kaomboleze

#Enemy_Media

Spokesperson for the "Israeli" Occupation Army: The death of a captain — a platoon commander — from Battalion 46 of the 401st Armored Brigade has been announced following yesterday's battle in northern Gaza Strip.

#Military_Media
 
Wanaukumbi.

BREAKING: Al-Qassam Brigades:

Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun.
================
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:

Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na maafisa wa jeshi la Israel linalokaliwa kwa mabavu, na kuwaua na kuwajeruhi mashariki mwa mji wa Beit Hanoun.

View: https://x.com/suppressednws/status/1915751778710138893?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Habari za uongo hizi wewe nguruwe wangefanya haya habari hizi zingeripotiwa kwenye vyombo vingi vya habari ila habari hii unayo wewe tu au wewe ndio umewateka nini unakuja kutujulisha huu ushuzi wako?
 
Yote ardhi ya wafilistin Wajeda wanakufa kizembeee na wanapigana na vijana waliofungwa kamba mikononi akuna kinachoingia Gaza !!!!!

ndio mana Waliwakimbia Vijana w hezbollah mwaka huuu watauwa vitoto tu na akina Mama wanadhidi kupata aibu Duniani!!!!
 
Hezbollah wamepoteza viongozi wao wote mhimu akiwemo Hasan Nasrallah na sasa hivi wanachechemea tu hawana uwezo wowote na majeshi ya Israel yako ndani ya Lebanon hawana cha kuyafanya wewe endelea tu na TAQIYYAH
 
Attachments

  • IMG_1525.jpeg
    IMG_1525.jpeg
    120.5 KB · Views: 21
  • IMG_1510.jpeg
    IMG_1510.jpeg
    402.3 KB · Views: 17
  • IMG_1527.jpeg
    IMG_1527.jpeg
    96.9 KB · Views: 17
Back
Top Bottom