Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,035
- 46,479
- Thread starter
- #81
Yahaudi jeusi la Uyole halitaki kuaminišHao watu uongo ni sehemu ya imani yao.
View: https://x.com/ajarabic/status/1916184910727156005?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Yahaudi jeusi la Uyole halitaki kuaminišHao watu uongo ni sehemu ya imani yao.
Inasaidia Ngosha kama itatokea watu wakijitolea bongo kuwafanyia kweli police watano haitasaidia?? Japo kuna Maelfu ya police, Imagine ukisikia mtoto wa Jumaane Mulilo au Mkewe katupwa Mabwepande, au mtoto wa Samia?? Si hiyo siku tutaiweka kwenye kumbukumbu milele. Inatakiwa kujitolea,hapa ndio tunapokwama Ngozi nyeusi.Inasaidia nini hiyo wakati gaza pamekuwa kama pamepatwa tsunami??
Man hili ni somo kwetu tunachofanyiwa na Kina J.Mulilo badala kufikiria kama simba na yanga, tuige ushujaa huu wakujitolea,sio kumuachia Tundu Lisu pekeyake,wenzetu Zanziber wameamka sana wakristo mna nini nyinyi??? Mmeiuwa Cuf ninahakika sasahivi wangekuwa serikali wnaheshimu raia.Wao wanaua mmoja Israel inaua magaidi 30 kwa mpigo!!, Kwa ration hiyo lazima mtakwisha tu Mbwa nyie
Hapo Wakristo wameingiaje? Tumia akili yako vizuriMan hili ni somo kwetu tunachofanyiwa na Kina J.Mulilo badala kufikiria kama simba na yanga, tuige ushujaa huu wakujitolea,sio kumuachia Tundu Lisu pekeyake,wenzetu Zanziber wameamka sana wakristo mna nini nyinyi??? Mmeiuwa Cuf ninahakika sasahivi wangekuwa serikali wnaheshimu raia.
Yahaudi jeusi la Uyole halitaki kuaminiš
View: https://x.com/ajarabic/status/1916184910727156005?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Huoni unachofurahiya kila kukicha??? Unaikumbuka Cuf ilikuwa inasapotiwa na kina nani??Hapo Wakristo wameingiaje? Tumia akili yako vizuri
Mambo ya CUF peleka kwenye jukwaa la SIASA watakusaidia huko hapa ni INTERNATIONAL FORUMS mambo ya kimataifa tu!!!Huoni unachofurahiya kila kukicha??? Unaikumbuka Cuf ilikuwa inasapotiwa na kina nani??
Karibu hapa mbalizi mwarabu wa mabwepande šššš
KAMA WEWE NI MWANAUME BASI UNA MATATIZO,KWA I LAZIMA UTUKANE MKUU?Wewe
Wewe KIBWENGO umeibuka na uongo ambao kwenu Mnauita TAQIYYAH? Kichwa cha habari na maelezo hapo juu ni tofauti,
Kichwa cha habari inasema Magaidi wameteka askari wa Israel wanne na kujeruhi wengine, kwenye maelezo yanasema magaidi hao wamewajeruhi askari wa Israel. Hapo sisi wamatumbi kutoka Kilwa tushike lipi?
Karibu sana KIBWENGO tahadhali hapa JF ni sehemu ya GREAT-THINKERS uache uongo wako huko huko ulikokuwa hapa si machali pa MAZUZU kama wewe
Acha ujinga wapi nimetukana?KAMA WEWE NI MWANAUME BASI UNA MATATIZO,KWA I LAZIMA UTUKANE MKUU?
Yemen wamepita nayo mapema tuš>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>