Vikosi vya Israel vinawashambulia kikatili Wakisto wa Orthodox huko Jerusalem kwa kupinga mauaji ya halaiki huko Gaza

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Uislamu ni ugaidi.
Bora nijipendekeze kwa Waisrael maana kuna watanzania wenzangu wametekwa na wapalestina.
Wewe endelea tu kutumia zile dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ukiziwacha utarudishwa tena Mirembe pole sana
 
Gaidi hata akijiita mkristo akule chuma ru.
Mnatafuta huruma kwa Wakristo.

Tumesema gaidi apigwe popote msikitini au kanisani
 
Israel kuipiga Hamas ni kwa usalama wa waisrael wote wakiwamo hao othodx , wanapinga maana yake wanawaunga mkono Hamas, haki yao ni moja tu kuuliwa.
Usiwe mnafiki,rejea nchi kama Iran anamsaidia adui anaua, syria na kwingineko kote.
Wakati wa vita nchi inashikamana yote kwa maslahi ya nchi husika.
 
Mbona wengine hawajaguswa?.
Unajua alifanya nini?
Alikataa kushusha bendera ya Palestine na hakupigwa peke yake,Kuna mwingine ana suruali NYEUSI,wayahudi wanapinga wakiwemo wa marekani wanasema akina netanyahu ni wazayuni,kwamba Kuna tofauti ya uyahudi na uzayuni,wao wanaoamini katika mataifa mawili, Palestine na Israel
 
Kwa hiyo wanaswekwa bila kuinama kama id yako?
Ooh poleni
 
BREAKING - OFFICIAL STATEMENT BY HEZBOLLAH TO HAMAS:

"A message from the Mujahideen of the Islamic Resistance in Lebanon to the brave Mujahideen of the Resistance in the Gaza Strip and all of occupied Palestine:

In the name of God, the most gracious, the most merciful

Let those who trade the life of this world for the hereafter fight in the cause of God. And whoever fights in the cause of God and is killed or overcomes - We will give him a great reward - God the Most High, the Great, has spoken the truth - Surah An-Nisa, verse 74

From forearms that have known humiliation and disgrace, and hearts filled with certainty in God and reassurance in His promise, to the land of steadfastness and glory, to the land of the landing place of the Messenger and the Beloved, the Best of Mankind, Muhammad (PBUH), to the Qiblah of the free and the faithful, to the people of the Al-Aqsa Flood in Gaza, Hashem.

This is some of our determination beyond the borders of Palestine. To support Al-Aqsa, we took up arms. Victory is our date and the morning is near.

O oppressed people of proud Gaza, the killing of your children, your women, your young men, and your old people is great, and your spirit of steadfastness is even greater, and this blood of your resistance is drowning this aging entity, of which only a portion of its last breath remains.

And you, heroes of the cause and jihad, and convoys of determination and martyrdom, have rubbed the nose of this fragile entity, and truly shown the world that they are weaker than a spider’s web and that liberation is imminent.

Our hand is with you on the trigger, as we fight the enemy of God in support of our most vulnerable people and our oppressed people in beloved Palestine, so strike them above the necks, and strike them with every finger, and be certain that your martyrs and our martyrs are the path to Jerusalem, until the day of the clear conquest.

And may God help those who support Him, in truth, promise, and sincerity.

Peace be upon the Chosen One Muhammad and upon his good and pure family and companions.

Your brothers
Mujahideen of the Islamic Resistance in Lebanon"
 
Not all Jews are Zionist

Zionism = Nazism
 
[emoji848]hii video inawezekana ni ya siku nyingi haihusiani na vita ya sasa
Na ni Orthodox Jews sio Christians.
Orthodox Jews ndiyo wale wenye siasa Kali kabisa hawamtambui palestina.
Far right neoconservative jews ndio wenye itikadi kali na wabaguzi haswa(racists) hata wa Wayahudi wenzao.

Ultra orthodox Jews ni polite and are not racists
 
Jamaa zenu wanahamisha vifaru wamechanganyikwa 😂
 

Attachments

  • twidown.mp4
    527.2 KB
BREAKING: BRITISH POLICE ARREST JEWISH PROTESTORS AT ST PANCRAS STATION

The police confiscated copies of their speeches whilst they chanted:

“LET US PRAY, LET US PRAY”
 

Attachments

  • twidown.mp4
    5.6 MB
Maskini wakristo wamepigwa mkwara huko kwa kutetea wapalestina wenzao.
Wakristo wa kiafrika wametekwa nyara kwa kuletewa makanisa ya kisabato. Wanajiita ni wakristo kumbe ni wayahudi.
Aitotokea myahudi kumshambulia myahudi. Alafu Kuna mkristo gani hapo anapigwa? Sikia hakuna mkristo utamwingizia chuki awachukie wayahudi.hilo wamefanikiwa waarabu tu kwa waislamu
Maskini wakristo wamepigwa mkwara huko kwa kutetea wapalestina wenzao.
Wakristo wa kiafrika wametekwa nyara kwa kuletewa makanisa ya kisabato. Wanajiita ni wakristo kumbe ni wayahudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…