Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Bora anitukane mimi ila sio wazazi wangu. Sijamtukana sehemu ila nimesema Muddy(56) alimbaka Bi. Aisha(9) kwani alimuoa akiwa hajitambui na kama ni kizazi cha sasa nagefungwa. Sasa kosa langu ji nini wakati quran ndio inasema jamaa alimuoa na kumuingilia Bi. Aisha akiwa na miaka 9?HUJANITUKANA MIMI SAWA ILA WATU WAZIMA KUTUKANANA MITANDAONI NI UTOTO.
WEWE WEKA HOJA AFU NA YEYE AKUJIBU KWA HOJA
MATUSI YA NINI WAKATI SISI WOTE WATANZANIA.