Vikosi vya Israel vinawashambulia kikatili Wakisto wa Orthodox huko Jerusalem kwa kupinga mauaji ya halaiki huko Gaza

Vikosi vya Israel vinawashambulia kikatili Wakisto wa Orthodox huko Jerusalem kwa kupinga mauaji ya halaiki huko Gaza

Haya na ww tilia mkazo undugu wako na Wayahudi tukuone jeuri yako?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].

Mwarabu ni ndugu yako kwa sababu waweza jikuta siku moja ana muowa binti yako ana kuwa mkweo kitu ambacho hakiwezi kutokea kwa myahudi.

Punguzeni shobo wayahudi hawana time na nyinyi.

Wakristo unadhani hawalijui hilo,wanalijua sana ila hawana shobo na upuuzi kama waislamu,na hakuna kwenye mafundisho yao wanaambiwa adui yao ni myahudi ama mwislam,ukristo ndio dini ya haki na upendo.

IMG_4046.jpg
 
Ila wagaratia weusi kutoka bara la giza mnapenda sana kujipendekeza kwa wayahudi hali ya kuwa mbele ya wayahudi mnaonekana kama mavi tu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Urokole ni tatizo kubwa sana barani Africa.View attachment 2801457

Tatizo kivip wakati walokole hawajawahi kuvamia mtu na kuu kwa kigezo cha kutofuata imani yao kama wanavyofanya waislam wenye siasa kali?!
Chuki zako tu zinakusumbua.
 
Unatufunga kamba mzee baba, mbona huwa tunaona masheikh kwenye shughuli za kiserikali wanaomba dua kwa kiswahili? Au unataka kusema wewe unamjua sana huyo Mungu wa waarabu kuliko hao masheikh?
Ni sahihi, allah hajui lugha zaidi ya kiarabu na ipo kwenye quran hiyo. Kuhusu kuomba dua kwa viongozi kwa kutumia Kiswahili ile ni furahisha genge tu mkuu. Hakuna dual pale nao wanajua.
 
Haya na ww tilia mkazo undugu wako na Wayahudi tukuone jeuri yako?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].

Mwarabu ni ndugu yako kwa sababu waweza jikuta siku moja ana muowa binti yako ana kuwa mkweo kitu ambacho hakiwezi kutokea kwa myahudi.

Punguzeni shobo wayahudi hawana time na nyinyi.
Mwarabu wa mchambawimaaaaaa, mwarabu anaweza oa mtoto wako au ndugu yako. Vipi wewe mwarabu wa Dongobeshi, unaqeza oa mwanamke wa kiarabu? Yaani oamoja na wote kuwa wafuasi wa mungu jiwe allah lakini huwezi kwenda pale macca kwenye nyumba ya mungu wa kikuresh na rangi yako nyeusi ukaoa mwanamke wa kiarabu ila wao wanaoa dada zako hapo chogorehani. Huoni kama wewe ndio unalazimisha udugu mkuu?
 
Wanaukumbi.

Zionist forces brutally assault Orthodox Jews in the streets of Jerusalem for opposing genocide in Gaza. Haven’t seen this kind of state violence against Jews since Nazi Germany.

Images like this destroy the myth that the State of Israel is Jewish.

View attachment 2801079
Tunasema yoyote atakayekaa katikati ya magaidi na kukaidi agizo ls kuondoks gaza,atapelekewa moto tu
 
Attachments

  • 9530885e-0d43-48af-8b68-5e5f5cdb776d.jpeg
    9530885e-0d43-48af-8b68-5e5f5cdb776d.jpeg
    52.8 KB · Views: 1
  • 3a0a3a99-acdb-42a6-84b5-8aba11bb7637.jpeg
    3a0a3a99-acdb-42a6-84b5-8aba11bb7637.jpeg
    63.7 KB · Views: 1
  • e4a7276e-0e9e-451a-80f8-6aaeee0c83b2.jpeg
    e4a7276e-0e9e-451a-80f8-6aaeee0c83b2.jpeg
    79.9 KB · Views: 1
Tunasema yoyote atakayekaa katikati ya magaidi na kukaidi agizo ls kuondoks gaza,atapelekewa moto tu
🚨🚨 BREAKING - IRAN OFFICIAL: HEZBOLLAH WILL JOIN THE WAR IF NO CEASEFIRE

This is MAJOR.

We were first to report 2 days ago that Hezbollah/Iran warned Israel through the U.S that Hezbollah will join if there is no ceasefire, or at least plans for a ceasefire (see tweet below)

This started materializing in the past few hours, as:

1. Hezbollah received weapons and reinforcements from Syria

2. An Iraqi proxy warned Israel and launched a drone against Israel (very symbolic, as it was from Iraq)

3. Syria began preparing for a regional war (leaked documents)

Well, a few hours ago, we also reported of a potential 'temporary truce' between Israel and Hamas, again proving the accuracy of our initial report.

This was the first piece of good news received in days.

WHAT'S NEXT?

In a few hours, Hezbollah's leader will be giving a highly anticipated speech that we will be streaming and analyzing.

My prediction is that, if no truce deal is reached, and Israel continues with the current strategy, Hezbollah will enter the war.

STATEMENT REFERENCED ABOVE:

Here's the statement by the Ebrahim Valipour, Ministry of Foreign Affairs of Islamic Republic of Iran, Director of Department of Palestine and Jordan:

"From tomorrow, the Zionist regime's cabinet will have to accept a ground withdrawal from the Gaza region and accelerate the entry of humanitarian aid into the Gaza Strip.

If not, it should embrace the greater volume of attacks from the northern front.

The US will have to watch new equations in the region from tomorrow.

The Islamic Ummah will stand with Palestine."
 
Algerian Parliament, Algerian Parliamentarians gave the authority to President Tebbun to go to war against Israel.
 
Wanaukumbi.

Zionist forces brutally assault Orthodox Jews in the streets of Jerusalem for opposing genocide in Gaza. Haven’t seen this kind of state violence against Jews since Nazi Germany.

Images like this destroy the myth that the State of Israel is Jewish.

View attachment 2801079
Safi sana. Lazima watu wajue Israel nayo ina haki kuwepo
 
Tatizo kivip wakati walokole hawajawahi kuvamia mtu na kuu kwa kigezo cha kutofuata imani yao kama wanavyofanya waislam wenye siasa kali?!
Chuki zako tu zinakusumbua.
Ulokole ni tatizo kubwa barani Africa , tangu uingie barani Africa ume wafanya waafrika kuwa wapumbavu na masikini, umekuwa kichaka cha matapeli na uzinzi ulio kubuhu.

Watu badala wafanye kazi kutwa kushinda kwenye maombi ili wawe matajiri bila kufanya kazi.
Umewafanya masikini maana hela zao wanazimalizia kwenye kununua mafuta, na maji ya upako kwa matapeli walio jipa majina ya manabii ili watajirike bila kufanya kazi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3].

Hivi wafuasi wa Makenzie unaweza sema ni watu wenye akili timamu kweli?
 
Ww kweli shoga kwa hiyo hakuna wanaume weusi walio owa wanawake waarabu?, Au ww unaishi Tz gani?

Mbona hata kaka yangu ameoa mwarabu?

Hata kama ni kweli si ni bora hao waarabu wanao owa wanawake weusi,wayahudi ni mwiko kuwa na mahusiano na mtu mweusi hata kama ni mzuri kiasi gani ni mwiko kabisa,ila nyinyi kutwa kujipendekeza kwao hali ya kuwa nyinyi ni kama mavi mbele yao.

Alafu kingine kuna mamilioni wa warokole wenzio wenye asili ya kiarabu hali ya kuwa hakuna myahudi hata mmoja mwenye muda na urokole wako dunia nzima.

Mnajipendekeza mpaka mnakera.
We kweli ni mpuuz. Hiv hujui kuna wayahud weusi pia. Au unafikiri wayahud wote ni weupe. Tembeen achen ushamba
 
Utajir pia ni mindset za watu sio kila mtu kwake material thing's ni utajir mkuu
 
Nani alichokoza unatetea Upumbavu. Hamasi Ni sehemu ya mkakati ya kuwapa mateso wapalestina kupitia Iran na bado acha waishi bila akili hivi hivi. Na wale wapumbavu wenu wa kibiti walipoanza kuua watanzania. Watanzania waliwatesa lini kuwa kiakili na ujitambue. Mna ushenzi mwingi. Mbona sudan amuizunguzii sababu mnauwana wenyewe kwa ndugu katika Imani?

THATS WHY NAZIDI KUKUELEZA HIVI UKIWA GALATIAN UNA KUWA HUNA AKILI KABISA??

SUDAN KINACHOWAFANYA WAPIGANE NA WAUANE NI SUALA LA DINI AU SIASA??KAMA NI SUALA LA VITA MBONA WAKRISTO WENZAKO HUKO UKRAINE NA RUSSIA WANAMWAGANA DAMU??NINI KINAWAFANYA WAUANE HUKO NAKO NI UISLAM AU??

MGALATIA TUMIA AKILI
 
Ogopa kupigana na Watu ambao hawaogopi kifo tena.
Mwanamgambo wa Hamas abeba bomu na kulitega kwenye kifaru cha IDF.
 
Attachments

  • IMG_5710.jpeg
    IMG_5710.jpeg
    23.2 KB · Views: 1
Nani alichokoza unatetea Upumbavu. Hamasi Ni sehemu ya mkakati ya kuwapa mateso wapalestina kupitia Iran na bado acha waishi bila akili hivi hivi. Na wale wapumbavu wenu wa kibiti walipoanza kuua watanzania. Watanzania waliwatesa lini kuwa kiakili na ujitambue. Mna ushenzi mwingi. Mbona sudan amuizunguzii sababu mnauwana wenyewe kwa ndugu katika Imani?

JIBU MBONA UNALO MWENYEWE HAPO JUU,UNAULIZA NIN SASA.

NIMEKUAMBIA ISRAEL NA IDF WAMEANZA KUMWAGA DAMU SINCE 1948 HAMAS WAMEJIFORM ILI WAJITETEE NA MADHILA HAYO 1987,SASA UNAULIZA NANI AMECHOKOZA KIVIPI??HUNA AKILI HATA YA KUONA UHALISIA HAPO??HOW OLD ARE YOU??

NOW DAYS WATOTO WA DARASA LA SABA MMESHAPATA ACCESS YA KUJOIN JF BASI NI FULL KUSUMBUA NA KUANDIKA UPUUZI UPUUZI HUMU,HATA KUFIKIRIA HAMUWEZI.

WEWE UNADHANI HAMAS ALICHOKIFANYA KWA ISRAEL IMEANZA HIVI KARIBUNI,UMESAHAU IDF IMEKUWA INAFANYA HUO USHENZI WAO KILA SIKU?
 
We kweli ni mpuuz. Hiv hujui kuna wayahud weusi pia. Au unafikiri wayahud wote ni weupe. Tembeen achen ushamba
Lakini nyinyi mnajipendekeza kwa Wayahudi weupe ,weusi hamna muda nao na ndio maana hamjawahi kuishobokea Ethiopia licha ya kuwa na wayahudi weusi kibao.
 
Ww kweli shoga kwa hiyo hakuna wanaume weusi walio owa wanawake waarabu?, Au ww unaishi Tz gani?

Mbona hata kaka yangu ameoa mwarabu?

Hata kama ni kweli si ni bora hao waarabu wanao owa wanawake weusi,wayahudi ni mwiko kuwa na mahusiano na mtu mweusi hata kama ni mzuri kiasi gani ni mwiko kabisa,ila nyinyi kutwa kujipendekeza kwao hali ya kuwa nyinyi ni kama mavi mbele yao.

Alafu kingine kuna mamilioni wa warokole wenzio wenye asili ya kiarabu hali ya kuwa hakuna myahudi hata mmoja mwenye muda na urokole wako dunia nzima.

Mnajipendekeza mpaka mnakera.
Nijibu hivi ni sawa ila sio kunitukania mama yangu. Acha tafadhali.
 
Nijibu hivi ni sawa ila sio kunitukania mama yangu. Acha tafadhali.
Kabla ya kulalamika mama yako kutukanwa jiulize kuna watu wangapi humu jf na kwann wao hawaja tukaniwa mama zao ila uwe ww ?
Ukisha jiuliza na kujitathimini utagundua ww ndio tatizo ni ww ndio sababu ya mama yako kutukanwa.

Hutaki mama yako atukanwe ila ww kutwa kutukana na kimkejeli mtume wa waisilam na waisilam, ya kwamba mama yako ni wa thamani sana kuliko mtume na waisilam wote duniani?

Kama unavyo mpenda mama yako ndivyo waisilam wana mpenda mtume wao hivyo ukimkashifu wana jisikia vibaya, kama ww unavyo jisikia vibaya mama yako akitukanwa.

Biblia unayo iamini ww ime kuambia usilo penda kutendewa usi mtendee mwenzio.

Hapa njia ni fupi tu ukitaka unao wapenda waheshimiwe na ww heshimu wapendwa wa wengine.

Mada inaongelea vita ya Israel na Hamas lakini nyinyi kutwa kumtikana mtume kwani mtume ana uhusiano gani na vita inayo endelea kama sio ufala.
 
Nimekwambia usinitukanie mama yangu. Usinizoee na hakuna sehemu nimetukana mtu. Nimesema kweli na ninarudia. Muddy a geisha zama hizi angekufa kwa UKIMWI pia kitendo cha kuishi na mtoto wa miaka 9, angekamatwa. Sijamuanfika wala mtaja mama yako sehemu yoyote ile.
 
Back
Top Bottom