Benord Iromba
New Member
- Nov 2, 2023
- 2
- 0
Hii hatari.Dini zote zililetwa.
Allah ni mungu wa kiarabu na anasikia lugha moja tu ya kiarabu.
Wewe ngozi nyeusi unayejifananisha na mwaarabu, bila kutumia lugha ya mwaarabu hakusikii. Hata bila kuvaa nguo za waarabo allah hakutaki.
Hakuna muislam anaye wachukia wayahudi kwa sababu kuna wayahudi kibao wanaishi ndani ya nchi za muislam na wanaishi vizuri tu na waisilam.Aitotokea myahudi kumshambulia myahudi. Alafu Kuna mkristo gani hapo anapigwa? Sikia hakuna mkristo utamwingizia chuki awachukie wayahudi.hilo wamefanikiwa waarabu tu kwa waislamu
Maisha ya unafiki ndiyo kitu kinawaponza. Mbona hamkulaani hamas kurusha maroketi. Leo mmepeleka hii vitu kuonekana ya kidini mwezako kasema wayahudi wanawapiga wakristo hakuna mkristo mjinga wa kumpandikiza chuki. Kama mlivyopandikizwa chuki na waarabu ili wapate sapoti kila kitu wanaweka udini.Hakuna muislam anaye wachukia wayahudi kwa sababu kuna wayahudi kibao wanaishi ndani ya nchi za muislam na wanaishi vizuri tu na waisilam.
Wenye chuki na wayahudi ni nyinyi maana wakristo ndo wana historia ya kufanya maangamizi dhidi ya wayahudi na sio waisilam.
Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa wakristo wanao jipendekeza kwa wayahudi ni nyinyi warokole kutoka bara la giza na sio wakristo wote duniani.
Mfano ukienda America ya kusini ni mataifa ya wakatoriki lmlakini jaribu kuwakejeli wapalestina uone kama hujaenda jela.
Hujui kitu wewe, hao ni wakristo wanakula kibano kutoka kwa Waisraeli, tukikwambieni Israeli ni wahuni tu hawana dini hao hamsikii. Eti Taifa teule mavi ya kuku.🤔hii video inawezekana ni ya siku nyingi haihusiani na vita ya sasa
Na ni Orthodox Jews sio Christians.
Orthodox Jews ndiyo wale wenye siasa Kali kabisa hawamtambui palestina.
Ile kauli ya kuwa ni vita ya kidini sijui inathibitishwajeWanaukumbi.
Zionist forces brutally assault Orthodox Jews in the streets of Jerusalem for opposing genocide in Gaza. Haven’t seen this kind of state violence against Jews since Nazi Germany.
Images like this destroy the myth that the State of Israel is Jewish.
Nimesikia kama jamaa anasema "...bwana sikiliza bwana" hukua anarudi ndani bila shurutiImages like this destroy the myth that the State of Israel is Jewish.
When you do atrocities like this expect to breed hatred .BREAKING: ISRAELI SETTLERS BURN OLIVE TREES WEST OF NABLUS IN THE WEST BANK
Hamas are hiding in olive trees in the West Bank right?
Acha propaganda! Acha mpigwe kwanini mliwachokoza! Acha mpate kibondo mpaka akili ziwakae sawa!
Gaidi hata akijiita mkristo akule chuma ru.
Mnatafuta huruma kwa Wakristo.
Tumesema gaidi apigwe popote msikitini au kanisani
Wagalatia ni wakazi wa galatia...ndio ninyi magaidi msio na akilli...Paulo aliwakemeaEnyi wagalatia msio na akili,ni nani anawaongopea??
UNASEMA MUNGU WAKO NI YESU,WELL AND GOOD,LAKINI WANA WA ISRAEL AMBAO WEWE UNAWASHANGILIA SI NDIYO HAO HAO UNAOSEMA WALIMSULUBISHA MUNGU WAKO YESU PALE MSALABANI??
SASA KIPI KINACHOKUFANYA UMTUKUZE ALIEMUUA MUNGU WAKO??
POOR GALATIAN,SASA UNAONGEA KITU GANI??Alokwambia Wayahudi wanapigania dini ni nani?
Wayahudi wanapigania eneo lao ambalo kila likitaka kukaa salama, wajinga wachache kutoka Gaza wanawachokoza, sasa ikitokea yeyote ataonyesha kuwa kinyume nao haijarishi ni myunani wala Mkristo ni risasi!
Pumbavu kabisa, watu wanatetea aridhi yao halafu mtu anatumia dini yake kuwaharasi kwa nini asichezee kichapo?
Endeleeni kula kichapo, Israeli hawana dini acheni kujipendekeza, mnazani wenzenu hao.
Israel kuipiga Hamas ni kwa usalama wa waisrael wote wakiwamo hao othodx , wanapinga maana yake wanawaunga mkono Hamas, haki yao ni moja tu kuuliwa.
Usiwe mnafiki,rejea nchi kama Iran anamsaidia adui anaua, syria na kwingineko kote.
Wakati wa vita nchi inashikamana yote kwa maslahi ya nchi husika.
Sikiliza ewe gaidi;Enyi wagalatia msio na akili,ni nani anawaongopea??
UNASEMA MUNGU WAKO NI YESU,WELL AND GOOD,LAKINI WANA WA ISRAEL AMBAO WEWE UNAWASHANGILIA SI NDIYO HAO HAO UNAOSEMA WALIMSULUBISHA MUNGU WAKO YESU PALE MSALABANI??
SASA KIPI KINACHOKUFANYA UMTUKUZE ALIEMUUA MUNGU WAKO??
Sikiliza ewe gaidi;
Galatia ni mji uko UTURUKI kitovu cha waislamu wengi zaidi.
Paulo alijaribu kuwafundisha kuhusu Yesu lakini hawakuelewa kitu.
Ndipo akasema Enyi Wagalatia msio na akili....
Hivyo ujuu Mgalatia ni mwabudu sanamu kama wewe tu
Sikiliza ewe gaidi;
Galatia ni mji uko UTURUKI kitovu cha waislamu wengi zaidi.
Paulo alijaribu kuwafundisha kuhusu Yesu lakini hawakuelewa kitu.
Ndipo akasema Enyi Wagalatia msio na akili....
Hivyo ujuu Mgalatia ni mwabudu sanamu kama wewe tu
waliambiwa waondoke Gaza, kama wamebaki wacha wapigwe wakome kabisa.Wanaukumbi.
Zionist forces brutally assault Orthodox Jews in the streets of Jerusalem for opposing genocide in Gaza. Haven’t seen this kind of state violence against Jews since Nazi Germany.
Images like this destroy the myth that the State of Israel is Jewish.
View attachment 2801079