Vikosi vya Israel vinawashambulia kikatili Wakisto wa Orthodox huko Jerusalem kwa kupinga mauaji ya halaiki huko Gaza

Lakini nyinyi mnajipendekeza kwa Wayahudi weupe ,weusi hamna muda nao na ndio maana hamjawahi kuishobokea Ethiopia licha ya kuwa na wayahudi weusi kibao.
Mi nimekuelimisha tu kama hujafika hayo maeneo unaweza kushobokea umbea
 
Israel ni taifa la kibeberu linalolindwa na kufadhiliwa na Marekani ili kuendesha ukaliaji wa ardhi za Wapalestina kimabavu.

Israel is the last remaining apartheid country.

 
Kwa ufahamu wangu mimi ni nilichoshuhudia hapo Old City ya Jerusalem hao wanaovaa Nguo nyeusi na Shati jeupe ni Religious Leader wa Kiyahudi na hao askari ni Jeshi la Palestina.

Nimekutana nao wanalinda Msikiti wa Al Aqsa na sare zao ziko hivyo mitaa yoote.

Unless kuwe na maelezo mengine
 
Lakini nyinyi mnajipendekeza kwa Wayahudi weupe ,weusi hamna muda nao na ndio maana hamjawahi kuishobokea Ethiopia licha ya kuwa na wayahudi weusi kibao.
Akishakuwa Mweusi huyo sio Myahudi😆😆😆
 
Marekani anafaidika nini kwa hilo?
 
Hii kweli ni ajabu
 
MKUU UNADHANI UKISEMA HIVYO NDIO UTAFANYA WAKRSTO WAWACHUKIE WAYAHUDI NA WAWAPENDE WAISLAMU
 
MDOGO WANGU HOJA ZA MATUSI ZINAKUFANYA UONEKANE HAUNA WELEDI.
HOJA UPINGWA NA HOJA NA SIO MATUSI
 
Mkuu matusi yatawafanya wote mfungiwe humu.
Sababu hamna stara
 
HII PROPAGANDA YA WAISLAMU NA WAARABU DHIDI YA WAZAYUNI.
WANADHANI WAKITAJA WAKRSTO BASI WATAFANYA WAYAHUDI WACHUKIWE NA WAKRSTO.
WANASAHAU MSINGI WA UKRSTO NI DINI YA KIYAHUDI.
 
Marekani anafaidika nini kwa hilo?
Israel ni nchi muhimu kwa US kimkakati ili kulidhibiti eneo la mashariki ya Kati.

 
MDOGO WANGU HOJA ZA MATUSI ZINAKUFANYA UONEKANE HAUNA WELEDI.
HOJA UPINGWA NA HOJA NA SIO MATUSI
Hayo matusi mbona sijawahi kutukana ww ila nime mtukana yeye ?

Yeye kama ana taka heshima aheshimu wenzake, hakuna mtu asiye penda kuheshimiwa hapa duniani.

Yaani yeye aje na matusi alafu mm nimjibu kwa hoja?

Unapokelewa jinsi unavyo kuja ukija kistarabu na kihoja utapokelewa hivyo ukija kishenzi utapokelewa kipumbavu.

Huwezi kumuita mtume anaye heshimiwa na watu zaidi ya billion 1.4 mbakaji alafu ukakaliwa kimia.
 
Hahahaaa naona unataja sifa za mama yako. Sasa kama untaka tuendelee kutukanana, wacha tuendeleee nami nimpolomoshee mama.yako matusi. Si hutaki ustaarabu we mfuasi wa mnyazi mungu. Sawa twende kihuni hivyo hivyo.
 
Hakuna sehemu nimekutukana ila nimesema kweli, Muddy(56) alimlawiti Bi. Aisha(9) na kama ingekuwa zama.hizi muddy angekamatwa kwa kesi ya ubakaji. Hili halijalishi kuwa ni mtume kwanza ni muongo nani alimpa utume au mfuasi wa mungu wa kikuresh jiwe la pale kaaba ila alibaka yule binti wa watu.
 
Umefika.huko mkuu? Hiyo ndio ndoto yangu siku moja niende kule.
 
HUJANITUKANA MIMI SAWA ILA WATU WAZIMA KUTUKANANA MITANDAONI NI UTOTO.
WEWE WEKA HOJA AFU NA YEYE AKUJIBU KWA HOJA
MATUSI YA NINI WAKATI SISI WOTE WATANZANIA.
 
Umefika.huko mkuu? Hiyo ndio ndoto yangu siku moja niende kule.
Ndio kaka hata mimi ilikuwa kama miujiza.
It was my lifetime dream.
Ukifika Israeli Jerusalem utakubali kuwa Wayahudi ni Taifa teule la Mungu hata uwe mbishi kiasi gani.

Mimi mwenyewe nili bow down nilipofika.
Tungekuwa tunafahamiana ninge share na wewe a more detailed infos, stories and background about hawa jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…