Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Matangazo mengi kuhusu wanamgambo wa Hamas kinyume na uwezo wao inaonekana kumelitia hofu kubwa jeshi la Israel ambalo linaundwa zaidi na vijana wadogo.
Hayo yameonekana katika kurudiwa kwa ahadi na kuwatia moyo askari hao wakatishe mpaka kuingia Gaza.
Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant hapo jana alipovitembelea vikosi vyake vilivyopiga kambi kweny seng'enge na mpaka wa Gaza aliwaambia askari hao kuwa wamekuwa wakiiona Gaza kutoka mbali kwa muda mrefu, muda mfupi ujao mtaiona Gaza kutokea ndani .Kauli hiyo imezidi kuwatia hofu vijana hao waliokuwa wakimsikiliza, ikidhihirika kwenye nyuso zao.
Akawataka wananchi wa Marekani wazidi kuiunga mkono serikali yao.
Raisi Biden alisema anakusudia kupeleka ombi baraza la congress ili waongeze mafungu ya fedha kwa ajili ya vita vya Ukraine na Israel. Hata hivyo maamuzi ya kuzidisha misaada kwa Ukraine kabla vita vya Gaza yalikwishakataliwa. Muda huu pia mabunge ya Marekani yapo kwenye mzozo wa uongozi wa spika hivyo maamuzi magumu kama hayo yanaweza kuchukua muda zaidi kufikiwa.
Biden says he will not let Hamas and Putin win
Hayo yote yakitokea kuna ishara mbaya kwa vikosi vya Marekani vilivyopo mashariki ya kati.Hapo jana meli ya kivita ya Marekani ilifanikiwa kurudisha droni zilizorushwa kuishambulia kutokea upande wa Yemen.
Hayo yameonekana katika kurudiwa kwa ahadi na kuwatia moyo askari hao wakatishe mpaka kuingia Gaza.
Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant hapo jana alipovitembelea vikosi vyake vilivyopiga kambi kweny seng'enge na mpaka wa Gaza aliwaambia askari hao kuwa wamekuwa wakiiona Gaza kutoka mbali kwa muda mrefu, muda mfupi ujao mtaiona Gaza kutokea ndani .Kauli hiyo imezidi kuwatia hofu vijana hao waliokuwa wakimsikiliza, ikidhihirika kwenye nyuso zao.
Israeli defense chief says troops will soon see Gaza 'from inside'
Kwa upande mwengine mchecheto kama huo umeonekana kutoka kwa raisi Biden wakati akihutubia taifa hapo jana siku moja tangu arudi kutoka Israel.Katika hotuba yake aliweza kuwafananisha wanamgambo hao wa Palestina na nchi kubwa ya Urusi pale aliposema kwa kulalamika kuwa Putin na Hamas wanataka kulifuta taifa lake na lile la Israel lakini hawatoweza.Akawataka wananchi wa Marekani wazidi kuiunga mkono serikali yao.