Vikosi vya Israel vyapata kiwewe kuingia Gaza huku vikosi vya Marekani Mashariki ya Kati vikianza kushambuliwa

Mkong'oto uki anza mnakuja na vinyuzi vingiiii vya kutia huruma aya yetu macho na masikio
 
Habari zinazotoka Iran kwenye Parstoday ni propaganda za kitoto sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jee na safari hii askari wa Israel watamwambia kamanda wao kama vile mababu zao walivyomwambia Mussa a.s ?
Hawa hawana connection yoyote na wayahudi wa kwenye biblia
Ni mixed blood, ukisema ni wazungu wenye asili ya kiyahudi hukosei, wengi ni kutoka Eastern Europe

Ila ku insist ni wayahudi cause wana asili fulani ya kiyahudi ni sawa na kusema dunia nzima ni waafrika
 
Kumtisha adui kwa maneno ni moja ya strategies za kijeshi katika vita!
Katika vita vinavyoendelea Israel imeitishia Iran kuwa ikiingia katika vita hii, Israel itaifuta Iran kwenye uso wa dunia.
Kwa hiyo ni mwendo wa kutunishiana misuli kwa maneno!
 
Ebu tumiamo na tupicha twa askari wa HAMAS nao tuwaone hao ambao wanaogopwa na askari wa Israel! Ahahahahaha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…