Vikosi vya waasi vyakomboa miji mitatu mikubwa kutoka utawala wa Taliban

Labda ISIS nu Sunni ndiyo maana washia wa Iran hawaipendi.
 
Daah aisee mkuu kama ni hivyo basi Afghanistan ndo kwaanza safari inaanza, watawakumbuka wamarekani na sidhani kama hao ISIS wanaweza kubali kukaa meza moja na taliban na serikali ili wawekane sawa.
 
Kama ISIS kaingiza mguu wake huko, basi naanza kuelewa kwa ninj USA taratibu kaanza kuondoka Afghan...

Huenda ameshanusa kuwepo wa vita isiyokoma leo wala kesho...
Wachambuzi wanasema Afganistan kutatokea civil war ambayo itakuwa too costly kwa Russia na China,kwa sababu tatizo litakuwa kwenye mipaka zao-Pia china na russia wanahofia ugaid utaingia nchini mwao.
 
Daah aisee mkuu kama ni hivyo basi Afghanistan ndo kwaanza safari inaanza, watawakumbuka wamarekani na sidhani kama hao ISIS wanaweza kubali kukaa meza moja na taliban na serikali ili wawekane sawa.
ISIS ndo kundi linaloogopeka sana-Angalia tu shida yake hapo mozambique-Nchi karibu nne zimeingia kupambana nao 🤣 🤣 🤣 .ISIS ya syria wanapambana na majeshi ya US,Russia,Turkey,Iran,Syria,SDF na kadhalika na bado hawajaisha
 
ISIS Sunni Taliban Shia
 
Taliban bado hawajatoa baiyah kwa Isis, na hata walipovamia magereza na kuwatoa wafungwa wote wa Isis waliachwa ndani na kuambiwa subirini mupelekwe mahakamani, hao waasi walioteka hizo wilaya 3 ni katika makundi ya makamo wa rais ahmad masoud aliyekimbilia panjshir, Isis ni mziki mwengine nd soon wataanza harakati zao hapo khorosan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…