Vikosi vya waasi vyakomboa miji mitatu mikubwa kutoka utawala wa Taliban

ni sawa ila habari za utumwa zilishafutika hazipo tena, pili kumtukana mtume ni makosa makubwa na dhambi nzito bali wameahidiwa adhabu kali wenye kumfanyia maudhi mtume....hivyo huyo beki 3 na yeyote awaye haiwapasii wao kufanya hivyo..

tatu je hukmu ya huyo mtukanaji ni kuuwawa na huyo askari au laa?! hapo angepelekwa kwa mtawala kisha yeye angemsimamishia hukmu kulingana na sheria ya uislamu na angebainishiwa makosa yake kama hao taleban wanafuata uislamu sahihi...

last but not least tumuweke mtume pembeni kwenye huu mfano..
 
Hpa ndo waga nachokaga swali la A Na B unaandika Essay isiyo najibu.
Wewe Jibu
1.A 2.B
Haya maneno mengi tunapoteza muda
 
kwani khawaarij si neno tu la kiarabu lenye kumaanisha watu wenye kutoka kwenye utiifu wa watawala..
Hilo Neno limeanza kutumika Kwa watu Gani?
Jibu: Ni kipindi cha utawala wa Ali.wale waliompinga ndo waliitwa Hilo neno.
Kwahyo huyo Abu Umama anaposema alimsikia mtume anasema hivo alikuwa anamuingiza Abu Ghalib cha kike

Hata hii nchi ilikuwa inaitwa Tanganyika sasaivi ni Tanzania
Kwahyo huwezi kusema Habari Za tanzania miaka ya 1800's
 
Hpa ndo waga nachokaga swali la A Na B unaandika Essay isiyo najibu.
Wewe Jibu
1.A 2.B
Haya maneno mengi tunapoteza muda
usinishurutishe mkuu kwani unanilipia bando?!....yaani kitu cha kusemea dini unataka nijibu kwa A na B like seriously..
 
usinishurutishe mkuu kwani unanilipia bando?!....yaani kitu cha kusemea dini unataka nijibu kwa A na B like seriously..
Mtu anakuuliza umekula? A.ndiyo B.hapana
Wewe unashusha Essay

Tatizo mnataka kujificha nyuma ya maneno mengi yasiyo Na maana ikiwekwa logic simple Tu mnakimbia.

Haya basi nakupunguzia masharti naona una kichwa Kizito...
Wewe unasema Taliban hawafati ideology ya muhamad.

Scenario kama hiyo juu hapo ambapo jamaa amemuua mwanamke aliyemtukana Muhamad (Hajatoa ushahidi)..
Kuna utofauti Gani Kati ya maamuzi yatakayofanywa Na Taliban Na muhamad?
 
alichokinukuu abuu umama ni kuwa hao wenye sifa hizo ni mbwa wa motoni na hao watu mtume alisema akiwadiriki na akataja sifa zao meaning hawakuwako wakati wake....abuu umama amenikuu hadithi huku makhawaarij wameshadhihiri nahraawaan..


sasa sijui unapinga nini unakubali nini..
 
mimi siwezi kukukimbia mkuu sema unanichosha na nina ratiba ngumu za kufuata ulichouliza nimekujibu unaanza kuniletea mambo ya A na B ...
 
Kwanza sitaki tuingie discussion ya kati ya ISIS, Taliban, Shia au Sunni nani Khawarij maana hiyo mada hata ukiita Wanazuoni watabishana mpaka mwezi wa Ramadhan Na hawatafikia conclusion...hiyo tuiache.

Hivi Mimi nikisema "nilimsikia Mwl. Nyerere anasema "wanawake wanaodanga wote Ni wahujumu uchumi"
Mimi Ni muongo au mkweli?
Kwasababu hapa ninaquote nilichokisia Wala sielezei nilichokielewa.

Hata kama wadangaji walikuwepo kipindi chake,,Je Hilo neno lilikuwepo?
 
mimi siwezi kukukimbia mkuu sema unanichosha na nina ratiba ngumu za kufuata ulichouliza nimekujibu unaanza kuniletea mambo ya A na B ...
Sawa endelea Na ratiba yako ngumu.
Ukimaliza ukipata Muda naomba uniambie tofauti ya Taliban Na Muhamad wakiletewa kesi kama hiyo ili tuone kama wanatofautiana ideology
 
ISIS Sunni Taliban Shia
Sidhani,
Taliban wanatoka kabila la Pashtun ambao ni wa Sunni.Hawa pastun wako hadi Pakistan na ndio maana hata Taliban walikuwa wanaenda kujificha Pakistan nainasemekana hata msaada walikuwa wanapata kutoka vyombo vya ulinzo vya Pakistan.Mfadhili wao mkubwa kabisa ni serikali ya Saudi Arabia.
Saudi Arabia hawezi fadhili Shia hata siku moja....
 
Sio suala la haki za binadam,ni suala la maisha ya raia wasio ha hatia ambao wako kwenye maeneo ya mapambano,marekani alikuwa anaangalia sana collateral damage ndio maana vita ilikwenda slow.Kama angeamua kubomoa tu hovyo kama Russia ingeisha mapema tu.
Russia walikuw wanapiga hadi wapinzani wa Bashar Al Asad tena bila hata kuzingatia maisha ya watu wasio na hatia.Ndio maana Russia wameua watu wengi zaid Syria kuliko Marekani na washirika wake combined,Maana lengo lilikuwa kumlinda Assad kwa gharama yyte ile.
Russia alikuwa hapigani na ISIS tu,alikuwa anapigana na wapinzani wa rais Assad pia,ndio maana aliua sana watu kukamilisha operation yake.
 
Hao ndio wapinga qital ndg hawakosi sababu na Allah amehaidi ushindi kwa waumini.
Sawa endelea Na ratiba yako ngumu.
Ukimaliza ukipata Muda naomba uniambie tofauti ya Taliban Na Muhamad wakiletewa kesi kama hiyo ili tuone kama wanatofautiana ideology
 
Shida ya hawa wapumbavu upenda kujifichia kwa raia Ili kujilinda.Sasa kipi bora uue wote hata wasio na hatia Ili kuwarudisha haraka wapumbavu kuzimu.Au ufate haki za wasio hatia Ili wapumbavu wazidi kuuwa wasio na hatia
 
Hivi Iran inasemaje juu ya Taliban?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…