Vikwazo kwa Urusi; Sarafu ya ruble ya Urusi yapanda thamani dhidi ya dola ya Marekani

No matter how strong the strategies they have [Russian and Chinese block], they'll not make it to lead the World economically, socially or militarily.... the fate is not on their side....

I don't see the future for China, Russia or even the USA as the world leader and Super power... it seem there changes in dynamics of Global leadership...

Let us wait to witness if we're luck enough...
Kuna watu wanaamini mungu kawaotesha kwamba North Korea na South Korea ni zamu yao kuongoza dunia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
No matter how strong the strategies they have [Russian and Chinese block], they'll not make it to lead the World economically, socially or militarily.... the fate is not on their side....

I don't see the future for China, Russia or even the USA as the world leader and Super power... it seem there changes in dynamics of Global leadership...

Let us wait to witness if we're luck enough...
You woman,go cook for your children and take care of your husband. Who gave you permission to discuss issues that are for men???
Learn to shut your mouth.
 
At this time and age are you still supporting a demonic nation like Russia? I feel super sorry for you my dear amigo, Rise and fall of Russian empire is at hand , wake up from the splendo!Puttin has opened a pandora box yet it is unknown size, why dare you say Rubbo is superior over Dolla? You are the most excellent liar the Tanzanians have ever heard!
Probably your good in English but very stupid in economics, re-read again the topic and come with strong arguments.
 
Ndg. Stroke unamatatizo sana ya kupinga mambo kabla hujasoma, mara nyingi umekua hodari wakupinga maono ya wenzio kumbe ni kwa sababu ya uvivu kusoma na si kupinga kwa hoja za uchambuzi katika uelewa wa mambo mbalimbali.

Sijajua kiwango chako cha uelewa na ujuzi wa mambo ya kidunia ila nahisi unamatatizo katika uelewa wako kwa kudhani kuwa wewe ni mjuvi wa mambo na kumbe ni zwazwa tu mkurupukia hoja usie jua lolote Mxieuzzzsss!!!

Mleta mada hajasema kuwa dola tayari imeanguka ndio maana kaongelea process

Jaribu kuappriaciate maoni ya wenzio kwa kutoa hoja kwa manufaa ya wana jukwaa wa JF sio kupinga tu ilimradi unapinga wakati hujui hata unachokipinga ni kitu gani.

Mleta Mada aliweka bayana katika maandishi yake, namnukuu kama ifuatavyo:

".... kuiondoa sarafu ya dola ni process,na hiyo wanayofanya Urusi ndio process yenyewe ..."

"... mataifa yamechukua muda mrefu kutafuta namna ya kuiangusha dola ..."

"... huwezi kutaka kuiangusha dola kwa mwaka mmoja au miezi ni muongo kama sio miongo mpaka karne ..."

" ... suala la dolar kuondoka ni suala la muda tuu na tayari dalili zimeanza kuonekana ..."

Mwisho wa kunukuu.

Ndg. Stroke siku zote MJUAJI ASIE JUA HATOJUA MAISHA YAKE YOTE [emoji849][emoji849][emoji849]
punguza povu , itakusaidia kutopoteza pesa ya sabuni
 
INDIA NA RUSSIA WANAFANYA BIASHARA KWA KUTUMIA PESA ZAO . WANAACHANA NA DOLLAR KUANZIA NEXT WEEK.
20220328_001853.jpg
 
Ulichokiandika unakijua wewe na demu wak😵va
VIKWAZO KWA URUSI;SARAFU YA RUBLE YA URUSI YAPANDA THAMANI DHIDI YA DOLA YA MAREKANI.

Leo 15:30pm 27/03/2022

Respect for Russia,who dare to stand up against the West,Baada ya vikwazo vingi vya Ulaya na Marekani kwa Urusi,Urusi imetangaza kuuza mafuta na Gesi kwa sarafu yake ya ruble,Masaa 24 baada ya Urusi kutangaza kuuza mafuta na Gesi kwa ruble, sarafu hiyo imepanda maradufu na kuifanya iwe na nguvu mbele ya dollar na Euro,Juzi thamani ya ruble kwa dola ilikuwa hivi,$1 sawa na Ruble 139 na leo $1 sawa na Ruble 97 huku ni kuimarika kwa hali ya juu kwa sarafu ya ruble,Uarabuni napo wameanza mchakato wa kuanza kuuza mafuta kwa kutumia sarafu ya Yuan ya China.

Thamani ya pesa ni matumizi yake,uhitaji wa sarafu ya ruble ya Urusi ili kuweza kununua mafuta na Gesi kunapandisha matumizi ya pesa hiyo ya ruble,kwa sasa thamani ya dola ipo juu sababu ya uhitaji wake katika kununua vitu nje ya nchi,hamani ya dola inakuja kwenye upande wa kufanya miamala,Telegraphic transfer (TT) kupitia mfumo wa SWIFT,kwa siku kuna miamala mingi ya dola hapa duniani kwa sasa,lakini punde tutaiona miamala mingi ya sarafu ya ruble kwa ajili ya kuagiza mafuta na Gesi,tukumbuke pia tunaweza kuanza kuona miamala ya sarafu ya yuan ya China ikiagiza bidhaa mbalimbali iwapo China itaamua hivyo,Tanzania inaongoza kwa 80% kununua bidhaa mbalimbali toka China.

Kwa namna moja ama nyingine uvamizi wa Urusi nchini Ukraine ulikuwa ni mpango mkakati wa kumdhoofisha kiuchumi Marekani and the so-called NATO,kiwango cha mfumuko bei ni kikubwa Ujerumani ni 12% haijawahi kutokea tangu vita vya Hitler, Ujerumani wanategemea mafuta na Gesi ya Mrusi,Hispania 9% haijawahi kushuhudia kwa zaidi ya miaka 40, Uingereza bei ya mafuta inakaribia kufumuka kwa 80% kuelekea 100%

Tayari Urusi imechukua hatua mpya ya kuondoa kabisa utegemezi kwa sarafu ya dola ili kukabiliana na mashinikizo ya vikwazo vya Marekani na utumiaji mbaya wa sarafu ya dola unaofanywa na Washington kama nyenzo ya kuiwekea mashinikizo Moscow,punde si punde sarafu ya ruble itaingia kwenye mfumo wa kimataifa wa fedha na kuwa sarafu mbadala wa dola,Baada ya mgogoro wa Ukraine wa mwaka 2014,Russia imekuwa ikiandamwa kwa kupewa vikwazo vikali vya Marekani na Umoja wa Ulaya,

Siku zote Marekani imekuwa ikiitumia dola, ambayo ndiyo sarafu kuu ya kigeni inayotumika katika miamala ya kimataifa, kama silaha ya kuziwekea mashinikizo nchi zingine,imeutumia vibaya mara kadhaa na kwa maslahi yake kwenye utegemezi wa makampuni, mabenki na mifumo ya fedha ya kimataifa kwa sarafu ya dola kama nyenzo na silaha ya kuzilazimisha nchi zingine zifuate matakwa yake au kuzibana zisifuate siasa na sera zisizoipendeza nchi hiyo. Jambo hili limezikera si nchi pinzani pekee bali hata nchi waitifaki wa Ulaya na Washington na kupelekea kujitokeza taratibu fikra ya pamoja kimataifa ya kuzuia mwendelezo wa utumiaji kimaslahi wa sarafu ya dola unaofanywa na Marekani kwa ajili ya kuzishinikiza kiuchumi, kibiashara na hata kifedha nchi zingine hasa zilizo wapinzani au washindani wa nchi hiyo.

Kutokana na vikwazo vikali ilivyowekewa urusi , ikiwa ni pamoja na kuteneganishwa rasmi na dola na euro, taasisi za kifedha za Urusi kama mabenki yamemelazimika kugeukia sarafu yao ya ruble na sarafu ya yuan ya China,Benki ya VTB inayomilikiwa na serikali ya Urusi imewapa wateja wake fursa ya kufungua akaunti ya akiba ya Ruble na Yuan ya Uchina ambayo inatoa kiwango cha juu cha riba cha asilimia 8%.ni dhahiri kama wataunda 'coalition' katika maswala ya kisarafu kwa kuachana na dola, basi wazi marekani itaanguka kiuchumi,Combination ya Mchina na Mrusi ni jinamizi kwa nchi za magharibi,mmoja atafanya kazi ya kutandika magharibi kijeshi, upande mwingine utamtandika magharibi kiuchumi,kazi ipo kwa Ulaya na Marekani,wao kapu la mayai limebebwa na taifa moja la Marekani, Mmarekani akianguka kijeshi basi hata na kiuchumi anapotea,

Nimalizie kwa kutanabaisha ya kwamba kuiondoa sarafu ya dola ni process,na hiyo wanayofanya Urusi ndio process yenyewe,tumetoka kwenye dola dola dola kila upande,kila kitu kina mwisho,mataifa yamechukua muda mrefu kutafuta namna ya kuiangusha dola,huwezi kutaka kuiangusha dola kwa mwaka mmoja au miezi ni muongo kama sio miongo mpaka karne,hata uchina walitolewa katika masuala ya anga ya kituo kinachomilikiwa na US ila mpaka kua na kituo chao ilichukua miongo kadhaa iliyokaribia karne,hivyo basi suala la dolar kuondoka ni suala la muda tuu na tayari dalili zimeanza kuonekana.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
Haiaminiki mdau , hivi kwa akili ya kawaida vikwazo vyote alivyowekewa moscow yaani mtu anakuja jukwaani kirahisi anasepa moscow ruble imeimarika ,wakati wiki mbili zilizopita putini alikiri kabisa vikwazo vinatuumiza ila vumilieni
 
Acha uongo
Dola bado ipo juu
Sahihi, Dola yuko juu sana.
Gesi kwa ruble, sarafu hiyo imepanda maradufu na kuifanya iwe na nguvu mbele ya dollar na Euro,Juzi thamani ya ruble kwa dola ilikuwa hivi,$1 sawa na Ruble 139 na leo $1 sawa na Ruble 97 huku ni kuimarika kwa hali ya juu kwa sarafu ya ruble,Uarabuni napo wameanza mchakato wa kuanza kuuza mafuta kwa kutumia sarafu ya Yuan ya China.

Thamani ya pesa ni matumizi yake,uhitaji wa sarafu ya ruble ya Urusi ili kuweza kununua mafuta na Gesi kunapandisha matumizi ya pesa hiyo ya ruble,kwa sasa thamani ya dola ipo juu sababu ya uhitaji wake katika kununua vitu nje ya nchi,hamani ya dola inakuja kwenye upande wa kufanya miamala,Telegraphic transfer (TT) kupitia mfumo wa SWIFT,kwa siku kuna miamala mingi ya dola hapa duniani kwa sasa,lakini punde tutaiona miamala mingi ya sarafu ya ruble kwa ajili ya kuagiza mafuta na Gesi,tukumbuke pia tunaweza kuanza kuona miamala ya sarafu ya yuan ya China ikiagiza bidhaa mbalimbali iwapo China itaamua hivyo,Tanzania inaongoza kwa 80% kununua bidhaa mbalimbali toka China.
Maelezo yako yote ni kinyume na hali halisi.

Hii hapa ni Daily Chart toka katika Trading Platform Yangu.
1648437560001.png

Nadhani umeona hapo nilipo zungushia.

Price gap kubwa sana, ina reflect hali halisi jinsi RUB inavyo poromoka zaidi dhidi ya USD.
==
1648437755115.png

-Hii ni Weekly Chart
- Safari ya kuporomoka kwa RUB ilianza rasmi Tarehe 24 Oct. 2021, Tangia hapo haijawahi kuizidi US $ kwa thamani.
===
Ndugu Mwande na Mndewa tupe uthibitisho wa hicho ulicho andika.
 
Mrusi wa buzza katika ubora wako,,

Achen kushangilia Vita visivyo na msingi,, watu wanauawa ,, watu wanakimbia makazi yao kisa Vita nyinyi mnaleta propaganda zenye mahaba yasiyo na tija!!

Inaonekana ulifurahi kuona Iddi Amin akitunishia msuli Tanzania sio!!?
Sio kufurahi ila tunaangalia jinsi wenye maslahi yao Ukraine walivyosababisha maafa haya Kwa waUkraine .Ilhali wakiuhadaa ulimwengu kuwa Urusi ndio sababu ya madhila ya watu wa ukraine 🤔
 
VIKWAZO KWA URUSI;SARAFU YA RUBLE YA URUSI YAPANDA THAMANI DHIDI YA DOLA YA MAREKANI.

Leo 15:30pm 27/03/2022

Respect for Russia,who dare to stand up against the West,Baada ya vikwazo vingi vya Ulaya na Marekani kwa Urusi,Urusi imetangaza kuuza mafuta na Gesi kwa sarafu yake ya ruble,Masaa 24 baada ya Urusi kutangaza kuuza mafuta na Gesi kwa ruble, sarafu hiyo imepanda maradufu na kuifanya iwe na nguvu mbele ya dollar na Euro,Juzi thamani ya ruble kwa dola ilikuwa hivi,$1 sawa na Ruble 139 na leo $1 sawa na Ruble 97 huku ni kuimarika kwa hali ya juu kwa sarafu ya ruble,Uarabuni napo wameanza mchakato wa kuanza kuuza mafuta kwa kutumia sarafu ya Yuan ya China.

Thamani ya pesa ni matumizi yake,uhitaji wa sarafu ya ruble ya Urusi ili kuweza kununua mafuta na Gesi kunapandisha matumizi ya pesa hiyo ya ruble,kwa sasa thamani ya dola ipo juu sababu ya uhitaji wake katika kununua vitu nje ya nchi,hamani ya dola inakuja kwenye upande wa kufanya miamala,Telegraphic transfer (TT) kupitia mfumo wa SWIFT,kwa siku kuna miamala mingi ya dola hapa duniani kwa sasa,lakini punde tutaiona miamala mingi ya sarafu ya ruble kwa ajili ya kuagiza mafuta na Gesi,tukumbuke pia tunaweza kuanza kuona miamala ya sarafu ya yuan ya China ikiagiza bidhaa mbalimbali iwapo China itaamua hivyo,Tanzania inaongoza kwa 80% kununua bidhaa mbalimbali toka China.

Kwa namna moja ama nyingine uvamizi wa Urusi nchini Ukraine ulikuwa ni mpango mkakati wa kumdhoofisha kiuchumi Marekani and the so-called NATO,kiwango cha mfumuko bei ni kikubwa Ujerumani ni 12% haijawahi kutokea tangu vita vya Hitler, Ujerumani wanategemea mafuta na Gesi ya Mrusi,Hispania 9% haijawahi kushuhudia kwa zaidi ya miaka 40, Uingereza bei ya mafuta inakaribia kufumuka kwa 80% kuelekea 100%

Tayari Urusi imechukua hatua mpya ya kuondoa kabisa utegemezi kwa sarafu ya dola ili kukabiliana na mashinikizo ya vikwazo vya Marekani na utumiaji mbaya wa sarafu ya dola unaofanywa na Washington kama nyenzo ya kuiwekea mashinikizo Moscow,punde si punde sarafu ya ruble itaingia kwenye mfumo wa kimataifa wa fedha na kuwa sarafu mbadala wa dola,Baada ya mgogoro wa Ukraine wa mwaka 2014,Russia imekuwa ikiandamwa kwa kupewa vikwazo vikali vya Marekani na Umoja wa Ulaya,

Siku zote Marekani imekuwa ikiitumia dola, ambayo ndiyo sarafu kuu ya kigeni inayotumika katika miamala ya kimataifa, kama silaha ya kuziwekea mashinikizo nchi zingine,imeutumia vibaya mara kadhaa na kwa maslahi yake kwenye utegemezi wa makampuni, mabenki na mifumo ya fedha ya kimataifa kwa sarafu ya dola kama nyenzo na silaha ya kuzilazimisha nchi zingine zifuate matakwa yake au kuzibana zisifuate siasa na sera zisizoipendeza nchi hiyo. Jambo hili limezikera si nchi pinzani pekee bali hata nchi waitifaki wa Ulaya na Washington na kupelekea kujitokeza taratibu fikra ya pamoja kimataifa ya kuzuia mwendelezo wa utumiaji kimaslahi wa sarafu ya dola unaofanywa na Marekani kwa ajili ya kuzishinikiza kiuchumi, kibiashara na hata kifedha nchi zingine hasa zilizo wapinzani au washindani wa nchi hiyo.

Kutokana na vikwazo vikali ilivyowekewa urusi , ikiwa ni pamoja na kuteneganishwa rasmi na dola na euro, taasisi za kifedha za Urusi kama mabenki yamemelazimika kugeukia sarafu yao ya ruble na sarafu ya yuan ya China,Benki ya VTB inayomilikiwa na serikali ya Urusi imewapa wateja wake fursa ya kufungua akaunti ya akiba ya Ruble na Yuan ya Uchina ambayo inatoa kiwango cha juu cha riba cha asilimia 8%.ni dhahiri kama wataunda 'coalition' katika maswala ya kisarafu kwa kuachana na dola, basi wazi marekani itaanguka kiuchumi,Combination ya Mchina na Mrusi ni jinamizi kwa nchi za magharibi,mmoja atafanya kazi ya kutandika magharibi kijeshi, upande mwingine utamtandika magharibi kiuchumi,kazi ipo kwa Ulaya na Marekani,wao kapu la mayai limebebwa na taifa moja la Marekani, Mmarekani akianguka kijeshi basi hata na kiuchumi anapotea,

Nimalizie kwa kutanabaisha ya kwamba kuiondoa sarafu ya dola ni process,na hiyo wanayofanya Urusi ndio process yenyewe,tumetoka kwenye dola dola dola kila upande,kila kitu kina mwisho,mataifa yamechukua muda mrefu kutafuta namna ya kuiangusha dola,huwezi kutaka kuiangusha dola kwa mwaka mmoja au miezi ni muongo kama sio miongo mpaka karne,hata uchina walitolewa katika masuala ya anga ya kituo kinachomilikiwa na US ila mpaka kua na kituo chao ilichukua miongo kadhaa iliyokaribia karne,hivyo basi suala la dolar kuondoka ni suala la muda tuu na tayari dalili zimeanza kuonekana.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Kwa wale ambao hawakua wakifuatilia mambo kwa ukaibu, kumbuka hta JPM alishwahi kuwaambia Benki Kuu ya Tanzania, kwamba waanze kuhifadhi dhahabu badala ya dollar, wasomi wengi wakamuona yule mzee kama anachanganyika nk, wengi walimkosoa. Ila kuna mahali itafikia dollar litakua karatasi lisilo na thamani, unajikuta una makaratasi kibao benki yasiyo na thamani na hapo unarudi kuwa mtumwa.
 
Je, dollar itapoteza nguvu katika biashara duniani? China inafikiria kununua mafuta toka Saudi Arabia kwa Yuan, India na Russia wanataka ku-trade kwa rupee-ruble, these are major world trades. Mataifa ya East yanataka kuachana na mfumo wa swift, wanataka mfumo wao kwenye central bank zao. Mambo ya kumtegemea mmarekani tuwaachie EU manake hawa ni officially wake/allies wa mmarekani.
 
VIKWAZO KWA URUSI;SARAFU YA RUBLE YA URUSI YAPANDA THAMANI DHIDI YA DOLA YA MAREKANI.

Leo 15:30pm 27/03/2022

Respect for Russia,who dare to stand up against the West,Baada ya vikwazo vingi vya Ulaya na Marekani kwa Urusi,Urusi imetangaza kuuza mafuta na Gesi kwa sarafu yake ya ruble,Masaa 24 baada ya Urusi kutangaza kuuza mafuta na Gesi kwa ruble, sarafu hiyo imepanda maradufu na kuifanya iwe na nguvu mbele ya dollar na Euro,Juzi thamani ya ruble kwa dola ilikuwa hivi,$1 sawa na Ruble 139 na leo $1 sawa na Ruble 97 huku ni kuimarika kwa hali ya juu kwa sarafu ya ruble,Uarabuni napo wameanza mchakato wa kuanza kuuza mafuta kwa kutumia sarafu ya Yuan ya China.

Thamani ya pesa ni matumizi yake,uhitaji wa sarafu ya ruble ya Urusi ili kuweza kununua mafuta na Gesi kunapandisha matumizi ya pesa hiyo ya ruble,kwa sasa thamani ya dola ipo juu sababu ya uhitaji wake katika kununua vitu nje ya nchi,hamani ya dola inakuja kwenye upande wa kufanya miamala,Telegraphic transfer (TT) kupitia mfumo wa SWIFT,kwa siku kuna miamala mingi ya dola hapa duniani kwa sasa,lakini punde tutaiona miamala mingi ya sarafu ya ruble kwa ajili ya kuagiza mafuta na Gesi,tukumbuke pia tunaweza kuanza kuona miamala ya sarafu ya yuan ya China ikiagiza bidhaa mbalimbali iwapo China itaamua hivyo,Tanzania inaongoza kwa 80% kununua bidhaa mbalimbali toka China.

Kwa namna moja ama nyingine uvamizi wa Urusi nchini Ukraine ulikuwa ni mpango mkakati wa kumdhoofisha kiuchumi Marekani and the so-called NATO,kiwango cha mfumuko bei ni kikubwa Ujerumani ni 12% haijawahi kutokea tangu vita vya Hitler, Ujerumani wanategemea mafuta na Gesi ya Mrusi,Hispania 9% haijawahi kushuhudia kwa zaidi ya miaka 40, Uingereza bei ya mafuta inakaribia kufumuka kwa 80% kuelekea 100%

Tayari Urusi imechukua hatua mpya ya kuondoa kabisa utegemezi kwa sarafu ya dola ili kukabiliana na mashinikizo ya vikwazo vya Marekani na utumiaji mbaya wa sarafu ya dola unaofanywa na Washington kama nyenzo ya kuiwekea mashinikizo Moscow,punde si punde sarafu ya ruble itaingia kwenye mfumo wa kimataifa wa fedha na kuwa sarafu mbadala wa dola,Baada ya mgogoro wa Ukraine wa mwaka 2014,Russia imekuwa ikiandamwa kwa kupewa vikwazo vikali vya Marekani na Umoja wa Ulaya,

Siku zote Marekani imekuwa ikiitumia dola, ambayo ndiyo sarafu kuu ya kigeni inayotumika katika miamala ya kimataifa, kama silaha ya kuziwekea mashinikizo nchi zingine,imeutumia vibaya mara kadhaa na kwa maslahi yake kwenye utegemezi wa makampuni, mabenki na mifumo ya fedha ya kimataifa kwa sarafu ya dola kama nyenzo na silaha ya kuzilazimisha nchi zingine zifuate matakwa yake au kuzibana zisifuate siasa na sera zisizoipendeza nchi hiyo. Jambo hili limezikera si nchi pinzani pekee bali hata nchi waitifaki wa Ulaya na Washington na kupelekea kujitokeza taratibu fikra ya pamoja kimataifa ya kuzuia mwendelezo wa utumiaji kimaslahi wa sarafu ya dola unaofanywa na Marekani kwa ajili ya kuzishinikiza kiuchumi, kibiashara na hata kifedha nchi zingine hasa zilizo wapinzani au washindani wa nchi hiyo.

Kutokana na vikwazo vikali ilivyowekewa urusi , ikiwa ni pamoja na kuteneganishwa rasmi na dola na euro, taasisi za kifedha za Urusi kama mabenki yamemelazimika kugeukia sarafu yao ya ruble na sarafu ya yuan ya China,Benki ya VTB inayomilikiwa na serikali ya Urusi imewapa wateja wake fursa ya kufungua akaunti ya akiba ya Ruble na Yuan ya Uchina ambayo inatoa kiwango cha juu cha riba cha asilimia 8%.ni dhahiri kama wataunda 'coalition' katika maswala ya kisarafu kwa kuachana na dola, basi wazi marekani itaanguka kiuchumi,Combination ya Mchina na Mrusi ni jinamizi kwa nchi za magharibi,mmoja atafanya kazi ya kutandika magharibi kijeshi, upande mwingine utamtandika magharibi kiuchumi,kazi ipo kwa Ulaya na Marekani,wao kapu la mayai limebebwa na taifa moja la Marekani, Mmarekani akianguka kijeshi basi hata na kiuchumi anapotea,

Nimalizie kwa kutanabaisha ya kwamba kuiondoa sarafu ya dola ni process,na hiyo wanayofanya Urusi ndio process yenyewe,tumetoka kwenye dola dola dola kila upande,kila kitu kina mwisho,mataifa yamechukua muda mrefu kutafuta namna ya kuiangusha dola,huwezi kutaka kuiangusha dola kwa mwaka mmoja au miezi ni muongo kama sio miongo mpaka karne,hata uchina walitolewa katika masuala ya anga ya kituo kinachomilikiwa na US ila mpaka kua na kituo chao ilichukua miongo kadhaa iliyokaribia karne,hivyo basi suala la dolar kuondoka ni suala la muda tuu na tayari dalili zimeanza kuonekana.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Kutu hujaweka chanzo, hatujaona breaking news kwenye televisheni yoyote hapa ulimwenguni
 
Sahihi, Dola yuko juu sana.

Maelezo yako yote ni kinyume na hali halisi.

Hii hapa ni Daily Chart toka katika Trading Platform Yangu.
View attachment 2166555
Nadhani umeona hapo nilipo zungushia.

Price gap kubwa sana, ina reflect hali halisi jinsi RUB inavyo poromoka zaidi dhidi ya USD.
==
View attachment 2166559

-Hii ni Weekly Chart
- Safari ya kuporomoka kwa RUB ilianza rasmi Tarehe 24 Oct. 2021, Tangia hapo haijawahi kuizidi US $ kwa thamani.
===
Ndugu Mwande na Mndewa tupe uthibitisho wa hicho ulicho andika.
Huyu hajatuletea mambo ya block chain kweli huyu.Kakitu Kapo kama kamari hivi kwenye mambo ya forex trading,mjuzi wa uchumi atusaidie.
 
Sasa imekuaje Putin ameomba mataifa ya ulaya kununua mafuta ya urusi kwa pesa za urusi ili kuokoa sarafu yake isishuke thamani. kitu ambacho nimeona tayari rais wa ufaransa amekipinga
Ameomba au amewataka?
 
Mrusi wa buzza katika ubora wako,,

Achen kushangilia Vita visivyo na msingi,, watu wanauawa ,, watu wanakimbia makazi yao kisa Vita nyinyi mnaleta propaganda zenye mahaba yasiyo na tija!!

Inaonekana ulifurahi kuona Iddi Amin akitunishia msuli Tanzania sio!!?
Mmarekani wa kwa mpalange bana.
FN-NfsLX0AIzOqJ.jpg
 
At this time and age are you still supporting a demonic nation like Russia? I feel super sorry for you my dear amigo, Rise and fall of Russian empire is at hand , wake up from the splendo!Puttin has opened a pandora box yet it is unknown size, why dare you say Rubbo is superior over Dolla? You are the most excellent liar the Tanzanians have ever heard!
Mashetani yakipiga picha ya pamoja.
Screenshot_20220324-015904.jpg
 
Back
Top Bottom