Vikwazo kwa Urusi; Sarafu ya ruble ya Urusi yapanda thamani dhidi ya dola ya Marekani

UNGEMSHAULI JBIDEN ILI ZELENSKY ASIVUNJE MAKUBALIANO WALIOKWISHA SAINI MIAKA 20 ILIYOPITA, LEO HALI INGEKUA SHWARI KABISA.
 
mafuta ,mafuta ,gesi, gesi wakati wao wanahangaika kuleta demokrasi ili wapandikize vibaraka wao waibe rasilimali africa yeye russia alikuwa anashinda kwenye mabarafu akitafuta mali kwa manufaa ya miaka 500 mbele niishie tu kucheka 🀣🀣🀣🀣🀣
 

Nafikiri hujasoma vizuri na hujamuelewa Mleta mada kwa kudhani wewe unajua zaidi

Pia kumbuka Mleta Mada ameongelea mtazamo unaotokana na fact na hajongelea facts moja kwa moja.

Kwa haya yanayo endelea kuhusu vita ya uchumi wa kidunia the fact is both China na Rassia hakuna asie tamani sarafu yake ndio ishike hatamu katika uchumi wa dunia

Jambo ambalo ameweka wazi kuwa ni process ndefu inayohitaji mabadiliko ya muda mrefu sana

Na ndio maana Mleta maana kaongelea mtazamo wake kuhusu ukweli huo kwa hicho kinacho endelea ambacho hata wewe mwenyewe umekiri katika hoja yako

Kwa taarifa yako wewe ndio urudi shule kwa kujifanya unajua na hauna lolote kichwani

Ndio!!! namaanisha kichwa chako hakijui kutathmini mambo. Maandishi machache tu haya umeshindwa kuelewa je ingekuwa makala nzima nadhani ungetoka patupu kabisaa

Watu wa waina yako kama walipasi mitihani shule basi ni kwa kukariri na sio kuelewa mada
 
Pole sana yani unatuonyesha yale Mh Rais amesema watu wana ma vyeti ila humna kitu... Hiyo Rub unapitishia wapi? Nenda kesho kanunue hayo mafuta kesho kwa rub bank 🏦 yeyote ukifanikiwa njoo hapa unitukane... 😭😭😭😭🀐🀐🀐
 
Uko nyuma ya wakati!! Pole!! Pitia posts kwenye Uzi huu upate taarifa zaidi!!
 
Wewe ndio hamna kitu!! Unaponda post ambayo wengine wanavuna madini!! Pole Sana!!
 
Kupanda kwa thamani ya fedha sio kigezo cha kuimarika uchumi. Pesa ya Japan, Yen ina thamani ndogo sana ukilinganisha na pesa za nchi zingine. Na majuzi hapa walitaka kuipunguza tena thamani hadi nchi kubwa kama Marekani, China na Uingereza wakalalamika. Je, Japan ina uchumi mdogo?
 
Nimekukubali kiongozi...
 
Na je fedha kushuka sana thamani ndio kigezo chakuimarika KIUCHUMI
Wakati jamaa anaanza kuekewa vikwazo ruble ilitembe mpaka 135 vs dola 1
Ila kwasasa inapiga kazi kisawa sawa namaisha yanaendelea
Sio mjuzi saana kwenye UCHUMI ila nlitaka kujua tu kipi kinafaida kwa RUSSIA pesa yake kwamba ingeendelea kua kubwa vile vile ilivyokua wakat wamwanzo wa hii OP maana ilifika mpaka 130s ama kua hv ilivyo sasa
Kipi bora kwa RUSSIA na UCHUMI wataifa lao !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…