Wewe bila shaka utakuwa Bw.Mahera au Bw.Kaijage manake si kwa mipasho hiyo."Sizitaki mbichi Hizi".🤣🤣🤣Kwani ulisikia anataka sana kwenda huko Marekani? Kwanza kuna nini cha maana wakati almost 90% ya mahitaji yetu tunapata kutoka China na India.
Mahela na Mtungi.....!!Kabisa yaan waanze na hao wahusika.
Wazungu wanataka kututawala Ndio maana inawaima kusikia tupo Uchumi wa kati
Wakiona midege hewani wanajisikia vibaya
Na kwa sasa jinsi maisha yalivyokua bora kwa kila mtanzania lazima waumie
Yaani kuanzia Wafanyabiashara. Wafanyakazi hata Wakulima maisha ni bam bam
Shule bure kuanzia msingi mpaka secondary
Huduma za afya bure
Zahanati kila kona
Yaani Tanzania ya Magufuli neema tupu
Watendaji wa tume walisikika wakiwaambia wapinzani wasiwe na matokeo mifukoni. Kumbe ni wao watendaji waliokuwa na matokeo mifukoni.Nimekuwa nikifuatilia majibu anayotoa judge Kaijage pindi anaposikia malalamiko kuhusu mwenendo wa uchaguzi uliofanyika mwaka jana. Majibu aliyotoa wakati wapinzani walipolalamika na yale maelezo aliyotoa dhidi ya waziri wa marekani baada ya kufungia maafisa waliohusika na uchaguzi yanafanana kwa maana kwamba wenye malalamiko wafuate utaratibu wa kisheria. Kabla sijatoa maoni yangu juu ya majibu hayo ningemshauri judge Kaijage apitie ushauri au maoni ya judge Warioba aliyotoa kwenye kongamano la haki za binadamu jijini Dar. Umuhimu wa kuzingatia maoni hayo yanatokana na sifa zifuatazo alizo nazo judge Warioba.
1) Judge Warioba ni mwanasheria kitaaluma aliyewahi kuwa judge mahakama ya Africa mashariki na kuwa mwanasheria mkuu wa serikali awamu ya kwanza.
2) Judge Warioba ni mwanachama mwanzilishi wa CCM na kwa hiyo maoni yake yatakuwa ni ya kutaka kujenga yasipuuzwe
3) Pamoja na kuwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali judge Warioba ni waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais mstaafu aliyehudumu enzi ya uongozi wa awamu ya pili. Sifa hizi zinayapa maoni yake uzito wa pekee katika jamii.
Baada ya kutoa ushauri huu ningependa sasa nieleze kwa nini kwa maoni yangu walalamikaji wamekwama kufuata utaratibu wa kisheria kupata haki yao.
1)Kama alivyosema judge Warioba tofauti na chaguzi zilizotangulia idadi ya wagombea walioenguliwa mwaka huu ni kubwa na haijawahi kutokea. Utaratibu wa kisheria unasema walioenguliwa wakate rufaa kwa tume. Mimi nawajua wagombea kadhaa wa ubunge na udiwani ambao rufani zao hazikujibiwa na tume hadi leo. Kwa maana hiyo uchaguzi umefanyika bila ya mgombea kuambiwa uhalali wa uenguliwa kwao na tume. Kwa muktadha huu utaratibu wa kisheria umesaidia nini katika kumpa mgombea haki yake.
2) Utaratibu wa kisheria muda wote mlalamikaji anatakiwa kutoa ushahidi wa malalamiko yake ili uamuzi wa haki utolewe. Mojawapo wa mashahidi muhimu kuhusu mwenendo wa uchaguzi ni mawakala. Pale mawakala wa wagombea wanapozuiwa au kuruhusiwa kwa kuchelewa kuingia vyumba vya uchaguzi ushahidi utapatikanaje. Haishangazi kwa hiyo kuona kwa uchaguzi wa mwaka jana kesi za uchaguzi ni chache sana kama zipo pamoja na matatizo yote yanayolalamikiwa. Wasimamizi wamefanya kazi nzuri sana ya kuvuruga uchaguzi na ushahidi. Ushauri wangu kwa judge Kaijage ni kukubali ushauri na kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla mambo hayajaharibika.
Naomba kuwasilisha.
Hata akitaka kurekebisha dosari leo haina maana na yeye na timu yake wamechangia kufikisha taifa hapa tulipo leo, taifa, lisilozingatia utawala wa sheria, na hats mfumo wa sheria usio aminika tena na taifa linalokosa uwajibikaji kwa walio na waliojipa mamlaka. natamani asikose orodha ya isiisii na ile ya yai viza la yuesiai.Nimekuwa nikifuatilia majibu anayotoa judge Kaijage pindi anaposikia malalamiko kuhusu mwenendo wa uchaguzi uliofanyika mwaka jana. Majibu aliyotoa wakati wapinzani walipolalamika na yale maelezo aliyotoa dhidi ya waziri wa marekani baada ya kufungia maafisa waliohusika na uchaguzi yanafanana kwa maana kwamba wenye malalamiko wafuate utaratibu wa kisheria. Kabla sijatoa maoni yangu juu ya majibu hayo ningemshauri judge Kaijage apitie ushauri au maoni ya judge Warioba aliyotoa kwenye kongamano la haki za binadamu jijini Dar. Umuhimu wa kuzingatia maoni hayo yanatokana na sifa zifuatazo alizo nazo judge Warioba.
1) Judge Warioba ni mwanasheria kitaaluma aliyewahi kuwa judge mahakama ya Africa mashariki na kuwa mwanasheria mkuu wa serikali awamu ya kwanza.
2) Judge Warioba ni mwanachama mwanzilishi wa CCM na kwa hiyo maoni yake yatakuwa ni ya kutaka kujenga yasipuuzwe
3) Pamoja na kuwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali judge Warioba ni waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais mstaafu aliyehudumu enzi ya uongozi wa awamu ya pili. Sifa hizi zinayapa maoni yake uzito wa pekee katika jamii.
Baada ya kutoa ushauri huu ningependa sasa nieleze kwa nini kwa maoni yangu walalamikaji wamekwama kufuata utaratibu wa kisheria kupata haki yao.
1)Kama alivyosema judge Warioba tofauti na chaguzi zilizotangulia idadi ya wagombea walioenguliwa mwaka huu ni kubwa na haijawahi kutokea. Utaratibu wa kisheria unasema walioenguliwa wakate rufaa kwa tume. Mimi nawajua wagombea kadhaa wa ubunge na udiwani ambao rufani zao hazikujibiwa na tume hadi leo. Kwa maana hiyo uchaguzi umefanyika bila ya mgombea kuambiwa uhalali wa uenguliwa kwao na tume. Kwa muktadha huu utaratibu wa kisheria umesaidia nini katika kumpa mgombea haki yake.
2) Utaratibu wa kisheria muda wote mlalamikaji anatakiwa kutoa ushahidi wa malalamiko yake ili uamuzi wa haki utolewe. Mojawapo wa mashahidi muhimu kuhusu mwenendo wa uchaguzi ni mawakala. Pale mawakala wa wagombea wanapozuiwa au kuruhusiwa kwa kuchelewa kuingia vyumba vya uchaguzi ushahidi utapatikanaje. Haishangazi kwa hiyo kuona kwa uchaguzi wa mwaka jana kesi za uchaguzi ni chache sana kama zipo pamoja na matatizo yote yanayolalamikiwa. Wasimamizi wamefanya kazi nzuri sana ya kuvuruga uchaguzi na ushahidi. Ushauri wangu kwa judge Kaijage ni kukubali ushauri na kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla mambo hayajaharibika.
Naomba kuwasilisha.
Midege ya Tanzania yamefunga anga zote wazungu roho inawaumaHzo ndege zinatoka wap we nguchiro????
Wewe bila utakuwa Bw.Mahera au Bw.Kaijage manake si kwa mipasho hiyo."Sizitaki mbichi Hizi".🤣🤣🤣Kwani ulisikia anataka sana kwenda huko Marekani? Kwanza kuna nini cha maana wakati almost 90% ya mahitaji yetu tunapata kutoka China na India.
Tulifunga mikanda kipindi cha Nyerere tulipowekewa vikwazo .Hatupendi hayo mambo yajirudie tena sababu ya tamaa ya madaraka ya watu wachache.Ninyi mnaosigina demokrasia vikwazo viwahusu sio sisi!Endelea kucheka!
Nakubaliana na wewe. Kuna mambo mengi ambayo kama nyerere baada ya kuyabaini angeamua kuyarekebisha kabla ya kustaafu angetuachia nchi moja yenye kutawalika/kuongozwa vizuri. Mojawapo ni hili la katiba. Tundu Lissu amesikika akimnukuu Nyerere akisema kuwa katiba ya Tz Ina uwezo wa kutengeneza dictator. Cha ajabu ni kwamba pamoja na kutambua hilo hakuona umuhimu wa kurekebisha kasoro hiyo kabla ya kustaafu. Nyerere aliona na kuzumngumzia suala la haki ya mgombea binafsi lakini hakutaka kulisimamia hilo kwa nguvu. Matokeo yake leo waliosimamia kusiwepo na mgombea binafsi wanawaweka wabunge binafsi kwa kuvunja katiba.Mada nzuri na ikiendana na mchango mzuri wa mawazo itakuwa bora sana,hili tatizo la tume ya uchaguzi Tanzania kila mtu analijua na maadam for time being haliathiri chama dola status ago itaendelea,President Nyerere (rip)aliliona hili ikiwa ni pamoja na mapungufu ya katiba yetu alichokifanya alilizungumzia na kuliacha President Mandela(rip)aliliona hili na kulifanyia kazi means kuunda taasisi imara na kuifanya SA itawaliwe kikatiba(mahakama ya katiba ndio wanaotafsiri sheria na kutolea maamuzi kuhusu nchi)kwangu mimi President Madiba(rip) ni ICON na president Nyerere (rip) ni strong stateman.
Nimekuwa nikifuatilia majibu anayotoa judge Kaijage pindi anaposikia malalamiko kuhusu mwenendo wa uchaguzi uliofanyika mwaka jana. Majibu aliyotoa wakati wapinzani walipolalamika na yale maelezo aliyotoa dhidi ya waziri wa marekani baada ya kufungia maafisa waliohusika na uchaguzi yanafanana kwa maana kwamba wenye malalamiko wafuate utaratibu wa kisheria. Kabla sijatoa maoni yangu juu ya majibu hayo ningemshauri judge Kaijage apitie ushauri au maoni ya judge Warioba aliyotoa kwenye kongamano la haki za binadamu jijini Dar. Umuhimu wa kuzingatia maoni hayo yanatokana na sifa zifuatazo alizo nazo judge Warioba.
1) Judge Warioba ni mwanasheria kitaaluma aliyewahi kuwa judge mahakama ya Africa mashariki na kuwa mwanasheria mkuu wa serikali awamu ya kwanza.
2) Judge Warioba ni mwanachama mwanzilishi wa CCM na kwa hiyo maoni yake yatakuwa ni ya kutaka kujenga yasipuuzwe
3) Pamoja na kuwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali judge Warioba ni waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais mstaafu aliyehudumu enzi ya uongozi wa awamu ya pili. Sifa hizi zinayapa maoni yake uzito wa pekee katika jamii.
Baada ya kutoa ushauri huu ningependa sasa nieleze kwa nini kwa maoni yangu walalamikaji wamekwama kufuata utaratibu wa kisheria kupata haki yao.
1)Kama alivyosema judge Warioba tofauti na chaguzi zilizotangulia idadi ya wagombea walioenguliwa mwaka huu ni kubwa na haijawahi kutokea. Utaratibu wa kisheria unasema walioenguliwa wakate rufaa kwa tume. Mimi nawajua wagombea kadhaa wa ubunge na udiwani ambao rufani zao hazikujibiwa na tume hadi leo. Kwa maana hiyo uchaguzi umefanyika bila ya mgombea kuambiwa uhalali wa uenguliwa kwao na tume. Kwa muktadha huu utaratibu wa kisheria umesaidia nini katika kumpa mgombea haki yake.
2) Utaratibu wa kisheria muda wote mlalamikaji anatakiwa kutoa ushahidi wa malalamiko yake ili uamuzi wa haki utolewe. Mojawapo wa mashahidi muhimu kuhusu mwenendo wa uchaguzi ni mawakala. Pale mawakala wa wagombea wanapozuiwa au kuruhusiwa kwa kuchelewa kuingia vyumba vya uchaguzi ushahidi utapatikanaje. Haishangazi kwa hiyo kuona kwa uchaguzi wa mwaka jana kesi za uchaguzi ni chache sana kama zipo pamoja na matatizo yote yanayolalamikiwa. Wasimamizi wamefanya kazi nzuri sana ya kuvuruga uchaguzi na ushahidi. Ushauri wangu kwa judge Kaijage ni kukubali ushauri na kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla mambo hayajaharibika.
Naomba kuwasilisha.
Elite wenyewe ndiyo hawa akina Dr. Bana na prof. Kabudi unategemea nn hapo?hususan the elite
Mkuu
Acha ukichaa,unajitoa ufahamu tu
Financial decisions of your life and all human beings is done in New York and London..Ndio maana mnamtuma Palamagamba Kabudi aende huko ili TZ ijue inakula nini kesho na hela zinapita wapi
The headquarter of all international organizations is in Geneva,Switzerland,all worldly decisions and economic decisions are done there...Lazima kabudi aende huku kujua kimeamuliwa kipi kuhusu TZ
No decision for this world is done in Russia or Beijing or Iran
Stop this stupidity
If USA ikiamua iikate Tanzania out of Swift system then it is dead just like North Korea!
Acha kua na akili za mavi hivi