GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sijajua kwa Vilabu vya hapa Kwetu Tanzania ( na nahisi havina Upuuzi huu kwa Matajiri wake ni Watu na Wafanyabiashara Waaminifu na Wacha Mungu mno ), ila kwa Vilabu vingi Vikubwa vya Soka ( Mpira ) Barani Afrika ambavyo viko chini ya Matajiri ukiona tu Vinasafiri ama ndani ya Msimu wa Ligi au 'Pre Season' kwenda katika Nchi za Kitajiri ( Zilizoendelea ) jua ya kwamba kwa 99.99999% nyuma ya hizo Safari huwa kuna Kupeleka au Kufuata Dawa za Kulevya ( Ngada )