Vilabu vingi Vikubwa Afrika vikisafiri 'Pre Season' hasa nchi za 'Kitajiri' huwa zinasafirisha Dawa za Kulevya

Vilabu vingi Vikubwa Afrika vikisafiri 'Pre Season' hasa nchi za 'Kitajiri' huwa zinasafirisha Dawa za Kulevya

Naungana na wewe kupambana dhidi ya hii vita kubwa ya madawa ya kulevya. Ifikie wakati pre season iwe ni mara moja tu kila msimu unapoanza.
So sad!!!
FB_IMG_1612420221935.jpg
 
Sijajua kwa Vilabu vya hapa Kwetu Tanzania ( na nahisi havina Upuuzi huu kwa Matajiri wake ni Watu na Wafanyabiashara Waaminifu na Wacha Mungu mno ), ila kwa Vilabu vingi Vikubwa vya Soka ( Mpira ) Barani Afrika ambavyo viko chini ya Matajiri ukiona tu Vinasafiri ama ndani ya Msimu wa Ligi au 'Pre Season' kwenda katika Nchi za Kitajiri ( Zilizoendelea ) jua ya kwamba kwa 99.99999% nyuma ya hizo Safari huwa kuna Kupeleka au Kufuata Dawa za Kulevya ( Ngada )
Hata kwa Tanzania nadhani mambo ni hayo hayo tu..!! Kumbuka kocha wa makipa pale Simba SC, alikutwa na dawa za kulevya kilo kadhaa...!! Na usisahau Simba SC walikuwa Dubai siku za hivi karibuni..!!!
 
Bado haibadili mantiki ya huyo anayehoji timu kwenda Dubai siku 10. Kama lengo lilikuwa ni kumpa Robertinho muda wa kuwajua wachezaji kwa haraka na kucheza game mbili za kimataifa ambazo wooote mmezifuatilia na kuziongelea sana, siku 10 si haba.

Simba popote anapokwenda anakaa kwenye top hotels. Kwani huko Dubai unadhani imewacost kiasi gani maana niliona sehemu malazi ni milioni 60. Sasa hizo ni hela nyingi kwa club kama Simba?
Kuna tetesi humu JF ya 1.8B kwa safari nzima
 
Kuna tetesi humu JF ya 1.8B kwa safari nzima
Waswahili wangeandaa ile ziara, upigaji ungefika gharama hizo.

Pili ile safari Simba walisema ni mwaliko maalum wa Mo, kwa maana hiyo yeye ndiyo analipa gharama.

Tatu aliyezua huo uzushi haijui bilioni 1.8.
 
Sijajua kwa Vilabu vya hapa Kwetu Tanzania ( na nahisi havina Upuuzi huu kwa Matajiri wake ni Watu na Wafanyabiashara Waaminifu na Wacha Mungu mno ), ila kwa Vilabu vingi Vikubwa vya Soka ( Mpira ) Barani Afrika ambavyo viko chini ya Matajiri ukiona tu Vinasafiri ama ndani ya Msimu wa Ligi au 'Pre Season' kwenda katika Nchi za Kitajiri ( Zilizoendelea ) jua ya kwamba kwa 99.99999% nyuma ya hizo Safari huwa kuna Kupeleka au Kufuata Dawa za Kulevya ( Ngada )
Tuletee evidence, sio kuongea kwa hisia huku ukitarajia tuziamini.
 
Back
Top Bottom