Vilabu vingi Vikubwa Afrika vikisafiri 'Pre Season' hasa nchi za 'Kitajiri' huwa zinasafirisha Dawa za Kulevya

Vilabu vingi Vikubwa Afrika vikisafiri 'Pre Season' hasa nchi za 'Kitajiri' huwa zinasafirisha Dawa za Kulevya

Sasa kama issue hadi wewe unaijua…. Unadhani mamlaka za nchi zote hawajui na hawana mechanisms za kumaliza hiyo situation?
Haka kajamaa kanaanza kunikata stim,maisha ya watu yanamhusu nini?
 
Jamani nawakumbusha tu si kwa ubaya lakini, ukishasema Pre-season hiyo ni lazima iwe mwanzoni mwa msimu. Hii ya Dubai hauwezi kuiita Pre-season. Labda Mid-Season itafaa zaidi.

Nimeliona hili tatizo la uelewa kwa wengi humu, nimeshamsikia mtu anahoji "wataendaje preseason wakati ligi huku inaendelea, wanatuvurugia tu ratiba!"
Na pia preseason, midseason au postseason hazimaanishi kusafiri, zina maana tu ya nyakati katika msimu. Mwanzo wa msimu, katikati na mwisho wa msimu, kwa mpangilio huo.

Kwa hiyo hata Yanga walivyobaki Kigamboni mwanzoni mwa msimu nao pia walikuwa kwenye preseason training.
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu za kibinadamu ataielewa ziara ya siku 10 ya Simba pale Dubai. Mambo ya Ngada yameshika Kasi Kwa Sasa.
Tuepuke kutoa tuhuma kwa watu au taasisi bila ushahidi. Wivu wenu dhidi ya Simba na mafanikio yake usiwafanye mkajaa chuki za namna hii, hazina afya kwenu au kwa mpira wetu. Kwani Simba ilivyoenda Sudan ilikaa siku ngapi?
 
Sudan ( Khartoum ) na Dubai ( UAE ) ni sawa? Hopeless.....!!!!!
 
Kuna watu hawaelewi maana ya pre-season. Yaani hata timu ikiweka kambi katikati ya msimu wanasema imeenda pre-season

Kwa mujibu wa Cambridge English dictionary,
pre- definition: 1. before (a time or an event): 2. before (a time or an event): 3. before (a time or an event):
 
Sawa Intellectual na Wordsmith wa JamiiForums.
 
Sudan ( Khartoum ) na Dubai ( UAE ) ni sawa? Hopeless.....!!!!!
Bado haibadili mantiki ya huyo anayehoji timu kwenda Dubai siku 10. Kama lengo lilikuwa ni kumpa Robertinho muda wa kuwajua wachezaji kwa haraka na kucheza game mbili za kimataifa ambazo wooote mmezifuatilia na kuziongelea sana, siku 10 si haba.

Simba popote anapokwenda anakaa kwenye top hotels. Kwani huko Dubai unadhani imewacost kiasi gani maana niliona sehemu malazi ni milioni 60. Sasa hizo ni hela nyingi kwa club kama Simba?
 
Kuna mahala popote pale nimevitaja Vilabu vya Tanzania na kuitaka Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka husika ya DCEA kuchukua hatua? Acha Kiherehere na Kukurupuka tafadhali sawa?

Hoja yangu iko Globally na siyo Locally kama unavyotaka Kulazimisha na ihisiwe hivyo.
We ndo umekurupuka, hakuna sehemu jamaa kaongelea serikali wala mamlaka za Tanzania [emoji28]
 
Zinaingizwa kupitia tundu za haja kubwa, baadae mnasema wachezaji wazito kumbe walishageuzwa punda mda mrefu.
Aliyekua kocha wa Makipa amesha haribu baadhi ya wachezaji wenu.
Unataka kusema mlipoenda tunisia shaban djuma alisokomezwa pipi nying san a kalioni mpaka kiwango kimeshuka amekuwa tindinya?
 
Sijajua kwa Vilabu vya hapa Kwetu Tanzania ( na nahisi havina Upuuzi huu kwa Matajiri wake ni Watu na Wafanyabiashara Waaminifu na Wacha Mungu mno ), ila kwa Vilabu vingi Vikubwa vya Soka ( Mpira ) Barani Afrika ambavyo viko chini ya Matajiri ukiona tu Vinasafiri ama ndani ya Msimu wa Ligi au 'Pre Season' kwenda katika Nchi za Kitajiri ( Zilizoendelea ) jua ya kwamba kwa 99.99999% nyuma ya hizo Safari huwa kuna Kupeleka au Kufuata Dawa za Kulevya ( Ngada )
Hili suala peleka taarifa Polisi ni vizuri walifanyie kazi.
 
Sijajua kwa Vilabu vya hapa Kwetu Tanzania ( na nahisi havina Upuuzi huu kwa Matajiri wake ni Watu na Wafanyabiashara Waaminifu na Wacha Mungu mno ), ila kwa Vilabu vingi Vikubwa vya Soka ( Mpira ) Barani Afrika ambavyo viko chini ya Matajiri ukiona tu Vinasafiri ama ndani ya Msimu wa Ligi au 'Pre Season' kwenda katika Nchi za Kitajiri ( Zilizoendelea ) jua ya kwamba kwa 99.99999% nyuma ya hizo Safari huwa kuna Kupeleka au Kufuata Dawa za Kulevya ( Ngada )
Moderator YinYang , Maxence Melo hili suala ni very sensitive nadhani ni vizuri lichukuliwa uzito wake ili Jamiiforums ibaki na heshima yake. Maana nina wasiwasi kama kila mtu atakaa kwa sababu zake akaamua kuandika mambo sensitive kama haya bila hata kuweka ushahidi tutaelekea kubaya.
 
Watu wafupi sana hupenda waonekane hata kwa kufanya vituko kwenye umati... Ni shidaaaa.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom