GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sasa kama issue hadi wewe unaijua…. Unadhani mamlaka za nchi zote hawajui na hawana mechanisms za kumaliza hiyo situation?Sijajua kwa Vilabu vya hapa Kwetu Tanzania ( na nahisi havina Upuuzi huu kwa Matajiri wake ni Watu na Wafanyabiashara Waaminifu na Wacha Mungu mno ), ila kwa Vilabu vingi Vikubwa vya Soka ( Mpira ) Barani Afrika ambavyo viko chini ya Matajiri ukiona tu Vinasafiri ama ndani ya Msimu wa Ligi au 'Pre Season' kwenda katika Nchi za Kitajiri ( Zilizoendelea ) jua ya kwamba kwa 99.99999% nyuma ya hizo Safari huwa kuna Kupeleka au Kufuata Dawa za Kulevya ( Ngada )
Timu hazikaguliwi sheheSasa kama issue hadi wewe unaijua…. Unadhani mamlaka za nchi zote hawajui na hawana mechanisms za kumaliza hiyo situation?
Kuna mahala popote pale nimevitaja Vilabu vya Tanzania na kuitaka Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka husika ya DCEA kuchukua hatua? Acha Kiherehere na Kukurupuka tafadhali sawa?Sasa kama issue hadi wewe unaijua…. Unadhani mamlaka za nchi zote hawajui na hawana mechanisms za kumaliza hiyo situation?
Aliyekudanganya hivi kamwambie hana Akili.Timu hazikaguliwi shehe
Na wewe umeona popote nimeitaja Tanzania?Kuna mahala popote pale nimevitaja Vilabu vya Tanzania na kuitaka Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka husika ya DCEA kuchukua hatua? Acha Kiherehere na Kukurupuka tafadhali sawa?
Hoja yangu iko Globally na siyo Locally kama unavyotaka Kulazimisha na ihisiwe hivyo.
Zinaingizwa kupitia tundu za haja kubwa, baadae mnasema wachezaji wazito kumbe walishageuzwa punda mda mrefu.team lazima ikaguliwe hizo dawa wanazipitishaje
Sijajua kwa Vilabu vya hapa Kwetu Tanzania ( na nahisi havina Upuuzi huu kwa Matajiri wake ni Watu na Wafanyabiashara Waaminifu na Wacha Mungu mno ), ila kwa Vilabu vingi Vikubwa vya Soka ( Mpira ) Barani Afrika ambavyo viko chini ya Matajiri ukiona tu Vinasafiri ama ndani ya Msimu wa Ligi au 'Pre Season' kwenda katika Nchi za Kitajiri ( Zilizoendelea ) jua ya kwamba kwa 99.99999% nyuma ya hizo Safari huwa kuna Kupeleka au Kufuata Dawa za Kulevya ( Ngada )
Sio kweli mizigo yao inapita kwenye scans, angalia ile border control ya NZ,AUSSIES, au USTimu hazikaguliwi shehe
Unamsikiliza popoma?huna kazi ya kufanya mkuuSasa kama issue hadi wewe unaijua…. Unadhani mamlaka za nchi zote hawajui na hawana mechanisms za kumaliza hiyo situation?
Aliye kudanganya ni nani? Watu pekee ambao hawakaguliwi uwanja wa ndege ni wale wenye hadhi ya kidipromasia.Timu hazikaguliwi shehe
Sasa kama issue hadi wewe unaijua…. Unadhani mamlaka za nchi zote hawajui na
Jamani nawakumbusha tu si kwa ubaya lakini, ukishasema Pre-season hiyo ni lazima iwe mwanzoni mwa msimu. Hii ya Dubai hauwezi kuiita Pre-season. Labda Mid-Season itafaa zaidi.Naungana na wewe kupambana dhidi ya hii vita kubwa ya madawa ya kulevya. Ifikie wakati pre season iwe ni mara moja tu kila msimu unapoanza.
Sasa wewe mzeeya,unafikiria pesa inatakatishwaje duniani kama sio kwa vita na drugs?Sijajua kwa Vilabu vya hapa Kwetu Tanzania ( na nahisi havina Upuuzi huu kwa Matajiri wake ni Watu na Wafanyabiashara Waaminifu na Wacha Mungu mno ), ila kwa Vilabu vingi Vikubwa vya Soka ( Mpira ) Barani Afrika ambavyo viko chini ya Matajiri ukiona tu Vinasafiri ama ndani ya Msimu wa Ligi au 'Pre Season' kwenda katika Nchi za Kitajiri ( Zilizoendelea ) jua ya kwamba kwa 99.99999% nyuma ya hizo Safari huwa kuna Kupeleka au Kufuata Dawa za Kulevya ( Ngada )