Vilabu vingi Vikubwa Afrika vikisafiri 'Pre Season' hasa nchi za 'Kitajiri' huwa zinasafirisha Dawa za Kulevya

Sasa kama issue hadi wewe unaijua…. Unadhani mamlaka za nchi zote hawajui na hawana mechanisms za kumaliza hiyo situation?
Haka kajamaa kanaanza kunikata stim,maisha ya watu yanamhusu nini?
 
Na pia preseason, midseason au postseason hazimaanishi kusafiri, zina maana tu ya nyakati katika msimu. Mwanzo wa msimu, katikati na mwisho wa msimu, kwa mpangilio huo.

Kwa hiyo hata Yanga walivyobaki Kigamboni mwanzoni mwa msimu nao pia walikuwa kwenye preseason training.
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu za kibinadamu ataielewa ziara ya siku 10 ya Simba pale Dubai. Mambo ya Ngada yameshika Kasi Kwa Sasa.
Tuepuke kutoa tuhuma kwa watu au taasisi bila ushahidi. Wivu wenu dhidi ya Simba na mafanikio yake usiwafanye mkajaa chuki za namna hii, hazina afya kwenu au kwa mpira wetu. Kwani Simba ilivyoenda Sudan ilikaa siku ngapi?
 
Tuepuke kutoa tuhuma kwa watu au taasisi bila ushahidi. Wivu wenu dhidi ya Simba na mafanikio yake usiwafanye mkajaa chuki za namna hii, hazina afya kwenu au kwa mpira wetu. Kwani Simba ilivyoenda Sudan ilikaa siku ngapi?
Sudan ( Khartoum ) na Dubai ( UAE ) ni sawa? Hopeless.....!!!!!
 
Kuna watu hawaelewi maana ya pre-season. Yaani hata timu ikiweka kambi katikati ya msimu wanasema imeenda pre-season

Kwa mujibu wa Cambridge English dictionary,
pre- definition: 1. before (a time or an event): 2. before (a time or an event): 3. before (a time or an event):
 
Sawa Intellectual na Wordsmith wa JamiiForums.
 
Sudan ( Khartoum ) na Dubai ( UAE ) ni sawa? Hopeless.....!!!!!
Bado haibadili mantiki ya huyo anayehoji timu kwenda Dubai siku 10. Kama lengo lilikuwa ni kumpa Robertinho muda wa kuwajua wachezaji kwa haraka na kucheza game mbili za kimataifa ambazo wooote mmezifuatilia na kuziongelea sana, siku 10 si haba.

Simba popote anapokwenda anakaa kwenye top hotels. Kwani huko Dubai unadhani imewacost kiasi gani maana niliona sehemu malazi ni milioni 60. Sasa hizo ni hela nyingi kwa club kama Simba?
 
We ndo umekurupuka, hakuna sehemu jamaa kaongelea serikali wala mamlaka za Tanzania [emoji28]
 
Zinaingizwa kupitia tundu za haja kubwa, baadae mnasema wachezaji wazito kumbe walishageuzwa punda mda mrefu.
Aliyekua kocha wa Makipa amesha haribu baadhi ya wachezaji wenu.
Unataka kusema mlipoenda tunisia shaban djuma alisokomezwa pipi nying san a kalioni mpaka kiwango kimeshuka amekuwa tindinya?
 
Hili suala peleka taarifa Polisi ni vizuri walifanyie kazi.
 
Moderator YinYang , Maxence Melo hili suala ni very sensitive nadhani ni vizuri lichukuliwa uzito wake ili Jamiiforums ibaki na heshima yake. Maana nina wasiwasi kama kila mtu atakaa kwa sababu zake akaamua kuandika mambo sensitive kama haya bila hata kuweka ushahidi tutaelekea kubaya.
 
Watu wafupi sana hupenda waonekane hata kwa kufanya vituko kwenye umati... Ni shidaaaa.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…