Vilabu vingi Vikubwa Afrika vikisafiri 'Pre Season' hasa nchi za 'Kitajiri' huwa zinasafirisha Dawa za Kulevya

Hata kwa Tanzania nadhani mambo ni hayo hayo tu..!! Kumbuka kocha wa makipa pale Simba SC, alikutwa na dawa za kulevya kilo kadhaa...!! Na usisahau Simba SC walikuwa Dubai siku za hivi karibuni..!!!
 
Kuna tetesi humu JF ya 1.8B kwa safari nzima
 
Kuna tetesi humu JF ya 1.8B kwa safari nzima
Waswahili wangeandaa ile ziara, upigaji ungefika gharama hizo.

Pili ile safari Simba walisema ni mwaliko maalum wa Mo, kwa maana hiyo yeye ndiyo analipa gharama.

Tatu aliyezua huo uzushi haijui bilioni 1.8.
 
Tuletee evidence, sio kuongea kwa hisia huku ukitarajia tuziamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…