Vile ninavyohisi kuhusu member Mshana Jr

Vile ninavyohisi kuhusu member Mshana Jr

Mi namjua mtani wangu huyu ni mlevi mstaarabu ila ni mpiga kirungu mzuri sana akikuongelesha hela utatoa yaani ni kama ana kizizi,wakati mwingine anashika watu kwa kuwauzia dawa za kienyeji,na ni msabato mbobezi anaeijua dini.
Nje ya hapo ni mpenda papuchi sana[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Nje ya hapo ni mpenda papuchi sana[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Nahisi Mshana Jr ni huyo wa kwenye avatar.

2. Nahisi anafanya kazi ya kuhifadhi miili ya marehemu kwenye hospitali moja hapa mjini.

3. Nahisi ni mtu katili sana kwa maiti yaani kuna muda anazipiga makofi huku anafoka.

4. Sidhani kama panya wanakatiza karibu yake.
Nimeshakutana naye na kupiga naye story nje ya JF. Ni mtu poa sana huyo mlutheri wa watu alafu mbona ameweka picha zake za kweli humu nyingi na watu wengi wanafahaiana naye nje ya JF nikiwemo mimi.
 
Ni mtuu fresh anapiga story na kila mtuu sema tu ni mchawi yani mshirikina ..na ana utoto pia kidogo
 
Mwacheni Dr Mshana wa mitishamba na nyota
20230803_162428_HDR.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom