Vile ninavyohisi kuhusu member Mshana Jr

Vile ninavyohisi kuhusu member Mshana Jr

Mimi kijijini wananiita Mpenzile Mwagwayenje Mwagwima Mgagagigikoko Nwabamayenza Ila town hapa naitwa Jophrey Joseph yaan ukifupisha unaniita JJ

Alafu uache kuanzisha uzi juu ya uzi anzisha uzi wako (nimeongea haya huku nimekushika shati)
Buhahahaha
 
Nimecheka sana Witty!!![emoji28]

Naona jina ni lile lile..Ila ID kwa mwaka sio ule...sijui imekuwaje....
NB....The List naomba usisome hapa[emoji2]
Nimefurahi sana kumuona asee[emoji16][emoji16]...kumbe anakomenti toka April hukoo, mi nimeona leo

Mzee wa " wasted sperm[emoji16][emoji16]
 
Nimefurahi sana kumuona asee[emoji16][emoji16]...kumbe anakomenti toka April hukoo, mi nimeona leo

Mzee wa " wasted sperm[emoji16][emoji16]
Ha ha ha...
Ila kapunguza makali...Mzee wa Idiot[emoji2]
 
Mshana Jr ngoja tutafute kigagula kutoka Nigeria akuroge uipende CCM, na utakuwa shabiki kindakindaki. Wewe subiri tu, nianzishe campaign ya kuchangia hela kwa ajili ya kugaharamia mganga toka Nigeria kwa ajili ya kukuroga
Ha ha ha ha .. Niliikacha CCM mwaka 1984 wakati wa vita ya uhujumu uchumi na sijawahi kurudi huko mpaka leo hii nazeeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi namjua mtani wangu huyu ni mlevi mstaarabu ila ni mpiga kirungu mzuri sana akikuongelesha hela utatoa yaani ni kama ana kizizi,wakati mwingine anashika watu kwa kuwauzia dawa za kienyeji,na ni msabato mbobezi anaeijua dini.
Nje ya hapo ni mpenda papuchi sana[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Back
Top Bottom