Vile ninavyohisi kuhusu member Mshana Jr

Vile ninavyohisi kuhusu member Mshana Jr

NAMKUBALI SANA MSHANA JR Mshana Jr KUNA KIPINDI NILIKWAMA SANA NIKAMCHEK ANICHEKIE JAPO KIBARUA. BILA SHIDA JAMAA ALINIOMBA CV NA AKAOMBA NIENDE TUONANE KIBAHA. ALIONESHA MOYO WA KUNISAIDIA KWA DHATI.

SIKUFANIKIWA KWENDA KWA SABABU NILIKUWA MBALI KWA WAKATI ULE, ILA NI MTU POA SANA. SIJUI KAMA ANAKUMBUKA HILI, ILA MIMI HUWA NAKUMBUKA SIKU ZOTE.

UBARIKIWE SANA NDUGU Mshana Jr

NB:MSIMSUMBUE NDUGU YETU PM MKADHANI ANAZO AJIRA.
NB:MSIMSUMBUE NDUGU YETU PM MKADHANI ANAZO AJIRA.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema eti nipake super black, nawaambia haiji kutokea. Mabadiliko lazima uyakubali, shida ni pale zitakapoanza kuota huko unyamwezini😅😅😅
Wacha ziote tu,natumai utawaonyesha wazee wenzio kisanga ni kuanza kuziexpose Kwa watoto wadogo,watashangaa sana🤣🤣🤣achana nayo supa black
 
1. Nahisi Mshana Jr ni huyo wa kwenye avatar.

2. Nahisi anafanya kazi ya kuhifadhi miili ya marehemu kwenye hospitali moja hapa mjini.

3. Nahisi ni mtu katili sana kwa maiti yaani kuna muda anazipiga makofi huku anafoka.

4. Sidhani kama panya wanakatiza karibu yake.
Kuna watu mnawajadili hapa ila mngeyajua maisha yao ya uhalisia mngeumbuka mno kwani kamwe hawana ukubwa huo, umaarufu huo au hata utajiri huo ila basi tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] usilojua litakusumbua
 
Back
Top Bottom