Vile ninavyohisi kuhusu member Mshana Jr

NAMKUBALI SANA MSHANA JR Mshana Jr KUNA KIPINDI NILIKWAMA SANA NIKAMCHEK ANICHEKIE JAPO KIBARUA. BILA SHIDA JAMAA ALINIOMBA CV NA AKAOMBA NIENDE TUONANE KIBAHA. ALIONESHA MOYO WA KUNISAIDIA KWA DHATI.

SIKUFANIKIWA KWENDA KWA SABABU NILIKUWA MBALI KWA WAKATI ULE, ILA NI MTU POA SANA. SIJUI KAMA ANAKUMBUKA HILI, ILA MIMI HUWA NAKUMBUKA SIKU ZOTE.

UBARIKIWE SANA NDUGU Mshana Jr

NB:MSIMSUMBUE NDUGU YETU PM MKADHANI ANAZO AJIRA.
Ni mshauri mzuri pia....Yesu akutunze kaka Mshana Jr
 
NAMKUBALI SANA MSHANA JR Mshana Jr KUNA KIPINDI NILIKWAMA SANA NIKAMCHEK ANICHEKIE JAPO KIBARUA. BILA SHIDA JAMAA ALINIOMBA CV NA AKAOMBA NIENDE TUONANE KIBAHA. ALIONESHA MOYO WA KUNISAIDIA KWA DHATI.

SIKUFANIKIWA KWENDA KWA SABABU NILIKUWA MBALI KWA WAKATI ULE, ILA NI MTU POA SANA. SIJUI KAMA ANAKUMBUKA HILI, ILA MIMI HUWA NAKUMBUKA SIKU ZOTE.

UBARIKIWE SANA NDUGU Mshana Jr

NB:MSIMSUMBUE NDUGU YETU PM MKADHANI ANAZO AJIRA.
Pm yake amezuia watu wasiende
 
Kwa mtazamo wako huenda upo sahihi, ingawa inawezakuwa sio kweli pia.

Sio rahisi kumjua mtu kupia machapisho yake humu jf, watu wanasiri nyingi sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tulio badilisha majina baada ya kufika mjini tujuane naanza mimi kijijini naitwa Marwa Mahende ila mjini naitwa Emmanuel John
Mimi kijijini wananiita Mpenzile Mwagwayenje Mwagwima Mgagagigikoko Nwabamayenza Ila town hapa naitwa Jophrey Joseph yaan ukifupisha unaniita JJ

Alafu uache kuanzisha uzi juu ya uzi anzisha uzi wako (nimeongea haya huku nimekushika shati)
 
1. Nahisi Mshana Jr ni huyo wa kwenye avatar.

2. Nahisi anafanya kazi ya kuhifadhi miili ya marehemu kwenye hospitali moja hapa mjini.

3. Nahisi ni mtu katili sana kwa maiti yaani kuna muda anazipiga makofi huku anafoka.

4. Sidhani kama panya wanakatiza karibu yake.

Namfaham sana Mshana Jr, ila hajui mimi ndo....... Jamii forum raha sana.

Kaka Mshana upo? Mshana Jr
 
1. Nahisi Mshana Jr ni huyo wa kwenye avatar.

2. Nahisi anafanya kazi ya kuhifadhi miili ya marehemu kwenye hospitali moja hapa mjini.

3. Nahisi ni mtu katili sana kwa maiti yaani kuna muda anazipiga makofi huku anafoka.

4. Sidhani kama panya wanakatiza karibu yake.
5. Ni mchawi
6. Roho mbaya
7. Msukule wa mbowe

Siku akiwa mwana CCM atapona kabisa
 
1. Nahisi Mshana Jr ni huyo wa kwenye avatar.

2. Nahisi anafanya kazi ya kuhifadhi miili ya marehemu kwenye hospitali moja hapa mjini.

3. Nahisi ni mtu katili sana kwa maiti yaani kuna muda anazipiga makofi huku anafoka.

4. Sidhani kama panya wanakatiza karibu yake.
Nahisi ni mtu katili sana kwa maiti yaani kuna muda anazipiga makofi huku anafoka.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom